siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Picha linaanza siku ya uchaguzi internet na vyombo vya habari vinaminywa na wapinzani wanaenguliwa hapo hujue hakukuwa na uchaguzi

    Picha linaanza siku ya uchaguzi internet na vyombo vya habari vinaminywa na wapinzani wanaenguliwa hapo hujue hakukuwa na uchaguzi.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi wamekuja na suala la "girlfriend allowance". Wanaume, hii imekaaje?

    Habarini, Katika pita pita zangu mtandaoni insta, nimeona wanaume wengi wakijadiliana kuwa wameombwa na wachumba zao girlfriend allowance, shida yao kubwa ikiwa sio kuombwa hio girlfriend allowance, shida ni kuwa wadada wanaoomba hio girlfriend allowance, hawatoi walau ushauri wowote kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Japo 'kashinda' kuna siku Museveni atashindwa urais

    Kwa afya na umri wake, hata afanyeje, kuna siku ataitwa rais wa zamani au aliyekuwa rais wa Uganda YAK. Jitu binafsi, choyo, king'ang'anizi, na hovyo sina mfano. Kwanini mijitu mingine haina utu na inapenda madaraka kuliko utu? Hata likifia madarakani, so what? May Museveni perish!
  4. JamiiForums Tanzania Siku hizi mambo ni tofauti kabisa

    Zamani hili vazi lilikuwa na heshima ila kwa sasa ndilo linaweka mambo hadharani tofauti na suruali
  5. JamiiForums Tanzania Lissu akiachiliwa tu alisema hatopoa ni mchaka mchaka maandamano kila siku tena yeye atayaongoza mwenyewe Genz mjiandae

    Lissu akiachiliwa tu alisema hatopoa ni mchaka mchaka maandamano kila siku tena yeye atayaongoza mwenyewe Genz mjiandae. Lazima tu ataachiliwa hata kama sio leo na akiachiliwa siku hiyo hiyo atakinukisha atakusanya watanzania barabarani yeye ndie rais wa wananchi.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Kuna siku Lissu ataenda kumsalimia mbaya wake katika mahabusu ya ICC

    Hii naomba muichukue kama ilivyo kwani ni swala la muda tu. Itakuwa ni kama vile Lissu alipoenda kusalimiwa pale Nairobi baada ya kumiminiwa risasi na jeshi la Farao wa wakati ule. Muda utaongea.
  7. JamiiForums Tanzania Kama unadhani siku yako Mbaya, huyu ni zaidi

    Unaweza ukapiga yowe.
  8. JamiiForums Tanzania Unawaomba radhi wageni kwa kuwakatia intaneti kwa siku 6 halafu wazalendo uliowaua hata majina yao unajifanya hauyajui!

    https://www.washingtonpost.com/world/2026/01/15/tanzania-samia-suluhu-hassan-internet-shutdown-october-election/21b8d8a0-f24f-11f0-a4dc-effc74cb25af_story.html Huyu Samia ni kiumbe wa ajabu sana. Katika busara zake kaona ni sahihi kuwaomba radhi mabalozi kwa kuzima intaneti wakati ule wauaji...
  9. JamiiForums Tanzania Siku kama ya leo, miaka 19 iliyopita, safari ilianza!

    Time flies. Tarehe 9 January 2007, Apple walizindua iPhone ya kwanza. Katika uzinduzi Steve Jobs alisema, “An iPod, a phone, and an internet communicator... These are not three separate devices. This is one device, and we are calling it iPhone” Yaliyofuata ndio hivo tena. Hawakamatiki hadi leo.
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Mstaafu Bwege: Serikali isingeweza fungia hata Msikiti mmoja. Siku hiyo kungechafuka sana

    Nakubaliana na Mbunge wangu aliyemaliza muda wake. Huyu jamaa huwa hajui kuuma uma maneno. Nina wasiwasi pia si mtu wa Pwani. Nakubaliana naye Serikali ingejaribu kufungia msikiti mmoja tu kingewaka. Siku hiyo ndo Kahaba na Makahaba wenzake wangeona cha moto. Maana ni ukahaba tu unaofanya mtu...
  11. JamiiForums Tanzania Kwenye Ndoa zenu kuna watoto wetu. Siku wengine tukicharuka tutakuja kuwadai

    Mimi ni kijana toka mkoa wa Kilimanjaro. umri wangu ni miaka 30s mwishoni. Mchanganyiko wa Kilimanjaro na Singida. Allahmdulillahi nlifanikiwa kupata rangi ya Mtume. Ni mweupe. Nina watoto 4 kwa wanawake tofauti ambao wenyewe wameniambia na wengine wasiopungua wa 3 kwa wanawake ambao wawili...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaua mmoja wanaongezeka maelfu ya wananchi wanazidi kuchochea moto siku yao ya mwisho imefika

