Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.
nasikiliza reedio clouds fm hapa dah kuna kanjanja moja mwandamizi linalopenda kusihambulai simba liko very low baada ya utoplo kupigwa na team ngumu kabisa kutoka tanga iitwayo african sports
dah aisee poleni makanjanja mengine yako busy ksuimulia jinsi y azam kuifunga simba kesho..MO KAZA...
Unatumia unit ngapi za LUKU kwa siku?
Wajemeni, siku hizi naona kama mita ya umeme inakimbia. Hivi kwa wastani yuniti ngapi za LUKU hutumika kwa nyumba ya kawaida tu?
Aisee jamani hakuna kitu kinauma kama kuondokewa na mama ghafla ambaye alikuwa ni msaada kwako kwa kila kitu. kiufupi katika familia yetu wote tumezaliwa wote boys na tuko sita hatukuwa na dada hata mmoja. Mama yetu ndo alikuwa dada kwetu rafiki kwetu na kila kitu katika maisha yetu ya sisi...
Suala la katiba mpya lilikuwemo kwenye Ilani ya chama cha mapinduzi ya mwaka 2015
Raisi Magufuli wakati anazindua bunge mwaka 2016 aliahidi kukamilisha kiporo cha katiba mpya akichokirithi kutoka kwa mtangulizi wake
Pia mara kadhaa baada ya hapo aliahidi kuendeleza mchakato wa katiba mpya...
Binafsi haya mambo ya kugandana kila mahali tuko wote, ikitokea tuko ndani basi weekend nzima tupo tu tumegandana mi huwa siwezi kwakweli yani ntajikuta nadanganya kuwa naenda kuangalia mpira ili nipate some space kukaa na mwananmke muda zaidi ya masaa 12 siwezi kabisa.
Sijui wenzangu kwemu...
Wale wanaosafiri safiri kidogo ninaamini wananielewa.
Enzi za Mwalimu (RIP baba/babu yetu), huko ubeberuni huyu mzee ingawa walikuwa hawampendi kwa misimamo yake lakini walikuwa wakimwogopa na kumheshimu mno.
Why? Ni kwa vile alikuwa ana uwezo wa kuitetea misimamo yake scientifically (aka...
Binafsi sio mtumiaji wa Airtel Internet. Mara nyingi ukiona natumia bundle ya internet ya Airtel basi ni ile inayotokana na vifurushi vya kawaida vya Dakika + SMS + Internet ingawaje mara nyingi hii bundle huwa inapotea tu kwa sababu kwa muda mrefu nimekuwa nikitumia ama TTCL au Halotel.
Kwa...
Ili taifa liwe na mwelekeo thabiti lazima kile kilicho ndani ya katiba kiheshimiwe. Ndio maana misingi ya utawala na hata utungaji wa sheria za nchi zetu lazima zirandane na katiba ya JMT. Kile kilichotamkwa na katiba ya JMT ndio mwanzo na mwisho juu ya mustakabali wa suala lolote.
Leo hii...
Hapo vipi!
Nimeshakutana na watu wenye kuamini baadhi ya siku kwenye juma zina mikosi, hivyo hufunga hata kazi zao.
Je, hizi siku zipo na je kuna ukweli?
Yaani tu basi....
=======
Polisi Dar wapiga marufuku jogging siku za ibada
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema kuwa halitatoa vibali kwa ajili ya watu kufanya mbio za taratibu (jogging) katika siku za ibada kwa sababu wafanya mazoezi hao wamekuwa wakiwachelewesha waumini...
Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema kuanzia sasa ni marufuku watu kufanya maandamano na mbio za polepole ( jogging) siku za ibada yaani Jumapili, Jumamosi na Ijumaa na kwamba jeshi la polisi halitatoa vibali katika siku hizo.
Mambosasa amesema kuandamana siku...
TAARIFA KWA UMMA Maalim Seif Apumzishwa Baada ya Kupata Maambukizi ya Covid 19
Chama cha ACT Wazalendo kinawajuilisha wanachama wake, Wazanzibari, pamoja na umma wa Watanzania, kuwa Mwenyekiti wake wa Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe, Bi Awena, pamoja na Wasaidizi wake kadhaa wa karibu...
Kikawaida kaburi huwa futi sita kwenda chini.
Ila Kuna watu wanaishi vibaya Sana na jamii yao kiasi ambacho masela huchimba hata futi 15 alimradi tu wakiamini asifufuke kabisa. Kufukiwa futi nyingi ni ishara ya kuchukiwa Sana na jamii yako.
Sasa swali je wewe unaishi vema na watu?
Habari za Leo wakubwa,
poleni na mihangaiko jamani,
Basi leo nimejikuta nawaza mbali sana baada ya kukutana na dada mmoja ana mikucha mirefu balaa mara pap nikakumbuka movie ya shumileta, walati nakumbuka picha ya msyuka ikanijia nikaogopa. Nadhani uliwahi angalia movie ya msyuka jinsi...
Ukikutana na kila mzazi leo anataka shule inayofaulisha, wazazi wako busy kuulizia ufaulishaji wa shule.
Juzi matokeo yalitoka kila mzazi ama mlezi anakata kujua shule hiyo division one ngapi, sijui nini.
Swali langu, kwa nini wazazi ama walezi wameshikwa sana na ufaulu wa watoto, division...
Mimi Dar mara ya kwanza nilifika wakati naanza chuo. Sasa toka zamani nimekuwa nikiisoma Coco beach. Yale magazeti ya Sani na Bongo yalinijengea picha kuwa Coco beach ni sehemu moja babkubwa sana. Walikuww wakichora watu wanogelea na maputo huku kwenye background kuna maghorofa tupu.
Siku...
Posho za Kujikimu kwa Ajira Mpya za Walimu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Selemani Jafo amewaelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanawalipa walimu wote wa ajira mpya walioripoti kwenye Halmashauri zao posho za kujikimu ndani ya muda wa wiki moja kuanzia leo...
Idara ya Chakula na Dawa nchini Marekani (FDA), imeidhinisha dawa aina ya "Cabenuva" iliyoundwa dhidi ya virusi vya Ukosefu wa kinga ya mwili (VVU) kutumika mara moja kwa mwezi.
Maafisa wa Marekani walitangaza kwamba idara hiyo ya FDA imeidhinisha dawa inayoitwa "Cabenuva", ambayo inaingizwa...