siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke kupata hedhi ya siku 9

    Ndugu wanabodi nina swali hapa. Japo muda umeenda ila Nimeshindwa ling'amua kuhusiana na mzunguko wake ameniuliza ila nimeona nitafute wajuvi wa wanisaidie. Mzunguko wake ni wa siku 28, ila bleed anaenda hadi siku 9 japo kuna kipindi huwa kawaida zinaishia 5, Swali lake je? hii hali ambapo...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hakataliwi mtu, unaombwa pesa mwisho wa siku unakimbia mwenyewe

    Mwanaume akikufata kutaka uwe nae kama ujampenda ata usijisumbue kumkataa kumvunja moyo na kauli za oh sio type yangu sijui nina mtu wangu blah blah blah!! Siku izi mwanaume akikutaka alaf ujampenda we mkubalie tu alaf siku ya pili muombe pesa! Tena pesa ya maana 😀 wanaume wengi awapendi...
  3. JamiiForums Tanzania Nataka niingeze faida angalau Tsh 2000/= kwa siku UTT AMIS, niwekeze Tsh ngapi?

    Wakuu, nataka niwe napata faida ya Tsh 2000 Kila siku.. niwekeze Tsh ngapi UTT AMIS..? 2000/= kwangu inanitosha kabisa.
  4. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mamlaka ya Maji Mbeya: Maji tunayozalisha ni 58% ya mahitaji yanayotakiwa kwa siku

    Baada ya Mdau wa JamiiForum.com kueleza kuwa hadi leo Januari 21, 2025, Wakazi wa maeneo ya Isyesye hapa Jijini Mbeya hawajapata maji kwa wiki moja, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (MBEYA UWSA) imefafanua kuwa kuna mgawo na pia uzalishaji haukidhi mahitaji ya Mkoa. Kusoma hoja...
  5. JamiiForums Tanzania Leo sio tu siku ya Uchaguzi wa Mwenyekiti CHADEMA. Leo ni siku ya kuamua mustakabali wa miaka 100 ijayo ya Tanzania

    Sidhani kama Wajumbe wa CHADEMA wanalifahamu hili? Tanzania ilipofikia sasa, hasa kutokana na changamoto za rushwa na uongozi mbaya unaogharimu maisha ya wananchi masikini kila kukicha, ni jambo moja tu linaloweza kutubadilishia hali hii na kuhakikisha uwepo wa Tanzania imara yenye maendeleo ya...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Leo wajumbe wa mkutano mkuu CHADEMA msifanye kosa la kukirudisha chama kwenye siku za uanaharakati

    Lissu hajaweza na hataweza kutoka kwenye hulka yake ya uanaharakati (activism). Hii ni hali ya chini kisiasa au utoto wa kisiasa. CHADEMA chini ya Mbowe kilishavuka hatua hiyo kitambo sana. Lissu ataivuruga CDM kwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na kukosa uzoefu na uvumilivu kwa wanachama...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Siku ya birthday yake alikejeli: Vitoto vinakufa angali vidogo. Miwili baadae akafa. Huyu nae hata mwaka anaweza asimalize baada ya kukejeli marehemu

    Nakumbuka kwenye birthday yake ya kutimia miaka 75 kama sikusoe, namba moja mstaafu kutoka Butiama, alikejeli watoto wadogo wanaokufa wakiwa bado wadogo. Kama namnukuu sawa sawa, alisema, "vitoto vyetu vinakufa angali bado vidogo....." Kauli hii binafsi iliniumiza na kunishangaza sana ingawa...
  8. JamiiForums Tanzania Kilichowafurahisha Yanga nini siku ya kupanga makundi hadi wakashangilia?

    Siku ya kutangaza makundi ya mashindano ya CAF Yanga walishangilia Sana. Kilichowafanya washangilie ni nini? Waliona timu walizopangwa nazo ni vibonde au vipi? Angalia jinsi Yanga walivyoshangilia timu walizopangwa nazo.
  9. JamiiForums Tanzania Ujinga wa Watanzania unavyofanya wanatapelewa mitandaoni Kila siku !!

    Maisha yanaenda Kasi, Kila MTU Kila siku anatafuta namna ya kuishi. WACHINA Kila siku wanakuja na Gunduzi za Kila aina , Gunduzi zao zinawekwa mitandaon , zipo Gunduzi zinazowekwa mitandaoni lakn zinakua restricted kutumika kwenye Nchi zao tu . WABONGO MATAPELI, na vile tuna TCRA ya kudeal...
  10. JamiiForums Tanzania Ripota wa Israel anauliza kuhusu hii video ya Hamas, Israel ilishambulia kwa mabomu siku 450 huko Gaza walikuwa wanapigana na nani?

    Wanaukumbi. Ripota wa Israel anatoa maoni yake kuhusu video hii: "Nataka tu kuuliza kwa upole: Je, Israel imekuwa ikishambulia kwa mabomu kwa siku 450 huko Gaza? Hamas inaonekana kuwa katika nafasi nzuri kana kwamba haikupigana vita dhidi ya jeshi la Israel." Hii video ya Hamas leo Jumapili...
  11. JamiiForums Tanzania Uzi wa kutaja Ni biashara gani umesikia mtu katajirika nayo siku za hv karibuni?

