siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwani Clatous Chota Chama Yanga SC wamekukosea nini ndani ya Msimu Mmoja tu nao hadi kila Siku uwe Unawananga na kuwashusha Thamani?

    Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Young Africans Sports Club Clatous Chama, ameibuka na kudai kuwa hakuna mchezaji ambaye hatamani kuichezea klabu ya Simba SC, kutokana na ukubwa na ushawishi wa klabu hiyo ndani na nje ya Tanzania. Chama ambaye kwa sasa ni mchezaji huru baada ya kuachana na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nje ya wasabato wanawake wakristo wengi wanavaa "Nusu uchi" wameacha kuiga mfano wa mavazi ya Bikira Maria

    Hapo zamani ukienda kwenye makanisa wakristo walivaa kwa kujistili sana, Sketi ndefu, magauni, vilemba, nywele natural, n.k. Sikuhizi imekuwa kawaida kuvaa NUSU UCHI kuanzia Suruali, Taiti, Kimini, vigauni vinavyochoresha, Pedo, Kitop, n.k. wakijitetea mavazi hayana shida kinahoangaliwa ni...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Siku Mzee wa Minyama (Maulid Kitenge) alipokutana na Minyama yenyewe ya mama mkwe wa Marioo (Bibi yake Amara)

    Alikuwa anajiita Mzee wa Minyama, sasa juzi alikutana na Minyama yenyewe ya mama mkwe wake Marioo na Bibi yake Amara.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tengeneza website full ikiwa na domain ya biashara au kampuni example.com yako kwa elfu 50 tu ndani ya siku moja

    Habari, Wakuu karibuni niwatengenezee website haraka na kwa bei poa kabisa ya shilingi elfu 50 tu unaruka hewani mtandaoni ndani ya masaa 24. Nikuwekee na domain ya biashara yako bure kwa mwaka mzima mfano example.com bila malipo, hii sii ya kukosa. Kumbuka Website hii unaweza kuitumia kuuzia...
  5. JamiiForums Tanzania BADO SIKU 8: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 8: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Usijilazimishe kufanya kila kitu. Tambua mipaka yako na heshimu muda wa kupumzika. 📅 25 - 30 Agosti, 2025 📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Israeli: Siku ya kuokoa maisha’: Jamaa za mateka na familia zilizofiwa waanzisha maandamano wa nchi nzima

    Wanaukumbi. Hostages Square mjini Tel Aviv inazidi kujaa watu wakiwa wamebeba mabango na kuvaa riboni za njano asubuhi ya maandamano wa nchi nzima ulioitishwa na familia za mateka huko Gaza, wakitaka waachiliwe huru na kukomesha vita. Katikati ya mraba, safu za watembeaji miguu tupu zimepangwa...
  7. JamiiForums Tanzania Siku zote mdogo humfuata mkubwa. Putin nmemwonea huruma. Trump ana ubabe mwingi sana

    Putin ameonekana mnyonge sana kuitwa na kwenda Marekani ni kuonesha Putin yupo hoi. Huo ni ukweli ambao hatutakubaliana nao sababu tulikuwa tunaamin Putin ni mbabe sana. Miaka yote naamini Russia/Putin mjeuri sana na mbabe. Lakini nmejifunza kitu. Haya mambo si ya ushabiki.
  8. JamiiForums Tanzania Hakuna siku mchepuko atafurahi zaidi kama siku akigundua kuwa mkeo amemgundua.

    KAA MBALI NA ZINAA Michepuko ni malaya waliochangamka, dada wa shetani na mashine ya ilioundwa kutoka sodoma kwa ajili ya mapenzi thus kuhusu aibu na majuto, sahau kabisaaa. Anafurahia kwa maana anajua anatikisa ngome ya ndoa ambayo anaona inapewa promo sana huku yeye dunia yake inaonekana ya...
  9. JamiiForums Tanzania BADO SIKU 9: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 9: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Mazoezi huchochea homoni ya furaha, Tembea, kimbia, au fanya mazoezi mara kwa mara. 📅 25 - 30 Agosti, 2025 📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Siku zote mbeba maono hafi bali hupita kwenye tanuri la moto na kutoka akiwa mpya.

    Wasalaam. Hapo tarehe 06/09/2017 jasusi la mbinguni askofu gwajima alimtadharisha lissu na kumuonya kuwa asiende Dodoma kwani akienda atauwawa kwa kupigwa risasi lakini lissu kwa kujiamini kulikopitiliza alipuuza na kwenda ndipo Sept 7 akashushiwa mvua ya risasi na kupata kilema cha kudumu...
  11. JamiiForums Tanzania Je, wajua kila Agosti 15 kila mwaka taifa la Congo Brazzaville inasherehekea siku uhuru waliopata mwaka 1960?

