siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ilikuwaje siku uliyofumania/ uliyofumaniwa?

    Habari zenu wakuu.. Poleni na majukumu na harakati za hapa na pale, gharama za maisha zinapanda ila tunapanda nazo hakuna kukata tamaa. Kuna visa kama viwili viliwahi kunitokea back in the days vya kufumaniwa ambavyo sikuwahi kumueleza yeyote. Cha kwanza kilikuwa hivi. Kuna mwaka nilipata...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume Wengi ni wanyanyasaji. Ndio Maana Kila Siku nawaambia mabinti mjitegemee. Endeleeni kunikaidi

    Hamjambo! 1. Aiseeh! Haya! Kuna watu vichwa vya gunzi. Wagumu Sana kunielewa. 2. Kazi Yangu ni kuwapa Doctrines za kubadilisha akili zenu hizo. Najua kuna watu vichwa ngumu. Ngumu Sana lakini tutaelewana. 3. Ninapowaambia wadada acheni akili za utegemezi sio kwamba ninawaonea Wivu mbuzi...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kwa kiongozi huyu, Taifa litashuhudia maafa kila siku

    Pius Msekwa alipata kusema kumvumilia kiongozi mbovu kwa miaka mitano ni bahati mbaya sana kwa Taifa na huenda taifa hilo likazama shimoni milele lisiinuke tena. Pale ambapo taifa limepata ajali ya kuongozwa na kiongozi asiye na karama/karisma maafa ya kila mara na yanayoacha kumbukumbu mbaya...
  4. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya siku hizi yamekuwa “Trial Version”?

    Hivi siku hizi imekaaje kwenye mahusiano? Mnakutana, mnazoeana haraka, mnachat sana, ndani ya muda mfupi tayari mpo relationship. Baada ya hapo mkifanya mapenzi mara ya kwanza tu, ghafla kila mtu anaanza kupotea kimya kimya. Hakuna ugomvi mkubwa, hakuna drama hata… unaona tu mawasiliano...
  5. JamiiForums Tanzania Binti alinisema sana kuwa amenizidi maisha ingawa shuleni nilikuwa kinara leo ameuza kila kitu anapitisha daftari ya kuchangiwa, kila siku meseji

    Maisha ni muvi. Mtaa niliokuwa nimepanga classmate ndio amekuwa amejenga nyumba. Siku wahi kujua alipata wapi pesa za maana hivi ila nachojua ni mrembo sana na ana makebo makubwa. Kipindi napalangana kuielea familia yeye alikuwa anaielea bmw yake alafu gari anaipaki lilipokuwa dirisha la...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Hivi Abdul yuko wapi siku hizi?

    Ni muda mrefu huyu kijana hajaonekana au kusikika, nini kimempata? Au ameshamaliza kazi yake?
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi maadhimisho ya siku ya Mazingira duniani

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Mazimgira Duniani yatakayofanyika jijini Dodoma Juni 5 mwaka huu. Katika hafla hiyo, kutafanyia pia uzinduzi wa Programu ya mageuzi ya kimkakati ya Mazingira endelevu Tanzania (2026 - 2030). Akizungumza leo na...
  8. JamiiForums Tanzania Siku ukiamua ndio wanabadilika

    Unakaa kwa utu na utulivu miaka na miaka, siku unasema sasa nimechoka, nichepuke ndio na yeye anabadilika:rolleyes:.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji coster ya kukodisha kwa siku 180k mafuta juu yetu

    Kama una coster unakodisha inahitajika leo kwa siku 180k itakodishwa ndani ya miezi 6.mafuta kwetu dereva juu yako lakini tunamhudumia kila kitu.kazi ni site singida lkn gari hiyo lazima ije hapa ofisini kukaguliwa na kufungwa kingamzi na camera.kama uko tayari ilete gari
  10. C

    JamiiForums Tanzania Umewai kutumia kiasi gani kikubwa cha pesa kwenye burudani ndani ya siku moja?

