siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kufanya kampeni ni lazima,kwa nini CCM wasisubiri tu mpaka siku ya uchaguzi watu wakawapigie kura

    Niseme kwanza sitoshiriki kupiga kura,lakini naona ni jinsi gani viongozi wanamatumizi mabaya ya pesa,hii gharama ya kuzunguka inchi nzima kwa msafara wa viongozi na wapambe CCM wanashindwa kukaa nyumbani kuokoa gharama halafu wajitokeze tu siku ya kupigiwa na kupiga kura,maana kwa hayo...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Kanisa Katoliki kuliombea Taifa kwa siku tisa

    Askofu Mkuu wa Dar es Salaam, Mhashamu Yuda Thadeus Ruai'chi ameagiza katika Parokia zote na Asasi zote katika Jimbo Kuu la Dar es Salaam ifanyike Novena ya siku tisa (9) kuomba Haki na Amani kuanzia Agosti 15 -23, 2025. Askofu Mkuu ameelekeza kwamba Novena hiyo iambatane na kuabudu Ekaristi...
  3. JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete ungeachana tu na mambo ya siasa. Haitapendeza siku ukitutoka watu wafanye sherehe

    Umeifanyia mengi nchi hii Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Musiba: Kama kuna mtu yeyote nilimkosea, naomba anisamehe. Ule ulikuwa ni ujana

    Wakuu, Inaonekana kama Musiba baada ya kukatwa na CCM akili zimeanza kumrudi. Leo akiwa anaongea na waandishi wa habari ameomba radhi watu wote ambao aliwakosea kipindi hicho na akaongeza kuwa kipindi kile alikuwa kijana tu. Nadhani msamaha huu unawahusu sana wakina Fatma Karume na wengineo...
  5. JamiiForums Tanzania “Vipi kama Mungu angekupa siku 3 kuwa na nguvu zake na kuchukua udhibiti wa kila kitu kabisa? Ungefanya badili nini

    For my side, ningewaangamiza mashetani na majini wote ◇ Ningebadili me na ke wote wale kwa jasho zao ◇ Wanamtandao wote waliotajwa na polepole ningewapoteza kwenye uso wa dunia. Je wewe ungefanta nini tz and world wide?
  6. JamiiForums Tanzania Miaka 25 ya ubunge huna Barabara siku ukifa wataka ichongwe? Ni aibu sio uzalendo

    Miaka 25 ya ubunge alafu unakufa madarakani inachongwa Barabara kufikia pahala pako pa kuzikwa?haya hawezi tokea kilimanjarooo
  7. JamiiForums Tanzania Siku 7 zatolewa kwa wamiliki wa viwanja Kigamboni kuvifanyia usafi au kutozwa faini, utaifishaji au umiliki wa viwanja husika kufutwa

    Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni inawataarifu wamiliki wa viwanja vya matumizi mbalimbali ndani ya Manispaa hiyo kufanya usafi kwwenye viwanja vyao ndani ya siku saba (7) tangu leo Agosti 07, 2025. Taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkuu Kitengo cha Mawasiliano wa Manispaa imesema kwamba baada...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania tuache unafiki, Polepole ni mzalendo kuliko wote?

    Moja kwa moja kwenye mada: Kama Polepole upo humu kwa akaunti fake, naomba usiache kujibu hili swali langu: Hivi Watanzania tutaacha lini unafiki wa kujifanya tunaguswa na yanayoendelea nchini ikiwa hatupo katika maslahi hayo? Polepole ni mgeni hapa nchini? Alikaa miaka mingapi Cuba? Mimi si...
  9. JamiiForums Tanzania DART: Sio lengo letu kuuza kadi za Mwendokasi siku za 'weekend'

    Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imetoa ufafanuzi kuhusiana na malalamiko yaliyoibuliwa na Mdau wa JamiiForums.com alidai kuwa wakati wa Siku za Jumamosi na Jumapili wahusika hawauzi kadi zinazowezesha abiria kupanda usafiri wa Mwendokasi. Kusoma hoja ya Mdau kuhusu tiketi, bofya hapa ~...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa ambaye hujaoga au kupiga mswaki zaidi ya siku ya tatu sasa unaweza ukanipa sababu kwanini

    Ni kama research nafanya nataka kugundua sababu najua wapo baadhi hawajaoga zaidi ya siku tatu sasa Je NI kwa sababu maji hayatoki umeamua Ku save yaliyobaki Je NI kwa sababu unaogopa maji ya baridi Je NI kwa sababu tupo kwenye zoezi kubwa la kuchagua wagombea Je NI kwasabu pengine upo vitani...
  11. JamiiForums Tanzania Tutende wema, ipo siku ule wema utakulipa

