siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    JamiiForums Tanzania Madereva wa malori waipa Serikali siku 2 mwenzao apatikane, la sivyo watagoma

    Chama cha Madereva wa Malori Tanzania, (TATAMATA) kimetoa siku mbili kwa Serikali kushirikiana nao kumtafuta aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Godlove Materu , la sivyo madereva wote wa chama hicho hawatafanya kazi kuanzia Februari 10, 2026 mpaka apatikane. Kwa mujibu wa viongozi wa chama...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nitawezaje kutengeneza $20- $50 kwa siku online?

    Dunia sasa hivi imeenda digital (AI) hivyo naomba tupeane michongo ya jinsi ya kutengeneza hela ndogo ndogo online (genuine website); BILA kujumuisha betting Hata ukiwa na mchongo tofauti ila unao uelewa vizuri sio ule wa kusema tu; nenda kalime matikiti/ Nyanya wakati hata mahindi hujawahi...
  3. JamiiForums Tanzania Kipima ubora wa Maji (TDS Meter): Je, Maji unayokunywa ni safi? Linda afya yako na familia yako kwa kipima TDS

    💧 TANGAZO LA KIPIMA UBORA WA MAJI (TDS METER) 💧 Je, unajua ubora wa maji unayokunywa kila siku? Linda afya yako na familia yako kwa Kipima TDS cha maji! ✅ Hupima haraka kiwango cha uchafu kwenye maji ✅ Sahihi na rahisi kutumia ✅ Kidogo na rahisi kubeba popote ✅ Kinafaa kwa maji ya kunywa...
  4. JamiiForums Tanzania Hawa mbu wa siku hizi ni Toleo Jipya au ni walewale wa zamani?

    Nauliza tu kwa kutaka kujua hawa mbu ninaowaona siku hizi ni toleo jipya au? Maana hata uwapulizie na nini hawafi
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamuziki J cole kuachia album yake ya The fall off siku ya kesho

    J. Cole - The Fall-Off Album Tracklist Expected February 6, 2026 DISC 29 1. 29 Intro 2. Two Six 3. SAFETY 4. Run a Train 5. Poor Thing 6. Legacy 7. Bunce Road Blues 8. WHO TF IZ U 9. Drum n Bass 10. The Let Out 11. Bombs in the Ville / Hit the Gas Bonus: 12. Lonely at the Top DISC 39 1. 39...
  6. JamiiForums Tanzania Nifahamisheni utaratibu wa kukokotoa mshahara wa mfanyakazi kwa siku

    Habari wakuu. Utaratibu rasmi wa kukokotoa mshahara kwa siku ni upi? Kuna mvutano umetokea sehemu na jibu likakosekana. Kwenye sheria za kazi kuna kifungu kinachozjngumzia idadi ya siku ambazo mfanyakazi anapaswa kufanya kazi kwa mwezi?
  7. JamiiForums Tanzania Usijipe stress kama kila siku unapata hizi items 5 wewe ni tajiri Money is an illusion

    Money is an illusion kama kila siku hizi items 5 unazipata wewe ni tajiri usijipe stress.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka: Tutenge siku maalum ya kumsifia Rais. Nami naongezea iwe Siku ya Mapumziko kitaifa

    Sasa inabidi TUKUBALIANE. Kwamba; TUTENGE siku moja, kuanzia ASUBUHI hadi JIONI, CCM wamsifie RAIS, mpaka WACHOKE. Baada ya hapo TUENDELEE na MAMBO YA MSINGI kama watu wenye AKILI TIMAMU
  9. JamiiForums Tanzania Paresso: Rais Samia ana siku 90 yuko ofisini takribani mambo 10 aliyoahidi watanzania anaenda kuyatimiza

    Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Mkoa wa Arusha Cecilia Daniel Paresso Cecilia Paresso amesema ahadi ambazo alizitoa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa atatekeleza ndani ya siku 100 tayari ameanza kuzitekeleza ikiwemo mpango wa bima ya afya kwa wote na mikopo kwa wajasiriamali. Akizungumza Februari 2...
  10. JamiiForums Tanzania Are You Loved the correctly way ? Au unavumilia tu siku zisogee?

