sikio

Panic is the twenty-sixth album by the Finnish experimental rock band Circle.
It is one of the most idiosyncratic albums of Circle's long and varied career. It comprises eleven tracks. The first three are synthesizer-based ambient music pieces. These are followed by six short punk songs. Finally, the last two tracks are the almost silent "Tunnel" and the 15-minute drone piece "And Far Away". A sticker on the CD case describes the band as "Finland Speed-Kraut Pioneers" and refers to a list of obscure Finnish bands. Rather than their real names, the band are credited in the sleevenotes under pseudonyms: Jussi Lehtisalo is Junttura; Janne Westerlund is Sikiö; Tomi Leppänen is Mätky; and Mika Rättö is Klinga Präpierde. These alter-egos were used again for the 2011 EP Mylläri, which comprises four short punk songs in the style of the middle section of Panic.

View More On Wikipedia.org
  1. Kiukweli kabisa, serekali hii ni sikio la kufa. Aidha wanatudharau au wanaona hatuna cha kuwafanya

    No reform No election ilianza hivi hivi. Chadema ambao ndio wanaopush agenda za wananchi, waliwaambia serekali na CCM kwamba bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi. Serekali ikiwadharau. Mh Lisu na kamanda Heche wakapita mikoani kuwaeleza wananchi wasiende kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu na...
  2. TUTATOKAJE HAPA TULIPOFIKA?

    Tanzania ni nchi masikini lakini tangu kuasisiwa kwake imekuwa ni nchi bora kwa umoja na mshikamano. Kwa umasikini wao siku zote wamekuwa wakishikamana kwa upendo. Wakiombana chumvi hadi chakula kwa upendo mwingi. Wameshirikiana kwenye misiba na sherehe Dini zao hazikuwafanya wachukiane wala...
  3. TUTATOKAJE HAPA TULIPOFIKA?

    Tanzania ni nchi masikini lakini tangu kuasisiwa kwake imekuwa ni nchi bora kwa umoja na mshikamano. Kwa umasikini wao siku zote wamekuwa wakishikamana kwa upendo. Wakiombana chumvi hadi chakula kwa upendo mwingi. Wameshirikiana kwenye misiba na sherehe Dini zao hazikuwafanya wachukiane wala...
  4. Enyi sikio la kufa, nimewiwa nitoe codes kwa mara ya mwisho

    Habarini wanangu, wazee wenzangu,kaka zangu, wadogo zangu n.k huwa na uzee huu nilionao naumia mno nikiona watu hasa vijana na laymen wengine wakipewa taarifa za ungo. kwenye eneo lolote lile, naumia mno .....ipo hivii.. mimi nimeona mengi, nimepigana vita vingi na nimekwepa...
  5. Siku hizi kuna mlio hua nausikia kupitia sikio la kushoto ambao wengine hawausikii

    Kuna wakati nikikaa kuna mlio fulani hivi nausikia sikio moja tu. Kuna ule mlio unausikia mfano mtu akikupiga kofi la siikio au umejigonga sehemu kwenye kichwa unasikia kitu km kinalia ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kwa kingereza wanaita buzzing or humming sound. Nitakua na tatizo gani? Au ni...
  6. Afya

    Naomba msaada kama Kamanga medics hospital wanataibu severe hearing impairment? Aliye na uzoefu matibabu ya hapo anisaidie
  7. CCM Sikio la kufa. Wezi wameanza kuunda baraza la mawaziri

    Matukio ya karibuni yanaonyesha mifano dhahiri kwamba viongozi ni watu wa kejeli kama kuwataka wananchi “waende Burundi” badala ya kujisahihisha, na uteuzi wa watu wanaofahamu maovu ya serikali lakini wanapewa nafasi za juu kana kwamba lengo ni kufunika yaliyovunda. Wananchi wameonesha wazi...
  8. CCM sikio la Kufa Zungu Hawezi kuendesha bunge la kuisimamia Serikali sahau

    GT Nadhani kwa sasa mnaona wote jinsi serikali ilivyoanza na uhuni bungeni. Zungu ni team msoga genge la wahuni hawezi kuruhusu mjadala wowote wa maana wenye tija kwa taifa. Amewekwa pale kulinda maslahi ya mafisadi hakuna jingine tumwombe tu mungu afanye yake mapema
  9. R

    Adv. Mwabukusi umetimiza wajibu wako, lakini hawa wameshakuwa sikio la kufa kama Idd Amin wa Uganda.