    Habari Kiukweli tunatoka sehem mbali mbali tunakutana na watu mbali mbali.Naomba toa fursa kwa waTz wenzio biashara gan umesikia au unamjua mtu imemtajirisha cku za karibu hz
  12. JamiiForums Tanzania Hawa koluna na wahalifu wengine nchi ya congo kwa sheria walizowekewa kuna siku watakimbilia nchi jirani kuendeleza kazi zao.

    Waziri wa sheria wa kongo Constant Mutamba.Kupitisha sheria ya kunyonga na kukamata wahalifu kongo kuna weza kusabisha asilimia kubwa au ndogo wengi wakaenda kufanyia nchi jirani. Ili swala nimekumbuka vikundi vya panya road hapa tanzania baada ya kuzibitiwa na mwisho wa siku vilikimbilia nchi...
  13. JamiiForums Tanzania Mbowe sasa aamua kutufungia maombi ya siku moja tuliomkataa

    Tumefungiwa maombi ya siku moja turudi kwa baba. Kwa niaba ya tuliomkataa Mbowe nasema kwamba huyu mchungaji anapoteza muda wake bure. Mbowe tulimkataa, tunamkataa na tutamkataa katu hatutarudi kwake kama ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Chama baada ya huu uchaguzi mkuu wa Chama. Sababu za...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Siku nilipogundua mwanamke wangu ana wanaume wanne tofauti: Sitoamini tena mwanamke

    Tulikaa vizuri mimi nayeye na alionesha kuridhia kuwa na mimi, Wakati namtongoza nilimwambia najitafuta, akakubali maisha yangu, yeye akawa anafanya biashara ya kuuza duka la perfumes mainly (na cosmetics nyingine kwa ujumla) Tumeishi kama miaka miwili kipindi hiko chote nilikuwa nampromise...
  15. JamiiForums Tanzania Watu siku hizi Tanzania wanakufa wakiwa na sura za kung'aa, mashavu yamejaa, miili iliyonona, umri pungufu ya miaka 50; Hii sio trend ya kawaida

    Zamani kidogo kama miaka 15 nyuma ukisikia msiba mara nyingi unakuta ni mtu pamoja na kuwa mzee wa walau zaidi ya miaka 65 ila utakuta hata ukimuangalia utaambiwa kabisa bwana huyu alikuwa mgonjwa wa ugonjwa ABCDE na hata ukimuangalia marehemu unakuta kweli kachokaa, yaani magonjwa yamempiga...
  16. JamiiForums Tanzania Asante Mbowe, umeongea hoja ambayo nilii-post hapa JF siku kadhaa zilizopita. Wewe umeiweka vizuri zaidi kuliko mimi

    Niliandika juzi nikisema wanaosema Mbowe aachie uongozi Kwa sababu eti ameongoza Kwa miaka 21 wana hoja ya kitoto Sana ila ninewasamehe Kwa sababu najua wasomi wengi wa Tanzania huenda shuleni kukariri madesa na wakisha graduate hawasomi Tena vitabu. Wakati wasomi wa kitanzania wanamuona MH...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kwa nini shule zinafungwa na kufunguliwa siku moja kwa nchi nzima?

    Shule zetu zinafungwa na kufunguliwa siku moja nchi nzima. Inawezekana wazo hili lina nia njema na manufaa. Hata hivyo, naona utaratibu huu una changamoto ambazo zina athari kubwa mno kwa wanafunzi na wazazi. Baadhi yake ni changamoto ya usafiri, malazi na chakula safarini. Vyombo vya usafiri...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia Nchini Kenya Margaret Nyambura amekataa uteuzi wa Rais Ruto wa kuwa balozi wa Kenya nchini Ghana

    Aliyewahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia Nchini Kenya Margaret Nyambura amekataa uteuzi wa Rais wa William Ruto wa kuwa balozi wa Kenya nchini Ghana. Rais Ruto alimteuwa Novemba 19, 2024. Nyambura ametaja sababu binafsi za kukataa uteuzi huo hivyo kusema hatafika Bungeni kwa ajili ya...
  19. JamiiForums Tanzania Wanandoa kununiana mwisho inatakiwa kuwa siku ngapi?

    Wakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi. So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia. Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe siku zote alijua watekaji na wauaji ni nani na kituo chao kipo wapi, hakutaka kusema hadi alipoona itamnufaisha binafsi kisiasa?

    Nimekuwa shocked na maelezo ya Mbowe yakionyesha kumbe kwa muda mrefu amejua watekaji na wauaji ni nani, kwamba kilikuwa kikosi maalumu kilichoundwa na serikali kwa madhumuni ya "amani na usalama", kikijumuisha Polisi, TISS na JWTZ. Na hata ameeleza kwamba baadae JWTZ walichukua uamuzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…