siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya kuzaliwa Mh. Tundu Antipas Lissu

    Leo amezaliwa Mh. Tundu Lissu tuungane kumtakia maisha marefu, comment yeye atasoma Coment yako.
  2. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu amepinda mgongo kila siku ili familia yake iwe na maisha bora ila leo kagundua mtoto sio wake

    ..... Nyuzi ifutwe ..... Please delete Moderator
  3. JamiiForums Tanzania Unawezaje kumwambia rafiki yako ajirekebishe jambo fulani pasipo kuikwaza nafsi yake? Mfano kinywa chake hakipo katika hali nzuri siku hiyo

    Habari za wakati huu ndugu zangu wote wa humu jamiiforums. Unawezaje kumwambia swahiba/rafiki yako ajirekebishe jambo fulani pasipo kuikwaza nafsi yake? Mfano kinywa chake hakipo katika hali nzuri siku hiyo. Sote tunajua ya kwamba watu wakishakuwa marafiki wa karibu walioshibana inakuwaga...
  4. JamiiForums Tanzania Rais aheshimu saa na siku za mapumziko

    Imekuwa kawaida Sana kusikia Rais anateua na kutengua siku za weekend au hata usiku wa manane. Taarifa zimekuwa kila mara zinapotoka hazijali kabisa ni saa ngapi na siku gani. Hata siku za sikukuu watu wametenguliwa na kuteuliwa. Rais anatakiwa awe mfano Kwa waajiri wote na wakuu wote wa kazi...
  5. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya mabinti wa siku hizi wengi kuwa na michoro ya tattoo kwenye miili yao?

    Mabinti wengi siku hizi wana michoro ya tattoo kwenye miili yao, inaonekana kama ni mtindo, mabinti siku hizi wamezibukia kwenye michoro ya tattoo. Je ni nini tatizo, malezi mabaya ya watoto, uhuru uliopitiliza ama ni kuanguka kwa maadili kwenye jamii kwa wakati huu. Natambua kweli ile tunaita...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa siku moja kusikia Serikali inakusudia kuivunja EWURA

    Kwa mtazamo wangu,katika taasisi ambazo zimeundwa kwa sheria nzuri na bora, basi ni EWURA, na si ajabu hakuna taasisi nyingine yenye sheria nzuri kama EWURA kwa maana ya kuwa taasisi ya Serikali lakini ni vigumu kuiingilia na zaidi ni vigumu kwa watawala kuweka mtu wao kama Mkurugenzi Mkuu wa...
  7. JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Nne 2020: Siku hizi hakuna 'penati' za Civics na Basic Mathematics?

    Wakuu, nawasalimu! Naomba nisaidiwe kuhusu suala la hapo juu. Nimeyaona matokeo fulani ya mwanafunzi ambaye amepata alama 'F' kwenye Basic Mathematics lakini amepata daraja la kwanza la alama 16. S............ F 16 I CIV - 'B' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'B' FREN - 'D' PHY -...
  8. JamiiForums Tanzania Aliyenishauri na kuning'ang'aniza kila siku nioe, kamfumania mkewe

    Ebwanaa sasa hivi ni saa 10 alfajiri niko zangu Mkoani huku. Ghafla usingizi ukakata usiku huu, ile kushika simu nakutana na missed call kama zotee za ndugu "Usiku huu wote wanataka nini, au misiba jamani tayari huko?" Bahati nzuri moja ya missed call ni za mdogo wangu, ikabidi nimpigie ""We...
  9. JamiiForums Tanzania Malawi yatangaza siku tatu za maombolezo baada ya mawaziri wawili kufa kwa COVID-19

    Waziri wa Serikali za Mitaa, Lingson Belekenyama na Waziri wa Usafirishaji, Sadik Mia wamefariki Januri 12 asubuhi kutokana na COVID19. Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera ametangaza siku tatu za maombolezo kwa ajili ya mawaziri na wamalawi waliofariki kwa COVID19. Bendera zitapepea nusu mlingoti...
  10. JamiiForums Tanzania Hai: DC Sabaya awataka Utumishi kueleza kwanini hawajapeleka majina ya Walimu waliostaafu Hazina

    Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amewapa siku tatu maafisa utumishi wilayani humo kuhakikisha wanatatua changamoto za waalimu wapatao 105 wanaodai malimbikizo ya fedha zao. Aidha amebainisha kuwa fedha hizo ni pamoja na malimbikizo ya kupandishwa madaraja mishahara na fedha za kustaafu...
  11. JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali atimiza siku 244 gerezani

