siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siku tukigawana mbao Tanganyika itarudishaje mali na mikopo iliyoenda Zenj?

    EAC ilipovunjika Kenya alihodhi mali nyingi za EAC je, ikitokea tumegawana mbao Tanganyika itarudishaje mali na mikopo iliyoenda zenji?
  2. JamiiForums Tanzania Kwa ninavyomfahamu Ndugai, ipo siku atalipa kisasi

    Mgogo wangu yule huwaga hana uvumilivu kabisa na nililonalo hakika ipo siku atabomoka tu. Muda utaongea.
  3. JamiiForums Tanzania Siku nilipojisikia vibaya zaidi

    Siku moja nilikua nimeenda kumtembelea mshikaji wangu mmoja Mwenge, yeye ana duka lake la nguo mitaa ile. Sasa story story hadi mida ya mchana tukaona twende tukapate lunch. Katika mgahawa mmoja mitaa ya jirani na ofisi ya mwana. Palikuwa pamejaa sana, meza tuliyokuta tupu ilikua na mtu mmoja...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa walimwengu walewale waliomzodoa Spika Ndugai siku akifa watamwagia sifa kedekede

    Hapa Duniani kuna Mambo Magumu sana kuyaelewa! Miongoni mwa mambo magumu kuyaelewa ni unafiki wa binadam juu ya binadam mwenzake! Watu wale wale wanaomzodoa Job Ndugai ni hao hao wa kwanza kushika MAIKI Kumpamba kwa sifa kedekede siku Akifa! Utawasikia wakisema haya! 1. Inchi imepoteza...
  5. JamiiForums Tanzania Siku moja na Sheikh Ponda Mahakamani Morogoro 2015

    SIKU MOJA NA SHEIKH PONDA MAHAKAMANI MOROGORO Miaka saba iliyopita siku kama ya leo. Siku nyingi zilikuwa zimepita sijamuona Sheikh Ponda si kwa kuwa alikuwa kifungoni mahabusi bali nilikuwa nje ya Dar es Salaam kwa muda mrefu. Nikaamua kwenda kumuona mahakamani Morogoro kesi yake ilipokuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM acheni unafiki na kiherehere, mlikuwa wapi siku zote kumtetea Rais Samia mpaka msubiri aongee?

    Nchi hii siku zote tunasemaga imejaa wanafiki wa kiwango kikubwa sana cha hali ya juu. Hawa wabunge wakati Mams anadhalilishwa na kusemwa vibaya na na Ndungai kuhusu Tozo na mikopo walikua kimyaa. Kelele za kumtetea Mama zilitoka kwa Wenyeviti wa CCM mikoa na Wilaya pamoja na Karibu mkuu wa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi Imekua rahisi sana kufanya tendo na mpenzi wako muda mfupi tu baada ya kuwa wapenzi?

    Habarini! Najiuliza sana hili swali nashindwa kupata Majibu kulikoni sasahivi imekua very easy kufanya Mapenzi na mpenzi wako mpya yaani anaweza akakubali asubuhi, mchana akaja mkafanya yenu. Au akakubali leo kesho akaja, hii imeletwa na nini? Kitambo kidogo ilikuwa hadi mkae muaminiane...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ndugai siku hizi hahudhurii hafla za Ikulu?

    Ndugai kipindi cha Magufuli nadhani alihamia kabisa Ikulu maana hakuna shughuli alikosa na kutoa hotuba as if naye ni kiongozi wa serikali Siku za karibuni haonekani shughuli za Ikulu, hata kabla ya boko lake la juzi kuhusu mikopo - wheter alikuwa sahihi or wrong siyo hoja hapa Mimi nahoji tu...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kila niisikiapo sauti ya Mzee Mangula iliyojaa mamlaka na unyenyekevu nafarijika sana

    Katika miamba ya siasa, utawala na uongozi kwenye nchi hii sio rahisi kushindwa kutaja jina la mzee Philip Mangula, makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara. Ni moja ya watu ambao wameacha historia muhimu sana na ingewekwa kwenye vitabu ingefaa sana kwa vizazi vijavyo. Ikimpendeza aandike kitabu cha maisha...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Wapendwa yule mtabiri wa asili wa neema na balaa maarufu Kakakuona yuko wapi siku hizu?

