siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Samia: Siku 100 za Matumaini na zilizobaki za giza

    Kuna fikra miongoni mwa wananchi kuwa siku 100 za mwanzo za utawala rais Samia alikuwa akisikiliza ushauri wa wazee hasa raisi Kikwete ndiyo maana kulikuwa na uvumilivu wa kisiasa ndani ya kipindi hicho kifupi, uonevu ulipungua, kesi za kubambikiza zikafutwa n. k Wananchi wanasema kuwa baada ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Serikali imekusanya bilioni 48 kutoka kwenye Tozo za miamala ya simu kwa wiki nne

    Wakuu, Waziri wa Fedha, Dr Mwigulu Nchemba anazungumza na waandishi wa habari muda huu kuhusu miradi ya Serikali pamoja na Tozo za miamala ya simu pamoja na mafuta. Kuwa nami kukujuza yanayojiri ========== Mwigulu Nchemba-Waziri wa Fedha na Mipango =▷ Itakuwa aibu mtanzania yoyote alie hai...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu hii Tsh 70 katika Makusanyo ya Tsh 48,489,225,670 imetoka wapi wakati Siku hizi hakuna Sarafu ya Tsh 20?

    Na kama Benki Kuu ilishaondoa katika Mzunguko matumizi ya Sarafu ya Tsh 20 imekuwaje katika Makusanyo ya Mwezi ya Tsh 48,489,225,670 kukawepo hii Tsh 70? Tsh 50 ya Sarafu najua ipo ila Tsh 20 ya Sarafu haipo tena je, hapa imeingiaje katika Mahesabu? Na kama Sarafu ya Tsh 20 haipo tena kwanini...
  4. JamiiForums Tanzania CCM tukiendelea kuwapuuza wananchi iko siku tutalia, 2025 sio mbali

    Nataka niliseme hili na ninaomba tuweke kumbukumbu hii kwa rejea ya kesho muda ukifika. Chama changu tulitaka kuungana pamoja na watanzania kuhusu suala la Tozo za kwenye simu baadaye tukaungana na serikali tikakaa kimya, mafuta yakapanda bei tupo kimya,vifaa vya ujenzi vipo juu tupo kimya, bei...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Uviko-19: Vifo mfululizo vya wazee wetu siku za karibuni, chanjo haisaidii?

    Tangu kuletwa kwa chanjo kipaumbele ilikuwa ni kuwapa chanjo umri 50+ Ila sasa tangu wameanza kupatiwa hiyo chanjo hao 50+ kumekuwa na ongezeko la vifo vya 50+ Je, hii chanjo haisaidii?
  6. JamiiForums Tanzania IGP Sirro kinachofanywa leo na TBC ndicho kitakachofanywa na CHADEMA siku ya 4/09 huko Mara hivyo huna haja ya kuzuia

    Leo 18/09 TBC wapo mubashara wakijadiri katiba mpya katika kipindi chao cha MIZANI. Tena wameita watu mbalimbali wakiwepo,Prof. Mahalu,Prof.Lipumba,mhe.Hamad Rashid na Dkt.Kinunda wakiongozwa Dkt.Rioba. Sasa na CHADEMA nao watajadiri hivyo hivyo katiba mpya siku ya tarehe 04/09 huko Mara...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha biashara ya diapers na sanitary pads

    Waungwana habari ya leo....? Bila shaka wengi wetu tu wazima na Mungu katupatia neema ya kuiona siku ya leo na walio wagonjwa Mungu aendelee kuwapigania. Nakuja kwenu kuomba msaada wa kujua ni wapi naweza kupata hizi bidhaa/ product (diapers and sanitary pads) kwa makampuni mbali mbali kama...
  8. JamiiForums Tanzania Ipo siku upinzani utachukua nchi hii, CCM siku zinahesabika

    Nimewaza sana Talibani wanapigania uhuru muda wa miaka 20 hatimae wameupata, ninaamini ipo siku CCM itaondoka madarakani maana kiukweli wananchi wameichoka, hata wao wanajua sema wanatumia dola kubaki madarakani, ipo siku watanzania uvumilivu utawashinda na CCM itaondoka madarakani kwa kupenda...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna siku Tanzania itapata haya...

    Kuna siku Tanzania itampata DPP anayeweza kujisimamia Kuna siku Tanzania itanpata IGP anayejitambua na kutumia akili zake mwenyewe Kuna siku Tanzania itaongozwa na Mkurugenzi wa TISS mwenye uwezo wa kusimamia maslahi ya Taifa Kuna siku Tanzania itampata Msajili wa vyama mwenye akili timamu...
  10. JamiiForums Tanzania Je unaweza kuhisi una siku ngapi zimebakia za kuishi hapa duniani???

