siku hizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Wana ndoa wengi siku hizi wanaishi kama maadui. Tatizo ni nini?

    Japo sio wote ila wana ndoa wengi siku hizi wanaishi kama maadui tatizo ni nini lakini yaani. Kuna watu wapo ndani ya ndoa lakini wakiwa ndani hawaongeleshani Kuna watu wapo ndani ya ndoa kila siku ugomvi vikao vya kifamilia vya usuluhishi haviiishi. Kuna watu wapo ndani ya ndoa wanaona bora...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Mbowe utaalikwa kwenda Magogoni, ila nakushauri ukienda kwa siku hizi za karibuni

    Kwa jinsi navyozijua siasa za nchi hii, Mbowe ataalikwa kwenda Magogoni either yeye kama yeye, au ataambatana na viongozi wengine wa CHADEMA. Watafanya yote ila target yao kubwa itakuwa ni kupata picha ya Mbowe na Mama lengo likiwa kuhadaa umma kuwa Mama hakuwa na ubaya na Mbowe wakati si...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi Afrika siku hizi wanafurahia mapinduzi ya kijeshi?

    Kule Sudan, Burkina Faso, na kwingineko inaonekana wananchi wakifurahia mapinduzi haramu yanayofanywa na wanajeshi wanaoziondoa serikali za kidemokrasia badala ya kuchukia mapinduzi, hii ni tofauti sana na enzi za akina Nkrumah, Lumumba, na wengine wa aina Yao. Kumetokea nini?
  4. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Maduka ya Dawa za binadamu yanapogeuka kuwa zahanati kwa kuendesha matibabu

    Kutokana na mfumo wa maisha ya sasa, ikiwemo hali ngumu ya maisha watu wameamua kuvunja sheria ili kujiingizia kipato kwa namna yoyote ile iwayo. Maduka haya yamegeuka kuwa zahanati kwa kuendesha shughuli za. Matibabu tofauti na leseni waliyopewa Mengi sana yamejificha nje ya maduka haya...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watoto wetu wa Siku hizi 'wamerogwa' au 'wamelaaniwa' na nani hasa kimalezi, kiuwajibikaji na kimaadili?

    Yaani kabisa (Mtoto) Mvulana au Msichana wa Darasa la Tano hadi la Saba anafuliwa Nguo zake, anaamshwa kwenda Shule, akila anaacha Vyombo mezani House Girl avitoe na anaamshwa Asubuhi kujiandaa kwenda Shule? Na kinachonishangaza na Kunisikitisha zaidi unakuta Wazazi Wao kipindi cha Utoto...
  6. Noel france

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hakuna raha, hakujulikani kama kumekucha wala mvuto wa viongozi....! Mambo yapo shagalabagala...!

    Wanajukwaa habari za siku...! Kiukweli nchi kama Taifa halina raha na wanchi wake hawana raha. Kwa wanaongalia mambo kiundani utakuja kugundua wananchi hawana furaha na viongozi waliowachagu Kwa mfano viongozi wa mitaa ( wenye viti wa serikali za mita ) , wabunge asilimia kubwa ya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ndugai siku hizi hahudhurii hafla za Ikulu?

    Ndugai kipindi cha Magufuli nadhani alihamia kabisa Ikulu maana hakuna shughuli alikosa na kutoa hotuba as if naye ni kiongozi wa serikali Siku za karibuni haonekani shughuli za Ikulu, hata kabla ya boko lake la juzi kuhusu mikopo - wheter alikuwa sahihi or wrong siyo hoja hapa Mimi nahoji tu...
  8. Mario Kempes

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wa siku hizi wana makalio makubwa?

    Yaani leo nipo kkoo katika wanawake 10 unaopishana nao basi 7 wamefungasha na wana mizigo kweli. Nini siri ya mafanikio? English figure zinaanza kupotea
  9. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Hivi Tumaini Makene yupo wapi siku hizi?

    Naona hatuhabarishi mambo yanayoendelea ndani ya chama sisi wanachama na wapenzi wa Chadema. Yupo wapi huyu mtu?
  10. Ramon Abbas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya mna Balaa Nyie: Eti mji wa Nakuru ni mkubwa kuliko baadhi ya majiji ya Marekani kama Atlanta

    Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's. Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine? .... Hii ndio Nakuru mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta)
  11. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwl. Nyerere alipigiwa kura licha ya kuwa mgombea pekee lakini leo mgombea akibaki pekee anatangazwa kapita bila kupingwa?

    Wadau nawakumbusha tu wakati wa Awamu ya 1 Hayati baba wa taifa Mwl. Nyerere licha ya kuwa ni mgombea pekee hakuwa na mpinzani hakuwahi kutangazwa kuwa kapita bila kupingwa badala yake wananchi walimpigia kura na kuhesabiwa kisha matokeo kutangazwa. Lakini leo tume ya uchaguzi mgombea akibaki...
Back
Top Bottom