    Heri ya mwaka mpya 2022. Tunashukuru Mungu kufika na hata kuweza kuinuka na kutembea. Kwenye mada. Inaweza pita mwaka wa tano au zaidi sijamsikia huyu kiumbe au mnyama wa ajabu sijui yuko kwenye kundi gani la wanyama. Kiumbe huyu KAKAKUONA mara nyingi kwenye misimu ya hali ya hewa yenye...
  11. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: Siku Mtandao wa Intaneti ulipokatwa kwa Wiki nzima kisa Matokeo ya Uchaguzi

    Nakumbuka nilikuwa kijijini baada ya UCHAGUZI wa mwaka jana na kura kuanza kuhesabiwa ghafla siku ya kwanza yakuhesabu kura mtandao wa internet ukawa haupatikani nikaona labda itakuwa nitatizo la kiufundi. Aisee tumeenda siku ya pili mpaka wiki inapita no internet. Kuja kushtuka jiwe kaisha...
  12. JamiiForums Tanzania Wakuu mwanamke huyu kwenye mzunguko wa hedhi, siku zake za hatari ni zipi?

    Hedhi anakaa siku 3 hadi 4, Mara nyingi kwenye siku anaingia kati ya tarehe 26, 27 na 28 kila mwezi. Je, kwenye mzunguko huu hapana tatizo?, je mzunguko huu ni wa siku ngapi? Je, kwenye mzunguko huu siku zake za hatari ni zipi?
  13. JamiiForums Tanzania Mola wangu Mlezi usinifedheheshe siku watapofufuliwa wote siku ambayo haitofaa mali wala watoto, ila wale wanaomjia ALLAH kwa nyoyo safi

    Msamehe baba yangu kwani hakika yeye ni miongoni mwa wapotofu.
  14. JamiiForums Tanzania INAUZWA Uyole Hybrid UH 6303 - Mbegu bora ya mahindi ukanda wa juu siku zote.

    RIETA SEED Tunakuletea Mbegu Bora ya Mahindi ya UH 6303 Hii inastawi vema sana ukanda wa juu hasa Mbeya, Songwe,Njombe, Rukwa, Katavi na Njombe. Mavuno mengi magunia 30 kwa eka. Ni tamu kuchoma, hutoa unga mwingi. Bei: sh 4,500 kwa kilo. Unahitaji kilo 10 kupanda eka moja Tupigie 0755325442
  15. JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla:Krisimasi ni siku ya kutoa na kukumbuka wenye mahitaji.

  16. S

    JamiiForums Tanzania Siku zaja ambapo wanaoamuru wenzao wahojiwe nao watahojiwa

    Simbachawene anachagua matukio yanayomfurahisha yeye na waliompa mkate. Halafu anayasherehesha kwenye vyombo vya habari ili aonekane yuko serious na kazi. Simbachawene yuko dunia gani? Hajasikia kwamba:- Ben Saanane hajulikani alipo? Azory Gwanda alitekwa? Tundu Lisu alipigwa risasi hadharani...
  17. JamiiForums Tanzania Siku nikikamata mchawi na mwizi, bora nimuache mwizi

    Leo wakati nadamka asubuhi, mishale ya saa 12 nikasikia kelele uko mtaa wa pili, sijui mchawi kanasa Kijana nikajitusua kwenda kushuhudia maana sikuwahi kushuhudia mchawi kunasa naskia fununu tu mbalimbali Wakati nikielekea nilikuwa na dada mmoja, ambaye tuko naye nyumba moja yule dada matusi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Suala la uraia pacha alilosema Malamula litapatiwa ufumbuzi kamba ya mwisho mwa 2021 ni lipi hasa, au tulidanganywa kama siku zote?

    Nina tatizo la waandishi wa habari wa Tanzania - huwa hawajui kufuatilia mambo, na mara nyingi wanaishi kwa ajii ya siku iliyopo tu. Kuna wakati kurugenzi ya Habari ilitangaza kwamba Chancellor wa Germany Angela Melkel kaongea na Magufuli kujenga kiwanda cha mbolea mwaka 2022. Hakuna...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Siku Chadema ikishika madaraka,viongozi waandamizi wa serikali watatoka mikoa hii.

    Nikiangalia wapiganaji wa hiki chama ,napata picha kwamba siku chadema ikishika madaraka,viongozi waandamizi watatoka mikoa ifuatayo. 1.kilimanjaro 2.Mara 3.Arusha 4.Mwanza 5.kagera 6.Mbeya 7.Iringa.
  20. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Siku mbili bila kulala, huu mtindo wa kulipana pesa bar naomba uundiwe vikao bungeni

    Nisiwachoshe sana, Sasa ilivyokuwa baada ya wife kutangulia kuhesabiwa, mimi nilipaswa kufuatia nyuma yake kwa maagano ya kumalizia kazi za watu nilizozianza kisha mapema sana tarehe 25 niwe village hata kwa kutumia magari ya magazeti. Nazungumzia kuanzia juzi hiyo!! Sasa bwana huu mtindo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…