    Kuna rafiki yangu mmoja tulikutana naye shuleni (sekondari) miaka 35 iliyopita; Kiuchumi, wao walikuwa wako vizuri kiasi kwa kipindi kile. Katika shule tuliosoma, shule yetu ilikuwa na changamoto ya madawati; wapo waliokuwa wakikalia matofari kutokana na upungufu wa madawati na wachache...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya mwisho ku file taxes

    Leo ni tarehe 5 unatakiwa ku file taxes zako kabla ya Saa 6 usiku. And by the way Nina E-book yangu inaitwa "Kodi unazotakiwa kulipa kama Mfanyabiashara Tanzania" Ni FREE e-Book, nitumie meseji WhatsApp kupitia namba 0678131068 nikutumie
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Ukweli ulio mchungu: Uchaguzi wa Wabunge na Madiwani mwaka huu ndio unakamilika siku ya leo kwa asilimia karibu ya 98%.

    Wanabodi, Kutokana na hali ya kisiasa nchini kwetu, huo ndio ukweli. Ukubali au ukatae, wajumbe wakishapitisha majina, hayo majina kwa asilimia kama 98% au 99% ndio wawakilishi tutakaokuwa nao kwa miaka mitano ijayo. Ama kweli SIASA si HASA.
  14. JamiiForums Tanzania Mark Zuckerberg aingiza Trilion 65 kwa Siku

    Thamani ya utajiri wa Mark Zuckerberg, imepanda baada ya kuongezeka kwa hisa zake ambazo zimemfanya kuingiza Dola Bilioni 26 sawa na Trilioni 65 kwa siku moja (Saa 24). Unaambiwa mapato hayo makubwa ndani ya saa 24 yametokana na 'Meta Q2' kuongezeka kwa zaidi ya Asilimia 12. Mkwanja huo...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima karibuni sana Kanisa Katoliki kusali tunawapenda sana hapa ndio nyumbani kwenu hasa, msiogope sanamu mnazoziona

    Sanamu zilizopo makanisani kwetu ni picha tu, ni kama zile zilizopo maofisini za Nyerere, Samia, n.k. kwani mnaziabudu? Hapana ni vielelezo tu na sisi hatuwezi kuwa wajinga kiasi hicho cha kuabudu sanamu! Tunajua kuwa Mungu ni Roho na anabudiwa katika Roho na Kweli. Sisi Wakatoliki kama Kanisa...
  16. D

    JamiiForums Tanzania PBZ wananizingua; Kuna benki yoyote inayotoa mkopo 'online' (katika ESS) ndani ya siku mbili niwakimbie hawa?!!!

    Inakaribia wiki ya tatu Sasa nahangaika na hawa tu bila mafanikio. Mara huyo fsp (financial service provider) ali'reject' na kunitaka niongeze miezi (wakati mfumo umekubali). Nafanya hivyo anareject tena ananitaka nipunguze miezi. Mnyonge Hana kususa, narekebisha na kufanya alichosema hii Sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Shida mtu akiwa muhongo hata siku akongea ukweli anashindwa kuaminika , polepole ni kama zitto kabwe na Mbowe au Lipumbana na Mrema!.

    Katika siasa kitu kinachoitwa Msimamo ni muhimu. Najaribu kuangalia walichokuwa wanapambania akina Mrema TLP Lipumba na Mbowe bado sikioni. Hivyo naona na Polepole anapita njia zilezile. Anabomoa nyumba aliyoijenga mwenyewe na kusema haifai na wala tusiwaamini mafundi walioijenga.
  18. JamiiForums Tanzania Chukua mshahara wako gawanya kwa siku unazoenda kazini uone unalipwa shilingi ngapi kwa siku

    Chukua mshahara wako gawanya kwa siku unazoenda kazini uone unalipwa shilingi ngapi kwa siku Mimi kwa siku nalipwa 30k sawa na 900k kwa mwezi Sijui wewe
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli huu unamuumiza ila kashindwa kuniacha, kila siku anajipa matumaini

    Wajomba leo sina habari za kijiweni. Kuna binti mmoja niwahi kuwa naye kwenye tukawa marafiki kama mwezi hivi, sasa baada ya hapo alijiforce akawa anataka mahusiano, sikuwa na shaka sana nilijua hilo husiano likidumu labda miezi 3 tu litakufa, aysee si nikajaa kwenye mfumo? Binti anajiweza...
  20. JamiiForums Tanzania Polepole, siku ukikaa kimya kabisa si watu watasema uko kimya? au wanafiki watasema umetekwa kumbe uko zako bafuni umejificha

    Nawaza kama pole pole akiacha kuongea kwa zaidi ya miaka kumi akiwa kwenye mashimo yake aliyojificha, wahuni wenzake watazusha katekwa. Kumbe kakaa kimya tu. Ni sawa na panya, anaishi kwenye mashimo, mvua ikinyesha maji yakajaa kwenye mashimo, ndio kwisha habari yake
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…