siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hizi timu ndogo huwa zinanikosha sana siku zikicheza

    Hivi wakuu ni kawaida kurudia kuangalia goli moja siku nzima?😁😁😁 Hili goli haliniishi hamu.Yaani narudia kuliangalia hadi simu inaisha chaji kisha nachaji tena simu narudia kuangalia tena hadi chaji inaisha tena😂😂 Haya mambo ni kawaida au nimewehuka wakuu?😁
  2. JamiiForums Tanzania Kagera: Mtoto wa siku mbili atupwa chooni

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Kagera limefanikiwa kumuokoa mtoto mchanga aliyekuwa ametupwa chooni jana tarehe 01 Desemba, 2021 huko wilayani Karagwe kata ya Bugene katika Mtaa wa Lukajage. Mtoto huyo wa Kiume anayesadikiwa kuwa na umri wa Siku Mbili alitupwa katika choo hicho na mtu...
  3. JamiiForums Tanzania Leo tarehe 02 Desemba 2021ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi nchini Ndg. Daniel Chongolo

    Leo tarehe 02 Desemba 2021ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi nchini Ndg. Daniel Chongolo. Chama Cha Mapinduzi katika akaunti za mitandao ya kijamii kimeandika ujumbe ufutao; "Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinakutakia heri katika kuadhimisha kumbukumbu ya siku...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Batilda Buriani amewaongoza wananchi Mkoa wa Tabora katika kuadhimisha siku ya UKIMWI

    BALOZI BATILDA AONGOZA SIKU YA UKIMWI DUNIANI ILIYOADHIMISHWA KIMKOA WILAYANI SIKONGE. Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi. Dkt. Batilda Buriani amewaongoza wananchi Mkoa wa Tabora katika kuadhimisha siku ya UKIMWI Duniani Kata ya Ipole Wilayani Sikonge na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali...
  5. JamiiForums Tanzania SGR ikikamilika Bila Bandari ya Bagamoyo malori yatalazimika kupaki

    === Reli ya SG ikikamilika bila uwepo wa bandari ya uhakika kama Bagamoyo tegemeeni malori mengi kupaki SGR ikikamilika inaweza kubeba mizigo yote ya Bandari ya Dar es Salaam kwa siku 250 tu, Kama SGR itakamilika bila ya Bandari ya Bagamoyo kujengwa basi Malori mengi ya mizigo mnayoyaona...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hakika leo nimeamini kuwa Mchawi na Mnafiki Siku zote hupenda Kujishtukia hasa Mipango yake mingi ikifeli

    Kisa hujuma: Yanga Kupumzisha nyota wake . 🗣"Tutakuwa makini zaidi kwenye mechi yetu dhidi ya Mbeya Kwanza, tunajua mipango iliyopo, tutafanya hivi kujiweka katika nafasi salama kwa sababu tunahofia kupata kadi za njano na kupelekea baadhi ya nyota kuukosa mchezo dhidi ya Simba hapo Desemba 11...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba, siku mbili za miujiza ulizotuahidi tunakukumbusha zimekwisha

    Waziri siku ya Jumatatu ulitoa tamko na kutuahidi watanzania kuwa baada ya siku mbili utakuja na suluhu ya tatizo la umeme na ukame unaoikabili nchi yetu kwa sasa. Waziri leo ni Jumamosi lakini tunaona uko kimya wala huna habari kabisa na umesahau kama ulitoa ahadi ya kutupatia muujiza ndani...
  8. JamiiForums Tanzania Kama ni mfanyabiashara na una mtaji nicheki nikupe biashara ya kufanya kila siku unaingiza laki 6 kama faida

    Bidhaa unaweza toa Mwanza, Morogoro au Dar kuleta Dodoma, faida ya kila box baada ya usafiri ni 6000 kwa carton kama uko tayari nipigie nikupe maisha utanishukuru na utanifikiria cha kunipa kama shukurani baada ya shukurani. Nipigie simu 0621604087 IKO HIVI Kama una hela nenda Dar chukua...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu azindua Kampeni ya Siku 16 za Uanaharakati Kupinga Ukatili wa Kijinsia. Aagiza Shule za Msingi mpaka Vyuo kuwa na madawati ya jinsia

    Habari Wadau, Karibuni katika uzinduzi wa Siku 16 za Uanaharakati Kupinga Ukatili wa Kijinsia unaofanyika leo tarehe 25 Novemba, 2021 katika ukumbi wa Mlimani City. Kauli mbiu ya kampeni hii mwaka huu ni Ewe mwananchi komesha ukatili wa KIjinsia sasa Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu wa Jamhuri...
  10. JamiiForums Tanzania Tarehe 7 Julai rasmi siku ya Kiswahili duniani