    Swali tata...wengi najua wataogopa kulijibu..lakini ukweli unabaki pale pale lazima wote tutaiacha dunia.. Je una siku ngapi zimebaki?? Na kwanini unahisi zimebaki siku idadi hiyo?? Je umejiandaaje.? Je kabla hujaiaga dunia ungependa ukamilishe jambo gani.? Je kabla hujaondoka ungependa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Siku ambayo askari MP alipojitayarisha kumpiga risasi askari Sajenti kwa amri ya Mkuu wa Kambi ya Mgambo JKT

    Ni jambo ambalo sintalisahau maishani mwangu, japo lilitokea zaidi ya miaka 20 iliyopita. Leo nimeamua kulisimulia kwa kuwa nadhani kwa sasa limefikia hatua ya kuwa "declassified" hata kama lilikuwa ni siri, ila sintataja majina ya wahusika. Ilikua usiku mmoja katika kambi ya JKT Mgambo, katika...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na usalama atatoa Siri za nchi kwa maadui, Sabaya katufungua macho

    Mkuu wa Wilaya Ni mwenyekiti wa ulinzi na Usalama, unapokuwa na DC anayeweza kumchafua au kutoa Siri za Rais na viongozi wa juu kwa public kisa tu amebanwa kwa makosa aliyoyatenda ipo siku au yawezekana hata Sasa baadhi ya Taarifa za nchi hazipo salama. Most of DC na RC wamepewa hiyo kazi kwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Lazima kuna sababu za msingi sana kwa Msumbiji kuomba msaada wa kijeshi Rwanda kukabili waasi badala ya Tanzania ambao wana undugu nao wa damu

    Kuna wakati Tanzania ilijulikana kwa umahiri katika mapambano ya kivita, na jeshi letu JWTZ liliaminika sana katika uwanja wa mapambano. Hata waasi sehemu kama DRC walikuwa wakisema wazi, kwamba hawakuogopa kukabiliana na jeshi jingine lolote isipokuwa JWTZ ndio waliwaogopa sana. Tulijenga sifa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa kike siku hizi wanapiga sana picha za utupu?

    Wasalaam Imekuwa kama fasheni sasa watoto wa kike hasa vyuoni kupiga picha za utupu either wakiwa na wapenzi wao au wao kwa wao. Na hii imeleta usumbufu mkubwa kwa wazazi na familia mara tu zinaposambaa hizi picha. Wazazi tatizo ni malezi au ndo utamaduni wetu unayumba. Niliwahi kwenda India...
  15. JamiiForums Tanzania Utafiti: Binadamu huzungumza wastani wa maneno 16,000 kwa siku

    Binadamu mtu mzima angalau kwa siku anazungumza maneno 16,000 kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na mwanazuoni (Neuman, 2012) The human adult utter at least 16,000 words a day, mostly through verbal exchange (Neuman, 2012). Sasa sijui huu utafiti unawahusu na wale wasutaji wa mitaa yetu pendwa...
  16. JamiiForums Tanzania Siku ya kuzaliwa yenye furaha kwako Eric Shigongo

    Leo ni siku muhimu katika historia ya Maisha yangu, ndiyo siku ambayo Mwenyezi Mungu alinileta duniani kupitia wazazi wangu Bi. Asteria Kapela na Mzee James Bukumbi (wote marehemu). Napenda kumshurku Mungu kwa kuendelea kunipa uhai, afya, nguvu na maarifa ili kuendelea kutimiza dhumuni lake la...
  17. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya 191 kwenye mwaka huu, kitu pekee walichofanikiwa Chadema ni kuanzisha mikutano Twitter

    Hamna CCM imara kama upinzani ni dhaifu, Chadema fanyeni kujitahidi hili kuleta amsha amsha ndani ya nchi. Kwa kifupi mtu akisema Chadema imepoteza dira anakuwa yuko sahihi sana. Ebu tujikumbushe baadhi ya vitu vilivyofanywa na Chadema mwaka huu. Kuwatoa wabunge 19 bungeni (hapa chadema...
  18. JamiiForums Tanzania Siku yangu imeharibika

    Nilikua nafuatilia series ya Walking Dead imeninogea sasa nimeanza episode ya kwanza ya season 7 hamu imeniisha asee.😔 Kifo cha Glenn Rhee kimenihuzunisha mno yaani sitaki tena kuendelea na hii series. Glenn alikua mtu mzuri sana kwa kusaidia wenzie hakupaswa kufa kikatili namna hii.
  19. JamiiForums Tanzania Picha ya siku

  20. JamiiForums Tanzania Waziri Jenister Mhagama kumbuka ahadi yako kuhusu pensheni ya PSSSF kwa watumishi siku ya Sabasaba

    Tuna kukumbusha Mhe. Waziri Jenister Mhagama siku ya sabasaba ukiwa na mkurugenzi mtendaji wa PSSSF kwenye banda lao, mlisema kwa sasa mnafanyia kazi marekebisho ya malipo na maelekezo ya Mhe Samia Suluhu Hassan kuhusu kuwalipa wastaafu. Walio staafu kuanzia mwezi 3 hadi sasa hawajalipwa, je ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…