    Mfungwa wa kisiasa Kamanda Mdude Nyagali leo ametimiza siku 244 Jela ambako amewekwa kwa kesi isiyo na dhamana Kwa mara ya kwanza alishitakiwa kwa makosa ya Uhujumu uchumi lakini baada ya kuthibitika kwamba Mhujumu uchumi huyo mpya mapato yake kwa mwezi hayafiki hata Tsh laki moja...
  12. JamiiForums Tanzania Nilijiona mjinga sana siku nilipogundua kumbe kina Kipepe na Pimbi sio watu kweli

    Kwanza naanza kwa kucheka zamani kuna gazeti lilikuwa linaitwa Sani lilikuwa kuna watu wanachorwa mle kama hadithi kupelekea mazingira kuona kama ni binadam kweli. Hivi kuna mtu ashawahi kuwaza hivi kama nilivyokuwa nawaza Mimi ahhahaha
  13. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Siasa za Afrika kama wamoja, Bobi Wine anaonja joto siku chache za kupiga kura

    Wakati wa kampeni mpaka uchaguzi nchini Tanzania wanasiasa wa upinzani walikuwa wanalia faulo za hapa na pale na ilifika mahali hata mitandao ya kijamii kupungua uwezo. Haya hapo jirani kwa mzee anayetaka kuvunja rekodi kufika miaka 100 akiwa madarakani mu7 anafanya yake. Huyu ni mgombea...
  14. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Wafugaji waliovamia hifadhi waondoke ndani ya siku 6. Mkirusha mikuki tutarusha risasi za moto

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, ametoa siku 6 kwa Wafugaji Wilayani Mbarali kuondoa Mifugo katika Hifadhi ya Bonde la Ihefu na Ruaha kabla hawajachukuliwa hatua kali Amesisitiza "Nimetoa siku sita na nawaonya kwa Mfugaji yeyote atakayekaidi agizo hilo na kuleta mapigano katika uondoaji...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa siku 90 vifungashio vya plastiki visivyo na kibali cha TBS viondolewe sokoni

    Wazalishaji na wasambazaji wa vifungshio wamepewa miezi mitatu kuondoa sokoni bidhaa hizo zisizokidhi vigezo vinginevyo wajiandae kukutana na mkono wa sheria. Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Ummy Mwalimu ametoa agizo hilo leo Januari 8 alipozungumza na waandishi wa...
  16. JamiiForums Tanzania TANESCO mkoa wa Iringa mna shida gani? Kwanini kila siku kata ya Ifunda inakosa umeme?

    Tangu tarehe 1 mwezi wa 1, wana Nchi walisherekea sikukuu ya mwaka mpya bila umeme. Umeme ulikata kuanzia saa saa 12 jioni, mpaka saa 4 usiku ndiyo mkarudisha. Tangu tarehe moja mwezi huu, mpaka leo hii tarehe 7, mmekuwa mnakata umeme kila siku. Mna kata umeme saa 2 asubuhi au saa 8 mchana...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nimewakosea sana wanaoenda kuwa wakwe zangu kutokana na mkanganyiko wa familia yangu/Sikutokea siku ya Send off

    Jamani mambo zenu, Niko katika wakati mgumu Mimi ni binti wa miaka 29 kwa sasa, nimempata mwanaume ambaye tulipanga mengi sana hadi kupanga jinsi ya kufunga ndoa, Mwaka fulani niliingia kwenye mahusiano na kijana mmoja toka Mbeya, ila kwa sasa anaishi Afrika ya Kusini kwa shughuli zake ...
  18. JamiiForums Tanzania Kosa wanalolifanya wanaume wengi sana kwa wake zao

    Hasa wale wenye mafunzo ya kale. Kosa lenyewe. Wanaume wengi, Ni wakati wa kufanya tendo la ndoa(mapenzi). Wengi wao wamekua wakiwafanya wake zao kwa viwango vya chini Sana kwa maana eti wanawaheshimu. Wamekua wakitumia staili moja tu wakati wa tendo, kifo Cha mende, Hawapigi denda wake zao...
  19. JamiiForums Tanzania Siku ya nukta nundu yasisitiza umuhimu wa kufikia taarifa

    Umoja wa Mataifa unaadhimisha siku ya nukta nundu duniani Jumatatu Januari 4, kwa kusisitiza umuhimu wa mfumo huu wa kupitisha habari kwa ajili ya kuhakikisha haki za watu wenye ulemavu wa kutoona na watu wenye uonevu dhaifu. Watu wenye ulemavu wa kutoona wako hatarini ya kukabiliwa na viwango...
  20. JamiiForums Tanzania I have dream: Ipo siku moja nami nitachat na Rais Magufuli kwenye simu

    Nasema ipo siku moja tu, Na imeisha hiyo ikienda imeenda ikirudi pancha Niwatakie jumapili njema🤦🤪🏃
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…