Kwenye Usiku wa Mtanzania uliofanyika Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam, Aprili 26, 2026, Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi alisema kuwa
Msisitizo wa Rais kwa siku ya leo ni mshikamano wa nchi yetu, anasema kwenye umoja, kwenye amani tunakwenda vizuri isipokuwa tunachangamoto kwenye mshikamano...