siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Je, idadi ya siku za maombolezo kwa viongozi wa kitaifa zimeainishwa kisheria?

    Salam za rambirambi kwa Mpigania Demokrasia na mwasisi wa upinzani Zanzibar Ndg Maalim Seif. Rais wa JMT ametangaza Maombolezo siku tatu na kwamba bendera itapepea nuzu mlingoti. Rais wa Zanzibar ametangaza siku Saba za Maombolezo na bendera nusu mlingoti. Je, siku za Maombolezo zipo kikatiba...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atangaza siku tatu za Maombolezo kufuatia kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad

    Kufuatia kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad kilichotokea Februari 17, Rais wa Tanzania ametangaza maombolezo ya siku tatu. Maombolezo ya kitaifa yanaanza Februari 17, ambapo bendera zote zitapepea nusu mlingoti. Aidha Rais awaomba wafiwa wote wawe na moyo...
  3. JamiiForums Tanzania Watumiaj wakongwe wa smartphone: Mtandao ambao isipite siku hujachungulia

    Asalaam aleikum. Kila siku kuna watumiaj wapya wa mitandao mbalimbali ya kijamii na internet kwa ujumla. Nichukue ukurasa huu tusaidiane kujua mitandao yenye faida kwa kila mpenda habar, maono, hekma na mambo ya kufaidisha kupitia simu ya mhusika. Wengine wanakuwa na hamu tu ya kumilik simu...
  4. JamiiForums Tanzania Lindi: Watumia mafuta ya Mil 7 kwa siku 4 na kununua pikipiki 2 kwa mil 11

    Mkuu wa wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi Hashim Komba ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU wilayani humo kufanya uchunguzi wa matumizi mabaya ya fedha kiasi cha shilingi milioni 18 zilizotumika kwenye mradi wa Usafi na Mazingira (WASH) wilayani humo ambapo ni Ununuzi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Waislamu watangaziwa mfungo wa siku tatu ili kujiepusha na COVID19

    Katibu wa Baraza la Maulamaa, Sheikh Hassan Chizenga ametaka waumini wa dini ya Kiislamu nchini Tanzania kufunga kwa siku tatu kuanzia Machi 8 ili kumuomba Mungu aepushe janga la CoronaVirus. Pamoja na Mfungo Baraza Kuu la Waislamu Tanzania limeona haja ya kurejesha dua za Kunuti katika swala...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, hili ndio tatizo vijana wengi wa siku hizi kuwa na vipara ukilinganisha na wa zamani

    Inakuwaje wanajamvi, Yani ukiangalia picha na video za miaka ya tisini kurudi nyuma vijana wengi hadi wa makamu miaka 45+ walikuwa na afro na nywele nyingi. Ngumu sana kukuta vipara. Ila sasa hivi kwaanzia ma teenegers hadi 27 years wengi wana vipara. Tatizo nadhani msongo wa mawazo, vyakula...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mtu maarufu halafu masikini usipende kusimanga watu, Ipo siku litakukuta jambo Watu watakupita kama nyanya mbovu

    Masikini akipata, matako huria mbwata! Mhenga aliyesema hivi hakuwa na maana ni kweli makalio yatabwata! Alimaanisha ukipata kitu basi usiwakwaze wengine! Kuna watu wamejipambanua kwa majina makubwa sana mtandaoni, wanatambulika kama public figure machonj pa watu! Lakini pamoja na yote, kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Hili ndilo vazi langu rasmi la siku ya leo ya Valentine

    Kwa kuwa mimi sio mtu wa wanawake, na mpenzi Sina, Basi leo nimegonga pamba zangu kali za timu yangu pendwa, niipendayo sana kutoka katika mji wa Baraka Mbeya City
  9. E

    JamiiForums Tanzania Watu tulio single tunavaa nguo za rangi gani Siku za Valentini?

    Wakuu mambo, Mpo poa. Sasa wajumbe nipo hapa najipanga kwaajili ya valentine day kesho jinsi nitavyo toka huko kitaa. Sasa napata kizungumkuti kuhusu rangi ya nguo ya kuvaa kesho kwa sisi tulio single. Hivi ni rangi gani ya nguo inafaa kuvaliwa kwa sisi tulio single.
  10. JamiiForums Tanzania Siasa acha iitwe siasa: Ukiinuliwa na Mungu daima utabaki kuwa juu lakini ukiinuliwa na mwanadamu ipo siku atakushusha chini

    Video inajieleza
  11. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gamanywa: Jumapili itakuwa ni siku ya kupiga nyungu kuu kuliko zote pale Kanisani kwetu!

