siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. S

    Hadithi ya mbwa wa ushuani na uswazi V/S Tafakuri ya siasa za Tanzania kwa sasa.

    Siku moja mbwa wa uswazi akiwa kakonda na manyoya yamenyonyoka kwa kukosa matunzo, alianza kukatiza mitaa akitafuta msosi. Mbwa huyo alizunguka sana ghafla akajikuta ushuani. Akamuona mbwa wa ushuani akiwa kanona kweli kweli. Shingo shongo na manyoya yake yana afya nzuri na masafi haswa lkn...
  2. N

    Tunapofanya siasa na kuleta porojo za akina Majaliwa hatuwatendei haki wafiwa

    Wakuu, kwa kweli hii imekuwa too much. Kwa sasa baada ya ripoti kutoka sasa yamekuwa ni mabishano ya nani hasa aliyefungua mlango wa ndege. Je, hii ina umuhimu gani kwenye kudai uwajibikaji ukizingatia ajali ile imepoteza uhai wa watu ambao wanategemewa na familia zao na jamii kiujumla.
  3. Heavy User

    Nasema kwa hasira, kila chama cha siasa kina maslahi yake binafsi. Nchi imejawa na uchama na usiasa

    Roho inaniuma sana ninapoona TZ ina wasomi wengi wenye maneno mengi wanaojua kila kitu lakini nchi yetu bado masikini inategemea kuombaomba. Rais kazungukwa na wasomi na washauri wazuri lakini shida zilizotakiwa kutatuliwa miaka mingi iliyopita bado zipo na hazionekani kuisha leo wala kesho...
  4. T

    Nguvu inayotumika kunyukana kwenye chaguzi za CCM iwaamshe wapinzani wafikirie upya namna ya kufanya siasa

    Inavyoonekana kupata uongozi ndani ya ccm ni jambo la kufa na kupona ndio maana uchaguzi wao una vitimbi na vituko vingi Kwa kiwango cha kufuatiliwa sana na wafuasi na wasiowafuasi. Kilichonitisha ni misuli inayotumika kushinda uchaguzi. Misuli hii inawajengea ccm uzoefu wa kushinda kwa njia...
  5. The Burning Spear

    CCM siasa zenu ni za kishamba na zimejaa utoto mwingi

    Ukiwa mtu mzima na Mwenye akili timamu lazima utagundua Hilo. Siasa za CCM Kwa asilimia kubwa ni danganya Toto, wanafanya kazi Kwa matukio na propaganda. Yaani mpaka waamshwe ndo uone wamechachamaa. Lakini Hata wakichachamaa agenda Zao zimejaa utoto na uongo mwingi. Ukiwa na akili timamu na...
  6. peno hasegawa

    Ushauri wa bure: Utaratibu wa mwenyekiti wa chama cha siasa kuwa Rais wa nchi ufutwe

    Kwa utaratibu wa siasa za Kiafrika ninashauri haraka iwezekavyo katiba ya nchi ibadilishwe na kiongozi yeyote wa chama asiwe au asichaguliwe kuwa Rais wa nchi. Utaratibu uliopo ni ndoto nchi kupata maendeleo na ni ngumu kuondoa rushwa kwenye jamii. Kiongozi wa chama awe kiongozi wa chama ila...
  7. Meneja Wa Makampuni

    Siasa ni kushindana kwa hoja sio kufokeana wala kupigana wajameni

    Katika suala ambalo napenda kuwaasa watanzania wenzangu. Siasa ni mchezo kama michezo mingine. Tushindane kwa hoja sio kutishana wala kuwekeana maneno ya ugomvi. Tujibizane kwa hoja ndio siasa. Mimi ni kijana mdogo tu japo sijafanikiwa kuingia kwenye mfumo wa serikali. Ila natambua siasa sio...
  8. L

    Uchaguzi Wa Viongozi Wa CCM Wateka Anga la Siasa za Tanzania, CHADEMA yashikwa Mateka

    Ndugu zangu CCM imeonesha umwamba wake wa siasa za hapa Tanzania,imeonesha kuwa ndio chama kikubwa na chenye ushawishi hapa Tanzania, imeonesha namna CCM ilivyo na nguvu hapa nchini, Imeonesha misuli yake ya kisiasa, imeonesha namna kinavyokubalika na kupendwa na watanzania,imeonesha namna...
  9. The Burning Spear

    UVCCM Dar es salaam Huu ni udini wa wazi kabisa Katika siasa za Tanzania.

