siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nilichokiwaza nilipoona matumizi ya Serikali

    Mmmmh! Siku ya kwanza binafsi kuona bajeti ya jumla ya serikali nilimuuliza rafiki yangu xxxx kwamba hivi tutafanikiwa kweli kama ulaya sisi? Niliuliza hivyo bila kuelewa vizuri maana binafsi nilivyoona salaries na wages inaichukua serikali pesa nyingi nilisikitika sana moyoni. Nilisikitika...
  2. JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Mtokambali: " Wito wa maombi maalum ya kitaifa ya siku 21 dhidi ya wimbi la pili la maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19)”.

    Wana jamvi amani kwenu ! Leo nachukua nafasi hii kumpongeza askofu mkuu Dkt. Barnabas W. Mtokamhali wa kanisa la TAG; kwa barua ya kumbukumbu TAG/MNM/GEN/45 ya tarehe 05 Machi 2021; kwenda Maaskofu wote wa Majimbo,Wakurugenzi wote wa Idara na Vitengo, Waangalizi wote wa Sehemu, Wachungaji wote...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Usikivu: Maoni na Ushauri kutoka kwa Daktari Bingwa kuhusu changamoto ya Usikivu

    Leo tarehe 3 mwezi Machi 2021 ni siku ya usikivu duniani. Hii ni siku ambayo inasherehekewa duniani na kampeni yake inaendeshwa na Ofisi inayojulikana kama “Prevention of Blindness and Deafness” ya Shirika la Afya Duniani (W.H.O) Jambo kubwa linalofanyika katika siku ya leo ni kukumbushana...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ooh happy day: Oh lalalala siku nzuri sana hii, asante Mungu

    OOH HAPPY DAY ..lalalalalalalalalalaaaa lalalalalaaaa Siku imeanza vizuri sana Thank you Jesus kwako kila goti litapigwa,nakula double kicks za kutosha huku nikiangalia movie ya UNDERCOVER BROTHER OOOH HAPPY DAY..USHUKURIWE MUNGU
  5. JamiiForums Tanzania Kumbe wanaume nao wanapataga siku zao kwa mwezi 😱

    Sasa huwa mnazitumia vipi hizi pads? Na nyinyi pia huwa mnaumwa wakat wa siku zenu km tumbo au kiuno?
  6. JamiiForums Tanzania Uzalendo: BAWACHA yaahirisha Kongamano lililopangwa kufanyika Iringa kuadhimisha siku ya Wanawake dunia ili kuzuia maambukizi ya Corona

  7. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Morogoro mbona kila siku umeme hakuna kwa muda mrefu?

    TANESCO Morogoro kwa kukatika huku umeme kila siku kwa masaa mengi mjitafakari. Nadhani Mh. Rais Magufuli hajagundua upuuzi huu ila soon atagundua na mtalia na kusaga meno pale mtakapotumbuliwa! Kila siku umeme lazima ukatike na hakuna taarifa yoyote inayotolewa kwa umma. Wananchi wanateseka...
  8. JamiiForums Tanzania Siku ya wanaume bora duniani, Happy Husbands Day

    Today is World happy husband Day. Let us maintain 2 minutes silence and appreciate some real life experiences quotes of some great personalities: After marriage, husband and wife become two sides of a coin, they just can’t face each other, but still they stay together. – Al Gore 😁 By all means...
  9. JamiiForums Tanzania MUNGU WA HEDHI: Hedhi yake hutoka mwaka mzima na kukuta siku tatu

    MUNGU WA HEDHI: hedhi yake hutoka mwaka mzima na kukata siku tatu tu Ukiniuliza nchi gani namba moja ungependa kuitembelea leo, basi binafsi yangu ningekutajia UFARANSA ningependa kwenda kule kwa sababu kuu mbili mandhari ya mji mkuu wa PARIS yanavutia sana , si ajabu kukuta wasanii wetu wa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Siku kuwa na masaa 72

    Ulishawahi kujiuliza nini kingetokea kwa Dunia endapo siku moja ya muzungu ingekuwa na Masaa 72 yaani masaa 36 mchana na Masaa 36 usiku
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango: Narudi kuchapa kazi, Mungu amenivusha. Leo siku ya 3 sijatumia mtungi wa Oxygen

