siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna siku Watanzania watapanga foleni za kilomita kadhaa ili kuchanja

    Kwa hali ninavyoiona ya hii Korona kuondoka na watu, kuna siku watanzania watapanga foleni za kilomita kadhaa ili wapate chanjo. Nilienda kupata chanjo siku ya jumanne. Nilikuwa niko peke yangu na mtoa chanjo. Tulizungumza mambo kirefu sana. Nilikaa pale kama nusu saa hivi. Mbaya zaidi...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba tips za awali za kuitwa siku ya kwanza kwenye usaili

    Wadau naombeni msaada wa mawazo ikiwa ndo siku ya kwanza kuitwa Kwenye interview...based on your career!! Viashiria gani positive inabidi uwe navyo na vipi inabidi uzue
  3. JamiiForums Tanzania Wanasimba tuendelee na uungwana labda kuna siku jirani zetu watajifunza

    Habari wandungu zaidi wanasimba wenzangu. Kama mnakumbuka wanautopolo msimu uliopita wa ligi ya mabingwa walikuwa wananunua jezi ya mpinzani wa simba wakiongozwa na bosi tena zilikuwa zinauzwa kwenye maduka ya wachambuzi uchwara. Lakini msimu huu sijaona mchambuzi yeyote kuhamasisha wanasimba...
  4. JamiiForums Tanzania Ayubu Sikagonamo wa CHADEMA atimiza siku 378 gerezani bila kuhukumiwa

    Huyu ni kijana aliyechangia kwa kiasi kikubwa sana kusambaratishwa kwa ccm huko Tunduma , alikuwa diwani wa Tunduma Mkoa wa Songwe , alishakamatwa mara kadhaa na kuachiwa kama wakamatwavyo viongozi wengi wa Chadema. Ili kumkomoa akatengenezewa kesi ya Uhujumu uchumi , yaani diwani na Mkulima wa...
  5. JamiiForums Tanzania Huwa unatumia 1GB kwa siku ngapi?

    Mimi nikijibana sana hazizidi siku mbili, wewe je huwa unatumia 1GB kwa siku ngapi?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Imetimia miaka 4 tangu Tundu Lissu apigwe risasi nyingi mnamo 07/09/2017. Mungu ni mwema wakati wote

    Wakati wote Mungu ni mwema. Mungu aendelee kukubariki na kukutia nguvu mpendwa katika Bwana mtumishi Tundu Antipas Lissu. Katikati ya maumivu ya kimwili wakakunyang'anya na ubunge lakini kuna wanaccm wawili walionesha Upendo wa kukutembelea pale Nairobi hospital nao Mungu amewabarikia bara na...
  7. JamiiForums Tanzania Zimebaki siku 6 nchi iingie kwenye aibu nzito

    Yanga itacheza na Rivers Jumapili Mkapa Stadium. Naionea huruma Tanzania inaenda kuingia kwenye aibu kubwa ya mwaka. Hii timu mazoezi inafanyia mitandaoni. Hii timu mazoezi inafanyia kwenye magazeti. Pre Season ya maana kabisa ilichezea kichapo kikali ikakata ringi kipindi cha kwanza tu. Pre...
  8. JamiiForums Tanzania Iko siku machinga watawashika viongozi pabaya

    Siku 4 baada ya kijana Hamza kusababisha mauaji ya wapendwa wetu pale Selander Bridge nilikwenda Airport kuwapokea jamaa zangu kutoka Ulaya. Tukiwa kwenye gari langu kuelekea Mikocheni, njiani kwenye barabara ya Nyerere tukaona vibanda vingi vichafuvichafu njia nzima kutoka Airport hadi...
  9. JamiiForums Tanzania Nawezaje kurudisha pesa niliyokatwa App Store?

    Wakuu habari leo nimekatwa pesa AppStore pasipo kutaka ,wataalam wa iPhone nawezaje kuirudisha pesa hii 33 USD app yenyewe niliyolipia pasipo kutaka hiyo hapo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya usafi Musoma, tupeni update!

