siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. generationn Z

    Lisu kaonyesha ukomavu wa hali ya juu ktk siasa

    Sifatiliagi siasa sana ila huyu mwamba kanivutia na kunifanya nipende kufatilia habari zake 1>kusota kote gerezani. hii inaonyesha jamaa hanunuliki kirahisi km walivowanasiasa wengne 2>kuendelea kusimamia kile anachoamini...hapa pia ameupiga mwing sana hapa Tz si rahisi kupata mtu km huyu...
  2. R

    Ufaafu wa siasa za "tutawajengea" kwa nyakati za sasa

    Kufuatia yaliyotokea (sitayarudia hapa), kuna wenye mtazamo kwamba ni matokeo ya ujumbe vs usahihi wa jukwaa ulipotolewa. Binafsi nimejikuta na fikra tofauti. Je, ni sahihi kuhitimisha kwamba siasa za tutawafanyia/tutawajengea hiki zimepitwa muda wake? Kwa akili zangu za kawaida, naamini wenye...
  3. Inside10

    Jenerali Mkunda: Wastaafu JWTZ Epukeni Siasa

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali John Jacob Mkunda amewataka wastaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutumia kipindi chao cha kustaafu kujikita katika shughuli za maendeleo na kuachana na masuala ya siasa. Jenerali Mkunda alitoa wito huo wakati wa gwaride la kuwaaga majenerali 17...
  4. R

    Rai ya Jenerali Ulimwengu: UanaHARAKATI ndiyo njia sahihi ya kufanya siasa, vinginevyo ni utapeli wa siasa kusaka tonge kupitia vyama vya siasa

    Mwanasiasa asiye mwanaharakati ni tapeli anayesaka tonge kupitia kauli-mbiu na utambulishi wa vyama. Mwanaharakati ana lake jambo la kulisimamia kokote aliko hadi mwisho wake. Ukiniuliza mie, dharau wanasiasa, heshimu mwanaharakati
  5. Waufukweni

    Mnyika: Msajili wa Vyama vya Siasa anatakiwa kuipatia CHADEMA malimbikizo ya ruzuku yake yote kuanzia Juni hadi Oktoba 2025

  6. R

    Rais Samia: Wananchi hawaitaji vurugu. Kwenye Siasa za chuki na mivutano maendeleo hutoweka

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema wanahitaji amani, usalama na utulivu. Shauku ya wananchi wote bila kujali vyama vyao ni kuona serikali ikiwapa huduma bora za kijamii huku akisitiza siasa za chuki na mivutano ya kisiasahukwamisha maendeleo ya nchi. Amesema hayo leo Julai 9, 2026, wakati wa...
  7. Waufukweni

    Askofu Dkt. Bagonza: Vijana wengi wanabaguliwa katika michakato ya kisiasa kwa kulazimishwa kuwa wanachama wa vyama vya siasa

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza, amesema "Vijana wengi katika taifa letu wanabaguliwa katika michakato ya kisiasa kwa kulazimishwa kuwa wanachama wa vyama vya siasa." Akizungumza Julai 9, 2026, katika Jukwaa la...
  8. R

    Prof. Kitila: Ualimu unalipa zaidi kimaslahi kuliko Siasa, ukiwa mwalimu unaenjoy

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa Julai 8, 2026 na M & S Podcast, amesema wakati akiwa kama Mkufunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam maslahi katika ualimu unalipa zaidi kuliko kwenye Siasa "Kuwa mwanasiasa ina...
  9. mike2k

    Semantic Shift katika Siasa: Je, Tunatawaliwa na Uhalisia au na Maana ya Maneno?

    "Ukitaka kuelewa siasa, usisikilize maneno pekee; angalia matokeo." Hii ni kanuni ambayo imejitokeza mara kwa mara katika historia ya siasa duniani. Katika sayansi ya siasa, kuna dhana inayojulikana kama semantic shift—yaani mabadiliko ya maana au matumizi ya maneno ili kubadilisha jinsi...
  10. Kisesetusese

    Natamani wananchi wote turudishe kadi za vyama vya siasa. Kusiwe na chama

    Wakuu Sina uwezo mkubwa kujenga hoja Bali hapa nitajaribu. Ni suala la vyama vya siasa, hapa nikiweke pembeni CCM na chadema. Kuna zaidi ya vyama 10 na nakumbuka vilishiriki uchaguzi wa 2025 oct. Vyama hivi zaidi ya Kumi ukitoa CCM na chadema ni vikundi vya wahuni. Ni afadhari hawa wawili...
  11. M

    Martin Masese: Waandishi wa habari wanajua umuhimu wa Siasa ila wamechagua kuwasaliti wananchi

