siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimemwambia mke wangu nikifikisha miaka 47 naacha kufanya tendo la ndoa napumzisha mwili wangu ili kuongeza siku zangu za kuishi

    Leo nimeamka chupa imejaa chai ! Baada ya kutafakari kwa kina wanaume kwanini tunatangulia kufa kabla ya wanawake nikagundua tunafanya ngono sana na kupunguza miaka yetu ya kuishi ,hebu fikiria patashika ya mwili pale unapokuwa juu ya mwanamke,jasho ,udende,makelele sijui mwili unakakamaa kama...
  2. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Mwanamke kwa Mwezi mzima ana Siku 5 tu za Yeye kupenda 'Kungonoka' na zinginezo huwa anatimiza tu Wajibu kwa Mwanaume wake?

    Kama hii ni kweli Kitaalamu basi huenda Wanaume wengi tukawa tunatimiziwa nao tu Wajibu japo huwa tunajitutumua.
  3. JamiiForums Tanzania Miaka 64 ya uhuru: Watu wanakwama kwa siku 18 kisiwani bila usafiri, Hii ndiyo CCM

    Serikali inayojinasibu kukusanya matrilioni ya mapato ya kodi, Mwaka hadi mwaka inavunja rekodi! Achilia mbali vyanzo vingine vikuu vya mapato ambavyo nchi yetu imebarikiwa, kama madini, vivutio vya utalii, ardhi safi na amani inayohubiriwa kila siku! Lakini kwa miaka zaidi ya 60, Mkulima...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali itenge siku maalum ya kitaifa kuadhimisha katiba ya nchi.

    Katiba ndio kitu kinachoweka muongozo wa nchi na jinsi ya watu kuhusiana katika taifa, kwa umuhimu huo serikali itenge siku maalumu(public holiday) ya kuadhimisha na kusheherekea katiba ya nchi yetu(constitutional day) kukuza uzalendo na utaifa wa taifa. Ni muhumu siku hiyo ikawa katikati ya...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mahakama yaamuru Dkt. Slaa kufikishwa Kisutu Machi 4 ili kutolewe uamuzi wa kesi inayomkabili

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru kutolewa kwa amri ya Mwanasiasa Mkongwe, Dkt. Wibroad Slaa (76) kufikishwa mahakamani ifikapo Machi 4, mwaka huu ili uweze kutolewa uamuzi wa kesi hiyo itakuwa inasikilizwa kwa njia gani. Uamuzi huo ulitolewa leo mahakamani hapo na Hakimu Mkazi Mkuu...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi bado hamasa ya maneno ya mdomoni na ubunifu wa maandish vinaweza kukupatia mrembo kama zamani au siku hizi unakaguliwa kwanza ndio utupe sound?

    Zamani unakuta unakalili wimbo wa westlife ili uuchomeke ndani ya mistali ambayo utakayokuwa unampiga mtoto mzuriz na kusema kwwli mtoto alikuwa ana appreciate kikamilifu haswaa. Ila sasa hivi katoto ka miaka 20, kanakuanaglia juu hadi chini kama unafanania mtu wa kumpeleka beach wiki mara 3😂😂
  7. K

    JamiiForums Tanzania Si kila kitabu kwenye Biblia ni kwa ajili ya wakristo wote

    Amani iwe kwenu wapendwa! Siku ya mwaka mpya nilikutana na Baba yangu mdogo ambaye alisomea upadre hadi level ya ushemasi na kwakweli alibakiza muda mfupi sana kupewa daraja la upadre, isivyo bahati aliacha kuendelea na wito wa upadre na hivyo aliamua kuwa mlei (mwanandoa). Sasa juzi hiyo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kuhujumiana: Kuna siku Simba mtacheza na timu itayopanga kwa makusudi kikosi dhaifu na sijui mtajiteteaje

    Leo hii ni Yanga na unaweza kuta Yanga wala hawakuhusika na upangaji wa kikosi cha Singida Big Stars bali huenda ilifanywa makusdi wapate la kusema. Kwahiyo, kama Yanga walihujumiwa ili wachafuliwe,. basi siku si nyingi na Simba yatawkuta. Si lazima timu ipange kikosi dhaifu, bali zinaweza...
  9. JamiiForums Tanzania Najihisi kuchoka na haya maisha ila nigerudisha siku nyuma ningefanya hivi.