    Salaam wanabodi. Tukielekea kuupokea Mwezi wa mapenzi, mwezi ambao mahusiano mengi huvunjika, mengine huanza, mengine hutetereka kutokana na Visa vya hapa na pale. Sasa nimekutana na concept moja ya Kua katika Unappreciated Relatioship, Yaani unakua na mkaka au mdada, Mzuri, mtanashati, sio...
  11. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya yaadhimisha Siku ya Sheria, yasisitiza utoaji Haki na Ufanisi wa usikilizaji mashauri

    Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeadhimisha Siku ya Sheria Nchini katika viwanja vya Mahakama Kuu, ambapo Jaji Mfawidhi wa Kanda hiyo, Joachim Tiganga, amesema kuwa wajibu wao wa kikatiba ni kutoa haki kwa wananchi na kwamba wameendelea kuutekeleza kwa kusikiliza mashauri na migogoro mbalimbali...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Siku tukija kupata kiongozi kama huyu hata kama ni mtata basi Tanzania itafika mbli sana kiuchumi, Kenya hawataweza kusogea kabisa.

  13. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe Leo ni siku ya sheria : Dah! Inakosa mvuto kwa vile Tanzania hakuna utawala wa sheria

    Wangapi wanajua kuwa leo ni siku ya sheria? Wachache maana hakuna mvuto kwa vile hapa tunaishi bila sheria. Sheria ni Samia, Mafwele, Mulilo na watu wao!
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=Kgl17Gp9Vec Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026, yenye kauli mbiu: “Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa.” Inafanyika leo Tarehe: 2 Februari...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo video ya siku ya leo

    Bunge mfu marehemu?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Siku nilioyomuona mama anauza dhahabu zake ilikuwa ni kunusuru nyumba isiuzwe, baada ya miezi 6 walirudi, hakukuwa na cha kuwapooza nyumba ikauzwa

    Zilikuwa ni pete, bangili, hereni na cheni. Watu walikuwa wajia mara nyingi kumuulizia mama wakiwa wameshika bahasha zenye nyaraka. Kuna siku mama alichukua vito vyake vya dhahabu, sikuwahi kuviona tena na tuliishi bila usumbufu kwa miezi sita. Baada ya hapo wale watu wanaobebea nyaraka...
  17. JamiiForums Tanzania Mashujaa: Siku tunacheza na Yanga tulikuwa hoi kwa kushiba maana mchana tulikula nao

    Anasema mchezaji mmoja wa Mashujaa ambaye ni mmoja ya Walinzi. Masaa kadhaa kabla ya kucheza na Yanga walikuwa wamekutana na uongozi wa wao na wa Yanga. GSM aliingia ufadhili nao na hivyo baada ya kutiliana saini wakapewa vyakula na vinywaji. Kwa kweli anasifia walikula sana na kufurahi...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Haya nyie watu, mnakubali nchi ya Tanganyika inauzwa, mnadhani mtahamia arabuni cum zenji na koo zenu hiyo siku ikija?

    Huo ndio ujumbe wenu. Mbuga, bandari, maji, na kila kitu wameuziwa waarabu, sasa dhahabu nayo watagawiwa waarabu maana watapewa kwa bei ya kutupa kama walivyopewa vingine!
  19. JamiiForums Tanzania Kila siku tunamsema Papa na Ukatoliki. Awamu hii tunatuma watu wakatubu kwake kweli?

    Asalam aleikhum wa rahma tulah wabalaqatuh! Kwa kweli nakosa la kusema. Nimeamini mfa maji heshi kutapata tapa. Imefikia tunatuma watu wakatubu na kupiga picha na Papa? Huyu huyu Papa ambaye miaka na miaka tunamtukana? Tena ni beberu hawa. Haya mabeberu yametuweka sehemu mbaya sana. Watu wa...
  20. JamiiForums Tanzania Ado Shaibu: Tunduri umeme unakatika mara 20 kwa siku

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…