    Mkuu wa mkoa wa Mara alitangaza kuwa leo ni siku ya usafi. Wanaodai katiba mpya nao wakakubali kushiriki usafi na baada ya hapo kongamano liendelee. Tupeni kinachojiri huko!!! ========== Mkuu wa Mkoa wa Mara Ally Hapi mapema leo asubuhi amewaongoza wananchi wa Mkoa huo na watumishi wa kada...
  11. JamiiForums Tanzania Siku nzima umeshinda site kama saidia fundi, kwanini usijipongeze jioni

  12. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Watu milioni 30 wanaofanya miamala ya Sh1 hadi Sh999 kwa siku hawakukatwa tozo ya kutuma na kutoa fedha

    Serikali ya Tanzania imesema watu milioni 30 wanaofanya miamala ya Sh1 hadi Sh999 kwa siku hawakukatwa tozo ya kutuma na kutoa fedha. Hayo yamesemwa leo Septemba mosi, 2021 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba katika mkutano wake na wanahabari akibainisha kuwa lengo ni...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Natabiri yatakayotokea siku za usoni watanzania tuzidi kusali

    Haki huwinua Taifa. Sasa ndugu zangu natabiri natabiri yatakayotokea siku za usoni. Kutakuwa na ishara ya mtikisiko kutoka kati kati ya Taifa. Mtikisiko huu utasumbua wenye mamlaka. Inashauriwa viongozi wakitaifa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kujitahidi tenda haki ili kupunguza...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Farhia Middle tumekukumbuka sana katika kipindi cha dakika 45 ya Jumatatu tarehe 30.8.2021

    Kwa kawaida kipindi hiki kinasimamiwa na Ndugu Farhia Middle kila siku ya Jumatatu kujadili/kumuuliza maswali mwalika katika kipindi hicho. Mwalikwa wa leo alikuwa ni Naibu Spika Dr. Tulia Ackson. Kipindi cha leo kimekuwa very boring na hakina ladha. Msimamizi wa leo hana mbinu kabisa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Huu ndio msingi wa haya yatayotokea leo na pia ni msingi wa yatatokea siku zijazo

    Tunaweza kuwa tunaimiza vichwa juu ya haya yanayoendelea na pengine tukawa hazipati majibu na tunashindwa kuwaelewa hawa watu tuliowapa dhamana kwanini wanafanya au kutenda haya. Naomba niwaambie sababu kubwa ni hii: "Chama cha siasa au Mtawala ambae yuko madarakani kwa muda mrefu au mfupi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Goli la Kelvin Kapumbu Yanga day

    Umeshaambiwa Wananchi wapo katika Siku yao na Wewe tena Kelvin Kapumbu bila Huruma unapiga Bao la nguvu na la Ushindi hapo hapo.
  17. JamiiForums Tanzania Vile mtakavyopata taabu siku tukipata nafasi ya kuongoza nchi kwa hii Katiba mnayokataa kuibadilisha

  18. JamiiForums Tanzania Siku ya tatu bila umeme makumbusho, biashara zinakufa

    Kwakweli inchi ishaanza kuwa ngumu, siku ya 3 mtu unatoka home unafika ofisini kwako makumbusho hamna umeme na shughuli zote za kukuingizia kipato zinahitaji umeme. Na hii ni kila wiki lazima wakate. Hakyanan tunakoelekea sijui maana hakuna hata anaejali. Ujasiliamali unaanza kutushinda hivihivi...
  19. JamiiForums Tanzania INAUZWA Banda la biashara linauzwa

    Habari wanajamvi, leo nawaletea banda la biashara . Banda hili sifa yake kuu ni movable, lina matairi! so unbaweza ukawa unaligogeza kwenye maeneo unayoyataka lina jiko la Gas kama unavyoona, hvyo unaweza kupika kitu chochote lina mchine ya kukata viazi, commercial chips cutter lina potato...
  20. JamiiForums Tanzania Jiajiri kwa kutengeneza kipato mpaka elfu 50 kwa siku

    Habari wanajamvi, leo nawaletea banda la biashara . Banda hili sifa yake kuu ni movable, lina matairi! so unbaweza ukawa unaligogeza kwenye maeneo unayoyataka lina jiko la Gas kama unavyoona, hvyo unaweza kupika kitu chochote lina mchine ya kukata viazi, commercial chips cutter lina potato...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…