siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mafinga: Mgomo wa Wafanyabiashara waingia siku ya 4, RC Serukamba asema yeye hana majibu waulizwe waliogoma

    Wakati mgomo wa wafanyabiashara katika soko kuu Mafinga mkoani Iringa ukiinga siku ya nne nne leo, wafanyabiashara wa matunda, nafaka pamoja na samaki wamelalamikia wakisema mgomo huo unawaathiri kibiashara. Mgomo huo umesababisha adha kwa wananchi na wafanyabiashara wasio na maduka, wakisema...
  2. JamiiForums Tanzania Mafinga: Wafanyabiashara wagoma kufungua Maduka siku ya pili baada ya Halmashauri kuwapangia kodi kubwa ya pango

    Mgomo wa wafanyabiashara katika Soko Kuu la Mafinga lililopo Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wa kufunga maduka, umeingia siku ya pili leo Agosti 24, 2024 ukisababisha adha kwa wananchi kukosa huduma. Mwananchi limefika sokoni hapo na kushuhudia milango ya maduka hayo imefungwa huku baadhi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Siku ikitokea viwanja vya mpira vikarudishwa kwenye Halmashauri za Miji na kuondolewa kwa CCM nitafurahi sana

    Ukweli ni kwamba kama kmc wameweza kujenga uwanja mzuri vile imagine viwanja kama ccm kirumba,sokoine, jamhuri n.k vingepewa halmashauri wakarabati soka na michezo mingine ingeshamiri namna gani!? Yani ikitokea nimepewa nchi Hilo ndio jambo la kwanza la kufanya
  4. JamiiForums Tanzania Hivi haya yanayofanyika siku hizi ni mapenzi kweli au biashara ya mapenzi?

    Maana bila pesa hapo katikati ni sawa na hasara kwenye biashara. mapenzi hayafanyiki kabisa.. Mtu moja ana hudumia au kuhumiwa na michepuko zaidi ya minne, ukavu na msinyao wa via vya uzazi ni wa kupindukia.. Bila pesa wapenzi hawakutani, lakini pia bila fedha hakuna mawasiliano ni ukimya tu...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kuna siku utasikia I did everything but she/he died anyway!

    Hawa vijana wataweza, Kuanticipate outcomes za wagonjwa na kuto improvise accordingly.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kuwapenda Adui Zetu Katika Maisha ya Kila Siku

    Kuwapenda Adui Zetu Katika Maisha ya Kila Siku Katika mahubiri yake, Yesu alisema, “endeleeni kuwapenda adui zenu” (Mathayo 5:43-44; Luka 6:27, 35). Maneno haya yanamaanisha tunapaswa kuwatendea kwa upendo wale wanaotuchukia au kututendea vibaya. Hakuna mtihani mgumu ambao Kristo alitupa katika...
  7. JamiiForums Tanzania Natamani Siku kuwe na Mashindano ya Makomandoo wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ili tujue nani hasa yuko vizuri kwa Mtiti pale Kikinuka

    Kuna nchi moja nilikuwa Ninajidanganya nikidhania Wao ni bora kwa Kuwaona mara kwa mara kumbe ni Wachumba.
  8. JamiiForums Tanzania Heri ya kumbukizi ya siku ya Kuzaliwa kwangu

    Nimeipokea miaka 27 nikiwa (happy) happily regardless of the future...... Nisaidieni kuniwish basi
  9. JamiiForums Tanzania Swali la siku by Mpaji Mungu

    Mzee mwenzangu Mpaji Mungu umeuza kwenye Meme za Jamii Forums kule telegram channel ya Jamii forums. Nimeweka hii Meme tupate majibu. Ms R jibu hilo swali🤣🤣🤣🤣 Nina box la zawadi yako hapa au tukupe mji?
  10. JamiiForums Tanzania Wazazi siku hizi wamekuaje (cold blood)

    Uko kazini unampigia simu mzazi mtoto wako anaumwa mzazi atakwambia tafuta boda umpakie aje nyumbani . Unapambana unamfikisha hadi nyumbani mtoto yuko hoi badala yake wewe (mwl) ndiye unaonekana mwenye hofu na afya ya mtoto mzazi ni kumfokea mgonjwa hadi, dah unaamua kuaga na maneno ya kawaida...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini unajificha na kuchungulia kwa manati unapotaka kuonana na Rafiki ulimpata mitandaoni?