    Wakuu I'm fed up with life Nimechoka na haya maisha Familia yangu ilikuwa sawa even my kids Ila wamei-block Biashara zangu wame-block Everything is down now. Kwa mtu yeyote anayejijua ni mchapakazi na mtu anayejitambua don't expose ur progress to anybody. hasa familia yako. Maaumzi yangu...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya malipo aliexpress

    Habari wakuu nina changamoto ya kufanya malipo aliexpress leo siku ya 5 nmejaribu hata kutumia account ya jamaangu bado nimejaribu kutumia visa card ya voda wap nmejarbu kuwasiliana na benk husika kuona kama kuna tatizo wamenambia wao hakuna tatizo nmewachek aliexpress pia na wao vivyo hvyo...
  11. JamiiForums Tanzania Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

    Kuna Uzi nilifungua kuhusu scam aliyotufanyia Mo Dewji, Kwa kujifanya account yake ilikuwa hacked, na wengi tulifahamu baada ya Kanye west kutufumbua macho. McAfee aliwahi kusema alikuwa na uwezo wa kutengeneza pesa nyingi kuliko Mungu, akiwa na Lockheed Martin kwasabu ya kutengeneza black...
  12. JamiiForums Tanzania Africa Kusini wasipoitoa ANC madarakani mapema itakuwa kama Haiti siku moja

    Majambazi na wezi wanakwida watu, wanawapukutisha hadharani na kufanya mauaji kiholela sana kama vile hakuna kitu kinaitwa police au magereza.
  13. JamiiForums Tanzania Tupo siku za mwisho YESU yupo karibu kurudi

    Wapendwa wangu katika Bwana niwakumbushe tu kwamba tupo katika nyakati za mwisho mnoo.. YESU yupo karibu kurudi mda wowote kuanzia sasa kwa iyo wew unaesoma ujumbe huu tengeneza njia zako na maisha yako Acha ulevi Acha uzinzi Acha umalaya na ukahaba Acha matusi Acha kila aina ya dhambi na uchafu...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ipo siku wa Tanzania watapanga kwenye ardhi yao kwa mgongo wa uwekezaji

    Hakuna wa kumfunga paka kengele! Sasa ni mwendo wa kuchukua ardhi na kuwapa wawekezaji, huku wazawa wakilipwa fidia kwenye ardhi ya mababu zao na kuhamishiwa maeneo yasiyo na rutuba. Kwa mwendo huu, ipo siku Watanzania watapanga kwenye ardhi yao wenyewe kwa sababu ardhi yote imepewa wawekezaji...
  15. JamiiForums Tanzania Mwana JF Chige yupo wapi siku hizi?? More than a year now

    MALCOM LUMUMBA eti Chige yupo wapi siku hizi??
  16. S

    JamiiForums Tanzania Tumefika mahali kama nchi tunaadhimisha siku ya kondom duniani?

    Habari wadau! Leo maeneo ya Dodoma kwenye round about ya kuingia uwanja wa ndege wa Dodoma, kuna tangazo limewekwa chini kwenye hiyo roundabout likiisomeka: Siku ya kondom duniani(kama sio duniani basi ni siku ya kondom kimataifa). Swali: ni kondom hii mipira ya kufanyia mapenzi au hiyo kondom...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa mwanasiasa mkorofi, mjuaji , msaliti na asiye na shukrani. Katubu kwa mamlaka husika vinginevyo mikosi itaendelea kukuandama siku zote

    Wadau hamjamboni nyote? Sio kwamba namdharau au nampa sifa mbaya Mwanasiasa huyu maarufu, hapana! Ukweli ni kuwa Dkt Slaa ni miongoni mwa binadamu wanaoongoza kukosa kabisa shukrani kwa fadhila alizopewa. Kila sehemu anayokaribishwa na kufadhiliwa lazima avuruge mambo, sijui yukoje huyu...
  18. JamiiForums Tanzania Feedback ya mpenzi wangu Kwa kuto pokea simu Jana siku ya wapenda nao

    Huyu mchumba siishi nae , kila mtu anaishi kwake, ila almost Huwa anakuja kwangu na anakaa Kwa muda wa hata week 2 .. Ok .. Jana nilijitahidi sana kumpgia simu mida ya asubuhi Ili tujue ratiba itaishaje like kutoka out , and other stuffs Kwa siku ya valentine's, simu haikupokelewa , piga sana...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea Haki Wahitimu waumini wa kisabato

    Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea HAKI Wahitimu waumini wa kisabato. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sabato Njema. (itikia Njema Sana). Wahitimu wa kisabato wanasikitika baada ya baadhi Yao kukosa kwenda kwenye Usaili kutokana na siku iliyowekwa kwaajili ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kwanza kutumiwa pesa na mwanamke ni mimi siku ya valentine 💌

    Au kuna mwanaume mwingine uko katumiwa tujuane tulio pata wanawake wa hivi huyu si nione anaoneka sio kama wengine wa jf
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…