    Askofu Gamanywa wa kanisa la BCIC na Huduma ya Hakuna Lisilowexekana amesema Jumapili hii itakuwa ni siku ya kupiga nyungu pale kanisani kwake Mbezi jogoo mkabala na Interchick watu wote mlio wapendwa mnakaribishwa. Kupitia ukurasa wake wa fb askofu Gamanywa anasema tukio hili siyo la kulikosa...
  12. JamiiForums Tanzania Shemeji zako wa kiume wakija kukutembelea, siku hiyo usilale na dada yao (Mke Wako). Kalale nao chumba kimoja

    Mambo vp jamiiforums. Je, shemeji yako wa kiume anaweza kuwa swahiba? Ninaomba kuanza kwa kutangua kusema maneno haya machungu ambayo yatawauma wanaume wengi sana. Hata mimi nilikuwa hivi hivi. Mwanaume wengi sana huwa hawawapendi shemeji zao wa kiume siku za mwanzoni. Just imagine, kwa akili...
  13. JamiiForums Tanzania Wabunge mngejadili uwezekano wa kuwa na ukomo kwenye mikataba ya kazi kulingana na maslahi yanayopatikana

    Ningependa siku moja nisikie mkijadili kuhusu kuleta miswaada ya jambo hili. Katika mfumo wa ajira kuwe na ukomo kwenye mikataba ya kazi tu kulingana na maslahi yanayopatikana. Wenye mishahara inayozidi 6M+ ndani ya miaka 5 wastaafishwe kwa manufaa ya umma wapishe intake nyengine. Wale wenye...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ethiopia katika ziara ya siku 2 nchini Burundi

    February 9, 2021 Bujumbura, Burundi The Ethiopian Head of State in an official two-days visit in Burundi The Federal Democratic Republic of Ethiopia Head of State made an official two-days visit to Burundi from this Thursday. The Ethiopian Head of State arrived at Ndadaye Melchior...
  15. JamiiForums Tanzania kuelekea (VALENTINE)siku ya wapendanao je ni siku ya sex au kuonesha upendo uwapendao

    habarini za muda valentine imekaje kwa upande wako je ni siku gani katika maisha yako na kuwakumbuka uwapendao kwa upendo waliokuonesha kwa namna moja au nyingine au ni siku ya sex mana ndo siku inayoonekana kuwa na visa vingi vya mlipuko na maambukizi ya magonjwa ya zinaa pia kujaa kwa nyumba...
  16. JamiiForums Tanzania Kuelekea (VALENTINE)siku ya wapendanao je ni siku ya sex au kuonesha upendo kwa uwapendao

    nasikiaga siku hizi gest huwa zinajaaa sana na mambukizi ya magonjwa ya zina huongezeka kwa kasi sana je hi siku ni kwaajili ya nini haswa je ni sex au kuonesha upendo kwa kutoa zawadi kwa ndugu jama na marafiki uwapendao
  17. JamiiForums Tanzania Uwezo wa kunusa umepotea siku ya tatu sasa

    Habari wakuu Hapa nilipo sina amani kabisa ,uwezo wa kunusa umepotea kabisa ,ninakula chakula bila kusikia harufu yake. Ninamafua ya kawaida hayanibani sana ,ila hili la kutonusa na kusikia harufu ya kitu limekuwa kubwa zaidi Naomba kujua tiba yake Uzi tayar
  18. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom na wizi wa kifurushi cha siku: Hayatimii masaa 24, hata ukijiunga saa 11:00 jioni ikifika saa 10:59 jioni ya siku hiyohiyo kifurushi kinaisha

    Kwa kweli kwa kipindi kirefu zaidi ya miaka 2 hii laini ilibaki ya huduma ya MPESA, nilikuwa natumia Halotel, Hlotel walipoharibu kwenye spidi ya data, nikaona nijaribu Voda. Kinachofanya niandike uzi huu ni jinsi huduma zao zilivyo. Kwanza kabla ya kujiunga na kifurushi cha siku hawasemi...
  19. JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Peter Mamiro afariki dunia zikiwa zimepita siku mbili tokea mkewe(Prof. Delphina Mamiro) afariki dunia

    Habari mbaya ya kusikitisha ni kuwa Dkt. Peter Mamiro amefariki dunia usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro ikiwa zimepita siku mbili tokea mkewe, Profesa Delphina Mamiro afariki dunia. Dkt. Peter Mamiro na Profesa Delphina Mamiro walikuwa wanafundisha Chuo cha Kilimo Sokoine - SUA. Habari za...
  20. JamiiForums Tanzania Siku 💯 za uongozi wa Rais Mwinyi Zanzibar ni nyota njema kwa Wazanzibar

    Salaam JF, Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi leo ametimiza siku 💯 tangu alipochaguliwa na Wazanzibar kuwa Rais wao, ukweli upo wazi kuwa Rais Mwinyi ameweza kufanya Mambo ya msingi na yenye tija kwa Wazanzibar na taifa lao kwa ujumla ndani ya kipindi hiki kifupi. Rais Mwinyi ameweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…