    Kizazi cha Waandishi wa Habari Takamwili Kuna tofauti kati ya mtu asiyejua (mjinga) na mtu anayechagua kutokujua kwa manufaa yake binafsi (mnafiki). Huu ni ugonjwa wa njaa ya njaa ya akili na tumbo (tumbo-centric journalism). Waandishi hawa sio kwamba hawajui umuhimu wa siasa; wanajua kuwa bei...
  12. SankaraBoukaka

    Kama maombi na dua yangekuwa yanafanya kazi watu wangeikimbia siasa

    Kila siku, mamilioni ya watu hukusanyika kwenye nyumba za ibada wakipiga magoti na kuomba amani, ajira, afya bora, na kupungua kwa umaskini. Maombi na Dua hutoa faraja ya kiroho na matumaini ya kesho bora. Lakini ukweli ulio wazi ni kwamba mabadiliko ya maisha hayaji juu ya madhabahu pekee, bali...
  13. funaku

    Serikali kama baba ije na muswada kuandaa vijana waliofunzwa siasa ya Kitanzania

    Inavyoonekana kwa sasa tumewaachia walami watufundishie vijana wanaoingia kwenye vyama pinzani kuhusu siasa. Madhara yake ni kutengeneza vijana wasio na uzalendo kamili au mirengo yenye siasa kwa maendeleo ya Taifa. Mwanzoni tuliwategemea wastaafu au viongozi waliofunzwa siasa njema kianzisha...
  14. M

    CHADEMA: Julai 6 2026 Wananchi mjitokeze kwa wingi kwenye shauri la mgawanyo wa mali mahakama Kuu

  15. Mwanamwana

    Heche: Kazi ya siasa imegeuzwa kuwa ya hatari, kila ukitoka umekubali watoto wako kuwa yatima

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akitoa neno la rambirambi katika msiba wa aliyekuwa Dereva wake, Suezi Maradufu, leo Julai 5, 2026 amesema "Kazi hii tunayoifanya haipaswi kuwa kazi ya hatari. Ni kazi inayopaswa kuwa ya halali kabisa. Tangu mwaka 1992 tuliridhia kwamba tutakuwa na...
  16. Idugunde

    Mzee Warioba: JWTZ wasiingizwe kwenye siasa, walinde usalama wa nchi.Je, jeshi letu limeingizwa kwenye siasa?

    Amenukuliwa mzee Warioba👇
  17. Tlaatlaah

    Godbless Lema atakapobanduliwa chadema unadhani anaweza kujiunga na chama gani cha siasa nchini?

    Maana kuna viashiria vya wazi kabisa na tuhuma za usaliti zinamzonga na kumuandama mwanasiasa huyu wa chadema kutoka kanda ya kaskazini ya chama hicho cha upinzani. Endapo hilo litatokea, na akabanduliwa uongozi na uanachama wa chadema, Kwa haraka haraka na kwa mtazamo wako, unadhani Godbless...
  18. figganigga

    Kwanini JWTZ imeanza kutumia Salamu za Chama cha Mapinduzi (KAZI NA UTU)?

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania nini kimewasibu? Wanatumia salaam za Chama cha Mapinduzi za Kazi na Utu. Halafu wanalazimisha baadhi ya vyombo vya habari vikate hicho kipande cha Salaam za CCM. Nimeshangaa sana. Pili Maandamano wanaita Vurugu. Je, wanalinda katiba ya Nchi gani...
  19. R

    JWTZ jiepushe na kuibeba CCM. Jiepushe na kuingilia siasa. Iache CCM iminyane na wapinzani majukwaa ya siasa. Hakuna mwenye nia mbaya na nchi yetu!

    Hiki ni nini sasa. Sidhani kama ni sahihi. Jeshi letu ndo la kutoa salaam za kisiasa “Kazi na Utu”? Hatujavamiwa kutoka nje. Ya ndani waachie vyama vya siasa waminyane majukwaani na CCM. Sidhani kama hii ni sahihi. Watu wanadai haki na si vinginevyo. Hakuna anayeamini katika fujo. Waambie CCM...
  20. Fbn

    Waislamu ni lini mtajua dini madhehebu na siasa kama ilivyo dini nyengine.

    Shida kuelimisha mtu kama kobe kujiondoa kwenye gamba lake. Dini zetu zimetumia nguvu nyingi kumwaga damu zaidi ya history za vita ya dunia zote. Dini zimekuwa kujificha kwa watawala kuanzia imani zao na kabira zao japo wanaweza kutumia haya. Kuna mada wengi wanadanganywa uislamu ulikuwepo...
Back
Top Bottom