    kiasi gani cha pesa amnacho umewahi kukimaliza kwa siku moja kwenye burudani fulani? Binafsi weekend iliyopita nimetumia arround 1800usd, hapo tunaongelea zaidi ya 4M kuitumia kwa siku moja!
  11. JamiiForums Tanzania Sikuwahi kufiriki kuna siku ingepita bila kuingia JF

    Kweli zama zinabadilika. Zamani nisipoingia jf hata kwa masaa manne tu nahisi nimepoteza kitu fulani muhimu. Sikuwahi kufikiri kama ningeweza kupita siku nzima bila kuingia jf. Ila ndo hivyo, leo nimeingia baada ya miezi mingi kupita, jf kama kumepoa hivi, hakuna sarakasi nyingi kama zamani. Au...
  12. JamiiForums Tanzania Sio vibaya kutumia Tsh 2,000,000/= kutoka kwenye akiba yako kumfurahisha mama yako kwenye hii siku yake

    Post za watsapp status, Insta, Facebook na X hazitoshi. Chomoa angalau 2m toka kwenye akiba yako mfurahishe mama. Spoil her Happy mother's day
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya saidia fundi

    Habari wakuu natafuta kazi ya kulipwa iwe kibarua au saidia fundi wa ujenzi, umeme, kuweka VIGAE au kupska rangi na nk, Mimi ni kijana wa kiume. Nipo Kanda ya ziwa elimu 2 ujuzi nipo nao pia wa kufanya usafi mazingira ya nje na ndani naombeni kazi? Waeshimimwa wakuu🙏
  14. JamiiForums Tanzania Siku za mwisho ni lini na zitakuaje?

    Hivi siku za mwisho zipo na zinakuaje? Hizi siku za mwisho ni za dini za Abrahamic (Ukristo, Uislamu na Uyahudi) tu au imani zote za Dunia?
  15. JamiiForums Tanzania Tulimtafuta siku nne tulimkosa 😂😂

    Wewe kwenu ilikuwaje?
  16. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Mungu alifanya kazi siku sita ya saba akapumzika! Ina maana alichoka si ndio?

    Kusema akapumzika maana yake kazi ilikuwa ngumu sana ikamchosha hivyo ikamlazimu apumzike tena maandiko yanasema akastarehe kwa sasa tunaweza kusema akala Bata (BATA BATANI) Mwanzo2:1-3. Au Ninyi huwa mnaelewaje wajuvi wa maandiko? Ninachojifunza kupumzisha mwili na akili ni jambo la msingi...
  17. JamiiForums Tanzania Austin Pillado - Kocha bingwa wa michezo ya uogeleaji atua Dar, kuweka kambi ya siku 10

    HATIMAYE Kocha maarufu kutoka Marekani, Austin Pillado ambaye pia ni Naibu Kocha Mkuu wa timu ya kuogelea kutoka Chuo Washington State, ametua nchini jana Jumapili kwa ajili ya kuendesha kambi maalumu ya mafunzo ya kuogelea kwa muda wa siku 10. Kambi hiyo inayofanyika jijini Dar es Salaam...
  18. JamiiForums Tanzania Wasabato mnaofanya kazi siku ya sabato ni kwamba Amri ya 4 hamuijui au mwafanya makusudi?

    Kutoka 20:8-11 Ina waamru wasabato wote kutokufanya kazi yoyote Ile yeye wala mke wake,watoto wala wafanyakazi wake zamani wakiitwa watumwa. Ikaenda mbali ikasema hata punda wa msabato imeandikwa asifanye kazi yoyote kwa mujibu wa amri hiyo. Ajabu ni kwamba wasabato wanatuhubiria sana kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini wadada siku hizi wameacha kuva adirizi

    Kwa wale wazungu adirizi ni skin tight. Vp secretarybird Chizi Maarifa Holoholo-Baba Kijacho mademu zenu wanava adrizi😁
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…