    Wanaua mmoja wanaongezeka maelfu ya wananchi wanazidi kuchochea moto siku yao ya mwisho imefika. Kutekwa na kuuawa kwa watanzania kote nchini hakujasaidia bali kumeongeza mzozo na upinzani zaidi soon tutawafurusha wauwaji.
  13. JamiiForums Tanzania Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya "Kipindi cha Uchaguzi" acheni kutusumbua na "SMS" za kila siku, ushahidi umejaa tele huko mitandaoni

    Kama Polisi walishasema ushahidi tulionao wananchi ni "AI", ninyi mnataka mpewe nini tena? Hebu nendeni kwanza kwa Muliro akawaambie alijuaje huo ushahidi uliotumwa kwa Larry Madowo ni AI, akiwapa jibu na mkajiridhisha siyo AI ndipo mje kuomba ushahidi kwa wananchi! Acheni kutujazia simu buree!
  14. JamiiForums Tanzania Siku nikimuoa mke wangu

    Nawaza je siku hiyo mke WANGU atajua sijaoa jinsia yake ya kike Wala hajaolewa na umbile langu la kiume? Je atajua umri wangu na wake si kiini chetu, Wala uzuri wake si nguzo yangu ya kudumu? Siku nikimuoa mke wangu sitamvika pete kwanza, nitamvika maswali. Kwasababu ndoa si sherehe ya kupiga...
  15. JamiiForums Tanzania Mzee anaingiza zaidi ya laki 3 kila siku

    KUMBUKIZI 📌 Hapa ni zaidi ya Miaka m3 nyuma ambapo tulimtembelea Mzee kwezi na akatueleza na kutusanua fursa inayopatikana Katika Ufugaji wa ng'ombe wa Maziwa. Hapa alieleza jinsi ambavyo ng'ombe 10 anaowakamuq wanampatia zaidi ya lita 220 kwa siku na kwa bei ya kipindi kile alikua anauza kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna jambo lina nipa mashaka ila kama litakuwa siri ila siku litakuwa wazi tu nchi hii.

    Serikali ikishaelekea kufeli ufanya njia yoyote kubaki madarakani. Na njia yoyote inaweza kuwa mbaya kwa nchi ila ikawa faida yao kwa mambo yao. Kukosekana kwa ajira nchini ,serikali inaweza kutumia mwanywa kuonesha inawapa watu ajira kumbe wanaenda kutumikia ajira za magendo. Kwa sasa nchi...
  17. JamiiForums Tanzania Ipo siku atakufa mwanasiasa mkubwa wa CCM na Watanzania watachinja ng'ombe na kusherehekea.

    Napata picha mbaya sana ya hii chuki. Haijawahi kutokea tangu tumepata uhuru. Leo hii askari polisi au MwanaCCM akipata ajali watu wanafurahia afe. Akifariki mwanaCCM au chawa wa CCM watu wanashangilia kifo ni kifo tu.
  18. JamiiForums Tanzania Mvua siku 3 tu hiyo SGR yetu imesombwa na maji

    Tukumbuke hapa majuzi Taifa halikuwa na maji kutokana na uhaba wa mvua Mvua zimeanza wiki hii zimesomba reli yetu ya ma trillions ya pesa za walipa Kodi masikini. Hii hii reli itahimiri hali ya hewa kipindi cha masika cha mwezi March Hivi kweli Engineer aliyeingia darasani atapanda nguzo...
  19. JamiiForums Tanzania Baadhi ya maneno na slangs ambayo yanafifia siku hizi

    SHEGA KULALEKI BOMBA MILUPO MIKASI UMEME (UKIMWI) SLIMU (UKIMWI) DENTI DUXI DU NGINGA NGINGA MZEE MWENZANGU ... ongezea na mingine tukumbushane...
  20. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Siku Samia Suluhu akifa, tufute Majina yake kwenye Miradi yote ya Serikali

    Kwa yaliyotokea 29 Oktoba 2025, ni laana kwa Nchi. Jina lake libaki kwenye Misikiti alojenga pekee. Kwenye Utawala wake aliruhusu Watanzania kuuana wao kwa wao ili yeye asalie madarakani.. Katiba akaiita kijitabu.. Kijitabu akakitumia kuapa asalie madarakani bila ya kuchaguliwa na yoyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…