    Waziri wa fedha na mipango Dkt. Philp Mpango amesema anarudi kuchapa kazi baada ya mkono wa Mungu kumvusha na ugonjwa uliomkumba mpaka akalazwa. Waziri Mpango amesema haya (Nukuu) - Narudi kazini na kazi ndogondogo nimekwishaanza za kulitumikia Taifa. Watanzania tuendelee kumwomba Mungu kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

    Timu ya soka ya Simba leo iko dimbani kupambana na Al Ahly ya Misri katika mchezo wa hatua ya makundi ukiwa ni mzunguko wa pili kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa majira ya saa kumi jioni. Pamoja na timu zote kuwa na alama tatu baada ya kushinda mechi zao za mzunguko wa kwanza, Al Ahly inaongoza...
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Ni ujinga Waziri kutoa Data za Walioathiriwa na Corona kila siku. Bei ya chanjo ni Tsh 400,000

    Naibu Waziri wa Wizara ya Afya Jinsia Wazee na Watoto amesema watu wengi wanasema Tanzania haitoi data, ambapo amesema data haina haja ya kutangazwa kila siku na Waziri, utakuwa ni ujinga mtupu. Amesema Data huwa inataka uchakataji ili kujua tatizo ya magonjwa yanayosababisha vifo na kujua...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hawa polisi wetu wana swagger za ajabu sana

  15. S

    JamiiForums Tanzania Kirusi cha Corona kwenye nguo kinaishi siku mbili

    Huyu ni mwanasayansi gani asiyetambua ukweli? Kirusi cha Corona kwenye nguo uhai wake siku mbili na kwenye vyuma kinaishi hadi siku nne. Kontena tuka huko kwa mabeberu usafirishaji unachukua wiki tatu hadi mwezi kufika Tanzania. Sasa virusi gani tunavyoletewa toka kwa mabeberu? Propaganda...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunawaambia kila siku, Tanzania drops 11 spots in Africa e-commerce score, meanwhile Kenya remains among the highest-ranked country

    Kung'ang'ania mshindane na Wakenya mtaishia kupasuka misamba, sisi tupo kwenye ligi nyingine.... Dar es Salaam. The latest United Nations Conference on Trade and Development’s Business-to-Consumer (B2C) E-commerce Index 2020 has seen Tanzania’s ranking drop by 11 spots to currently rank at 110...
  17. JamiiForums Tanzania Hofu yatanda Jijini Mwanza, wakazi wajifungia ndani ya nyumba zao siku nzima ya leo

    Katika hali ya kustaajabisha siku ya leo jumamosi, jiji la Mwanza hasa maeneo ya Buzuruga, Nyasaka, Mahina, Mhandu, Gedeli na maeneo mengine ya jirani hali imekuwa tofauti na ilivyozeleka. Katika maeneo tajwa katika siku nzima ya leo anga limekuwa kama lina vumbi au ukungu au vyote kwa pamoja...
  18. JamiiForums Tanzania Dodoma pamepoa sana siku hizi hamna totozi kabisa

    Mwaka 2014 nilikuja Dom kikazi majira kama haya... aisee mji ulikuwa umechangamka sana. kuanzia Chako ni Chako, Mwanga Bar, Club 84 na Maisha. kulikuwa na Totozi na ilikuwa raha saana kuja Dom. kwa sasa nina wiki hapa viwanja hivyo hamna Totozi kabisa. wamejaa makahaba wa pale uhindini...
  19. JamiiForums Tanzania Tulilia sana siku ile kiukweli

    Dah nimewakumbuka washkaji zangu tuliozaliwa siku moja pale hospital siku ile dah Yaani tulilia kinoma siku ile,kila wakitunyamazisha..ah wapi hatutaki..tunalia tu tena bila sababu Wakitunyonyesha aah wapi hatuachi kulia...yaan nakumbuka mm mpaka nilipaliwa.. Dah Sijui sku hizi wako wapi...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kama ombi la Profesa Kabudi litakubaliwa huko UNESCO basi tarehe 07 Julai kila mwaka itakuwa ni Siku ya Kiswahili Duniani

    Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi ameiomba UNESCO kukitambua rasmi Kiswahili kama lugha ya mawasiliano duniani na kwamba itangaze tarehe 07 Julai ya kila mwaka kuwa ni Siku ya Kiswahili Duniani. Hili ni jambo jema, tuombe Mungu alibariki ombi hili. Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana vyama!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…