    TAREHE 7 JULAI RASMI SIKU YA KISWAHILI DUNIANI 1/2 Mkutano Mkuu wa 41 wa #UNESCO umeipitisha tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa Siku ya Kiswahili Duniani. Azimio hilo limepitishwa na nchi zote wanachama wa UNESCO bila kupingwa, leo tarehe 23 Novemba, 2021, Paris nchini Ufaransa. Tuko pamoja; na...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi tunapaswa kusherehekea siku zetu za kuzaliwa au kulia kwa uchungu?

    Kumekuwa na utamaduni wa kusherehekea siku zetu za kuzaliwa kwa kila namna na kila utaratibu je hii ni sahihi au tulipaswa tusikitike na kulia kwa uchungu maana siku zako za kuishi dunia zinaisha au hii ikoje wajuzi wa mambo mje hapa
  12. JamiiForums Tanzania Unafahamu kuwa nchi ya Urusi imepitisha siku maalumu ya kupeana mimba?

    Katika hotuba yake ya Hali ya Taifa hilo ya mwaka 2006, Rais wa Urusi Vladimir Putin alitaja janga la idadi ya watu kuwa ni tatizo la dharura zaidi linaloikabili Urusi na akatangaza jitihada za kuongeza kiwango cha idadi ya watu na kuongeza uzazi kwa Urusi, ikiwa ni pamoja na kutoa motisha ya...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Tusipochagua genius position hizi hili taifa siku moja litakuwa taifa la manamba

    Taifa lolote lenye nguvu duniani ni taifa lenye watu walio wazalendo na wenye akili nyingi na walio jiwekea misingi kuongozwa na watu wenye akili. Taifa lolote duniani lililo na maendeleo na nguvu duniani limewekwa kwenye misingi ya watu wenye akili na sio watu wenye akili kidogo. Wengi...
  14. JamiiForums Tanzania Leo ni Siku ya Matumizi ya Choo Duniani: Je, Tanzania vyoo vinatosheleza mahitaji ya wananchi wake?

    Swali ni hili, je unadhani Nchini Tanzania vyoo vinatosheleza mahitaji ya wananchi wake? Mashuleni, Mahospitalini, Masokoni, Maofisini, vituo vya mabasi hali ikoje?
  15. JamiiForums Tanzania Siku zinavyozidi kwenda ndivyo Watanzania wanavyozidi kupoteza ari ya mapambano

    Nini kimetokea? Ni mfumo wa elimu au vyakula? Kwenye shule za sekondari watoto wamekuwa kama vikundi vya walokole, hakuna migomo, hakuna vurugu, wanasukumwa kama kundi la kondoo! UDSM hakuna tena 'kunji', sijui hata kama 'revo square' bado ipo. Vijana wanakwenda tu kama kondoo. Wamachinga...
  16. JamiiForums Tanzania Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

    Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi. Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
  17. JamiiForums Tanzania Samia ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania

  18. JamiiForums Tanzania Hivi tukio hili tunaweza kuliweka kundi la Uchawi? Niliyoyaona live siku ile

    Kwema Wakuu! Leo nitasimulia tukio lililoniacha mdomo wazi mpaka leo nisielewe nini kilitokea. Tukio hili ni halisi, sio Stori ya kubuni. STORI KAMILI! Mimi ni jamii ya watu ambao usiku tunaona mambo mengi, waotaji WA ndoto, waonaji na wakati mwingine watu tunaolala lakini tunahangaika usiku...
  19. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Morogoro kila siku umeme kukatika, kwanini?

    Kama tujuavyo, bila nishati ya umeme shughuli nyingi zinakwama. Umeme kukatika siku nzima ni hasara kubwa sana kwa Taifa. Leo Morogoro hakuna umeme tangu asubuhi hadi sasa. Namna hii uchumi wa mkoa na wa watu binafsi unaathirika sana. Inawezekana umeme haukatwi makusudi ila kama kuna hitilafu...
  20. JamiiForums Tanzania TPDC: Mafuta yaliyopo yatosha siku 15

    Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dk. James Mataragio, alibainisha hayo jana mkoani Dar es Salaam, akitafsiri kwamba ni hali inayoiweka nchi katika hali ya hatari endapo hatua zinazokwenda kuchukuliwa hazitafanikiwa. “Hivi karibuni kumekuwa na upandaji wa bei ya mafuta na hii inatishia usalama wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…