    Tuliokuwepo watu wazima wakati wa kutoelewana kati ya Idd Amin na Nyerere, Idd Amin aliambiwa kila jema na dunia nzima .....alilipuuza kila kitu akiamini ana jeshi la kuwakabiri watanzania!. Matokeo yake kila mmoja anayajua Idd Amin alifia wapi! Hali iko hivyo hapa kwetu. Mtawala wetu sidhani...
  10. Wakuu nisaidie tiba ya kienyeji za sikio kuziba , dawa za kizungu zimedoda

    Nasikia presha kwenye sikio, kelele sikioni na pia kama niko majj hivi, hali ya sikio kuwa kama kuba kitu kimeziba. Nisaidieni wakuj
  11. Msaada kuhusu sikio kuwa na hali kama ya kujaa maji, nifanyaje kabla ya kwenda hospital?

    Nilipata maumivu ya jino yaliyopelekea sikio kuuma na kufika baadae nikapata kama presha katika sikio, ile hali kama kuna kitu sikioni au maji hivi. Ni siku mbili sasa jino limepona kelele zimepungua ila ear fullness ,bado ipo Dawa za matone zimedoda, kuna njia yoyote ya huduma ya kwanza...
  12. Otomyiasis: Funza kuishi ndani ya sikio lako

    Unaweza ku imagine kuishi huku unajua kuna funza wapo hai ndani kabisa ya sikio lako, na wanapata chakula, hewa na mahitaji yote wanayohitaji ili kuishi. Ufahamu ugonjwa wa OTOMYIASIS Otomyiasis ni hali ambapo funza huishi na kukua ndani ya sikio la binadamu au mnyama. Hii hutokea pale nzi...
  13. Y

    Kuvimba kwa tezi nyuma ya sikio

    Habari Wana JF natumaini muwazima Nyuma ya skio kunakuaga na kitu kama kiarage(tezi ya limfu) Jana katika kukaa nilikuta kimevimba na kabla ya hapo juu ya skio nywele zinapoishia nilipata uvimbe uliodumu ndani ya sku mbili ila kwa Sasa umepungua. Je shida yaweza kua ni nn? Pia nilikwenda...
  14. B

    RC KIHONGOSI ni Sikio la Kufa

    RC Simiyu Kihongosi ni sikio la kufa, wakuu wa mikoa wenzake walikopita CHADEMA kuanzia Kagera, GEITA, MWANZA, MARA wote hawakujihusisha na hujuma zozote dhidi ya Mikutano ya Chadema zaidi kama ni majibizano yalibaki kati ya Wakurugenzi na CHADEMA kuhusu viwanja. Lakini Simiyu imekuwa tofauti...
  15. PreGE2025 Kesi ya Lissu inapigia promo uchaguzi wetu ujao kufuatiliwa kimataifa na kutegewa sikio na inamsogeza Lissu karibu na Ikulu

    Kama ukifuatilia siasa zilivyoenda kwa trump hadi kushinda uraisi ni pamoja na kesi zilizokuwa ziki mkikabili kumpush hadi ikulu na kufanya uchaguzi ule kufuatiliwa zaidi duniani. Tukiangalia kesi ye lissu iliyotokana na kuhamasisha kwake mageuzi ya kiuchaguzi na kufunguliwa mashtaka ya uhaini...
  16. Sikio la Kufa halisikii dawa - Wakataa ndoa wote

    Wakati unashawishika na watu waliovuta bangi zao, waliojikatia tamaa ya kuishi, wasiotaka ndoa kwa kuwa wao si wanaume wala si wanawake... hawajielewi, waliotingishika akili baada ya kutendwa kwenye mapenzi; waliolelewa nje ya famili na wakachukia familia; kaa chini utafakari. Hapa si quote...
  17. Sikio la kufa daima halisikii dawa.

    Wasalaam Nimesikiliza interview ya Ezekiel Wenje iliyofanyika wasafi fm nikagundua kuwa huyu mtu ni nusu mfu na anachowaza ni ruzuku tu na madaraka. Asema eti Abdul ni mtu muungwana sana na mkarimu, kweli leo ccm wamekua wema kwake na chadema? Tangu lini? Ukimwangalia anavyoongea unaona kabisa...
  18. Watekaji walikata sikio la mjukuu wake baada ya Getty kuwa mgumu wa pesa. Alivyoona hivyo akademand apunguzie ransom maana mjukuu hayuko kamilifu 🤣🤣

    Paul Getty, huyu ndio mmoja ya wawekezaji wa kwanza kuvuta mafuta Saudi Arabia miaka hio bado ni nchi isio na maendeleo makubwa. Mwanzoni Waandishi walivyomuuliza kwa nini hataki kutoa ransom alijibu hivi "Nina wajukuu kumi nne. Kama nikitoa pesa ya huyu mmoja basi 14 wengine watatekwa"...
  19. Msaada: Tofauti na Bugando ni hospitali ipi nzuri kwa ajili ya matibabu ya sikio mkoani Mwanza?

    Karibuni wana Rock city mnielekeze.
  20. Nasumbuliwa na tatizo la sikio kupiga kelele

    Jamani wapendwa ninaomba msaada wa tiba ya tatizo la maskio kusikia kelele Nina miaka 5 Sasa sijapata suluhisho .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…