    Wakuu ==== Mwaka 1960, Congo-Brazzaville ilipata uhuru kutoka kwa Ufaransa na kupitisha jina la ‘Jamhuri ya Congo’ ambapo Fulbert Youlou alikuwa Rais wake wa kwanza. Mnamo Agosti 15, 1960, Jamhuri ya Kongo, inayojulikana pia kama Congo-Brazzaville, ilipata uhuru wake kutoka kwa Ufaransa...
  12. JamiiForums Tanzania Andaeni SAMIA GALA TUZO 2025 , Mmtuze Tuzo zake zote Kwa pamoja , na Si Huu Ujinga wa Kila siku Tuzo , Tuzo za Kichawa !!

    Mnafanya Matendo ya ajabu kwelikweli mpaka Watanzania wanawaona mna akili za kitoto. Unaweza usishangae sana kwakua ni Chawa na Mipango Yao ya kichawa, Shida ni Kwa huyu anayezipokea, yaani kabisa kabisa nayeye anajiona anastahili Tuzo Kila Kukicha 🤣 Heri Nguo Kuraruka kuliko Akili !!. Ni...
  13. JamiiForums Tanzania BADO SIKU 12: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 12: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Jenga jamii iliyo salama na yenye matumaini kwa kumshirikisha Afisa Ustawi wa Jamii changamoto unayopitia 📅 25 - 30 Agosti, 2025 📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii -...
  14. JamiiForums Tanzania Utakatishaji pesa siku hizi unafanyika hadharani mbele ya vyombo vya habari

    Hii harambe ya CCM kuna harufu ya utakatishaji fedha TAKUKURU wafanye kazi yao
  15. JamiiForums Tanzania Mh Babu aliponusurika mwanao walikuwa wamekuda 10 siku hiyo kwa uzembe wao, kusema ukweli Dr Samia katurudisha enzi za jakaya

    Mh Babu, kama utanibishia tafadhali familia vifo vya siku hiyo vipo 10 watoto walikufa WA uzembe wa watumishi. Kama unabisha njoo mm Niko hapa uone ni aibu mawenzi watu wanakula mnoooó
  16. JamiiForums Tanzania Leo ndio siku muhimu kwa wafanyabiashara kulinda biashara zao kwa miaka mingine mitano ijayo

    Leo hii saa 11 jioni itaendeshwa harambee kubwa kuliko. Hii ndio siku muhimu kwa wafanyabiashara kulinda biashara zao kwa miaka mingine mitano ijayo. Siku kama hii kwa wafanyabiashara huwa hawapo tayari kuipoteza hata kidogo katika maisha yao. Hapa namaanisha wafanyabiashara kweli wale madon...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kutakatisha fedha inakuja, ila ipo siku ufisadi wao na matumizi mabaya ya madaraka vitawekwa wazi

    Sina maneno mengi, ila niseme waacheni waendelee na maagizo yao ila wajue ipo siku kila kitu kitawekwa wazi. Pia, baadhi yao wanaweza kuja kufungwa baada ya uchunguzi kufanyika kama sio kulazimika kuomba radhi umma wa watanzania. Tuombe uzima tu kuja kuyashuhufia haya ambayo huko mbeleni...
  18. JamiiForums Tanzania Polepole pamoja na hao manabii wanawapa matumaini hewa kusukuma siku mpaka uchaguzi upite

    Kijasusi zinaitwa psyops. Matumaini kuwa kuna mtu / watu wenye nguvu au kuna Mungu ataingilia kati na kurejesha haki zako is a powerful thing inayoweza kukufanya uendelee kungoja ili kuona nini kitatokea. Unfortunately utangoja sana, itakuwa mara July mara September, ukija kushtuka wanaapishwa...
  19. JamiiForums Tanzania Iltokea siku moja msanii wa nyimbo za Asili akazuia mvua isinyeshe sehemu walipo washabiki tu!

    Hii siyo ya kusimuliwa na watu niliona kwa macho yangu. Katika mkoa wa Geita wilaya ya Nyang'hwale kata ya kafita na kijiji cha Lushimba. Msanii wa nyimbo za Asili Bhudagala alikuwa akitoa show katika kijiji hicho. Basi wingu zito lilitanda likiashiria mvua kubwa sana itashuka muda sio...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara takribani 90% wana maisha magumu. Kijana usidanganyike na mafanikio ya wachache, Business is not for everyone!

    Hii ni tahadhari kwa vijana kuhusu uhalisia wa biashara, si kuwakatisha tamaa wala kuwaambia waajiriwe. Biashara ni njia nzuri, imetajirisha watu lakini si hadithi ya kupendeza kama inavyochorwa mitandaoni. Biashara ni vita, inahitaji akili, mikakati madhubuti, uwezo wa kujifunza kila siku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…