    Mathalani, Umepata Rafiki au Mchumba kwenye miongoni mwa mitandao ya kijamii, kwa mfano ulipokea simu ya aliekosea namba au ulipiga simu kwa kukosea namba akapokea asie husika, then mpokea simu ama wewe mpiga simu kimakosa mkatamani mjuane zaidi na baada ya hapo mkawa Marafiki, tena huenda ni wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna siku Tanzania itafanyika uchaguzi wa huru na haki?

    Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na maelewano kwa wanasiasa Tanzania. Je, hiyo ni dalili ya uchaguzi wa huru na haki?
  13. JamiiForums Tanzania Kiwango cha Sukari unachotakiwa kutumia kwa Siku kulingana na Umri

    Kwa mujibu wa taasisi ya Moyo ya Marekani (AHA) binadamu yeyote ana kiwango maalumu cha Sukari anachopaswa kutumia kwa siku kulingana na umri wake. Watoto wenye Miaka 0 hadi 2 hawatakiwi kutumia Sukari kabisa Watoto wenye miaka 2 hadi 17 hawatakiwi kuzidi Vijiko 6 Vidogo vya Sukari kwa siku...
  14. JamiiForums Tanzania Binafsi nayaona mambo makubwa manne kwenye teuzi na tenguzi za Samia za kila siku.

    Habari zenu wana jamvi!. Siku za karibuni Rais wa JMT Mh. Samia S. Hassan amekuwa akifanya teuzi na tenguzi za mara kwa mara, tena this time sio tu amekuwa akitengua wale ambao hakuonekana kuwaamini toka mwanzo, lakini sasa anatengua mpaka wale wandani wake wa karibu. Binafsi nimekaa...
  15. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Chadema kulilia wakiongozwa na Mbowe wao

    Ndivyo unaweza kusema kuwa sasa Chadema wageuka vibweka wa kudeka na kuropoka uongo acha tuwasikilize. Nchi hii Ina wenyewe mtake mistake CCM ndio baba la baba na CCM ndio mama la mama. Mtasubiri sana Awadhi Jua la Asubuhi Hana mzaha. Chief Wadiz
  16. JamiiForums Tanzania Kijana aliyetelekezwa na mke siku ya harusi atunukiwa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na Waziri Gwajima

    Yule mwamba aliyenyimwa mke siku ya harusi kwa kisingizio cha kwenda kwenye send off akiwa chakari,amepewa tuzo. Amepewa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na waziri Doroth Gwajima Kwa kweli jamaa anastahiki tuzo kweli maana mimi mwanamke anikatae siku ya harusi nyumba yao ningeichoma moto...
  17. JamiiForums Tanzania Heri ya siku vijana ulimwenguni

    HERI YA SIKU YA VIJANA ULIMWENGUNI Tangu pale Vijana wamekuwa vinara wa maendeleo kwenye bunifu za kidigitali, leo tunawatakia Vijana wote kuendelea na moyo wa kufanya bunifu zaidi zitakazotengeneza ajira nyingi. Heri ya siku ya vijana Duniani SamiaAPP KaziIendelee
  18. JamiiForums Tanzania Kitakachomfanya mwanamke malaya atulie kwenye ndoa yake ni dhiki pekee. Siku akiwa na uwezo wa kujinunulia angalau chupi ndoa itaanza kuzama

    Hello! Kama kawaida siachi kuwasanua wanaume wenzangu. Inaumiza sana kuoa malaya. Usithubutu kuoa malaya. Jana nilileta Uzi uutafute upate kumjua mwanamke malaya na ujinasue usije kuingia kwenye kimbwini ukamwoa. Kuna wanaume wanalaumu eeehh nimemfungulia duka sasa limekua anaanza jeuri. My...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Je, Lissu akishika Urais leo, atakubali kila siku vijana wawe wanaingia barabarani kuandamana kutimiza wajibu wao wa kikatiba kwa lengo lolote lile?

    Habari JF Najiuliza hapa, maandamano ni "haki kikatiba", Je leo hii Lissu au mpinzani yoyote akiwa Rais ataruhusu tu Raia wake mda wowote wakiamua kuandamana hata kwa sababu zisizo na mashiko, waangie tu babarani sababu ni haki yao .? Soma Pia: Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa...
  20. X

    JamiiForums Tanzania Marekani: Ndani ya siku 100 tu deni la taifa la Marekani lafikia $35 trillion kutoka $34 trillion

    Deni la taifa la Marekani au kama wao wanavyoliita Federal Debt, Government Debt, National Debt, U.S Public Debt linapaa kwa kasi sana limefikia $35 trillion ambalo ni sawa na $104,082 kwa kila mtu anayeishi Marekani. Deni la taifa la Marekani linakua kwa kasi zaidi kuliko uchumi. Kuna sababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…