    Binafsi mi naamini siasa za Africa ni udini Ukanda/ukabila, vitisho na rushwa. Hakuna kingine, mnachokiona hapo ndo Hali halisi ya siasa zetu za TZ. Kwa akili hizi hatuwezi kupiga hatua. Swali Hakuna wala nguruuwe Wangefaa japo Hata nafasi tatú tu Hapo?. Most of Tanzania politicians ni...
  10. Brain Kingdom

    Ushauri wangu kwa wanasiasa wachanga ndani ya vyama siasa

    Mungu wetu sote na awabariki Kwa nia na madhumuni ya ndoto zenu za kisiasa. Imenipasa kusema haya Kwa kuwa mazingira ya wazi yamezibwa na mnakosa prior visibility Kwa Hazina ya wapiga kura wengi. Hata hivyo Bado zipo fursa ambazo hamzitumii ipasavyo hasa vyombo habari TV, Redio, Blogs, Pamoja...
  11. Kigaila Mwandishi

    Sendeu Laizer acha Siasa za Ukabila

    Mgombea wa nafasi ya MNEC toka mkoa wa Arusha, mfanyabiashara wa madini Ndugu, Gabriel Sendeu baada ya kuona nguvu yake ya fedha haiwezi kumsaidia kushinda nafasi hiyo amechagua kutumia ukabila kutafuta kura kwa wajumbe. Sendeu Laizer siku ya juzi akiwa kwenye kikao na timu yake ikiongozwa na...
  12. tamsana

    Vyama tisa vya siasa vyaingilia kati kauli ya ACT-Wazalendo

    Vvya tisa vya siasa Zanzibar, vimesema kauli ya Chama cha ACT-Wazalendo ya kupinga uteuzi wa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Thabit Idarous Faina, haina nia njema kwa Zanzibar. Hivi karibuni, ACT Wazalendo kilisema hakikubaliani na uteuzi wa Faina kwa madai yeye ndiye alikuwa...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Kilichochelewesha mradi wetu wa LNG ni siasa nyingi, mimi naumia sana Msumbiji kututangulia kusafirisha LNG

    Nimeanza kufuatilia mwenendo wa sekta yetu ya gesi tangu mwaka 2011. Toka kipindi hicho mpaka leo yamezungumzwa mengi sana kuhusu sekta yetu ya gesi. Sekta yetu inakasoro nyingi sana zinazokwamisha maendeleo ya miradi yetu. Siasa iliyokua ikitumika ndio imechelewesha sisi kuanza mradi wa LNG...
  14. R

    Jinsi siasa za 2015-2020 ziliniwezesha kumjua Mungu, Biblia, Qu'ran, Askofu Ngonyani na Othman Mazinge

    Hakuna ubishi kwamba sisi wapenzi wa siasa za Amani, umoja, haki na maendeleo ya watu siasa za Tanzania ktk kipindi kilichotajwa hapo juu zilitutia unyonge sana. Zilitutia unyonge kwa sababu hatukua na mtetezi yeyote wa kututia moyo. Tumaini pekee lilibaki kwa Mungu. Matajiri na maskini wote...
  15. M

    Siasa za Marekani pasua kichwa, Republican wadhihakiwa

    Mzuka Wanajamvi! Sasa hivi kuna mtifuano ndani ya chama cha Republican. Trump na gengeelake wanamnyooshea kidole senator minority mitch McConnell eti ndie amesasababisha Republican kufanya vibaya na kuifanya Democrats kuchukua senate. Lakini ikumbukwe huyuhuyu Mitch McConnell alitahadharisha...
  16. F

    Kwanini kusiwe na chombo cha kusimamia michakato ya ndani ya vyama vya siasa, ikiwezekana kushtaki?

    Tumeona baadhi ya wanachama wa vyama wakikimbilia mahakamani kutafuta haki kwa nafasi zinazohusu uongozi ndani ya vyombo vya dola kama bunge na serikali kama ilivyotokea kwa wabunge 19 wa CHADEMA. Hapa tunaona wabunge wanaweza kukimbilia mahakamani kutafuta haki ambayo pengine wasingeweza...
  17. Sifi Leo

    Siasa ni uchafu au wanasiasa ndo wachafu? Dkt anamkosoa Profesa kabisa, ni Profesa au ni ushubwada uliojaa Tanzania?

    Wakati mimi ninakua niliogopa sana watu walio itwa maprofesa aise ila uongozi wa awamu tano ulipomteua mtu aliyejiita profesa alietoka majalalani, Mimi nilijiona wa tofauti sana yaani profess anasema ametolewa majalalani kweli? Leo profesa mwenye licv kubwaaaaaa anajitokeza hadharani with wrong...
  18. and 998 others

    Bangi na vijana Arusha

    Bangi imekuwa na athari Arusha vijana mnajihusisha na biashara tajwa pia ni waathirika wa bangi, NGUVU KAZI INAPOTEA huku Viongozi wanaangalia. Uhalifu Arusha ni kiashiria kuwa Bangi ndo chanzo. NB: Baadhi ya wavutaji bangi mnajihusisha na mapenzi kinyume na maumbile bila kinga, Ni janga la...
  19. Dibwi Method

    Tuache siasa ajali ya ndege ya Precision Air

    Inasikitisha sana kuona wasomi wengi wamejikita kwenye ku-identify watu waliosaidia/waliookoa abiria 24 waliokuwa kwenye ndege ya Precision Air iliyofondoka Ziwa Victoria siku kadhaa zilizopita. Binafsi naamini kwamba hakuna aliyeokoa abiria hao Kwa ajili ya spotlight, ni tendo la kibinadamu tu...
  20. DR HAYA LAND

    Kama hauna Elimu usije ukathubu kujiingiza katika siasa utapoteza muda wako bure

    Kama hauna Elimu kaa mbali na kitu kinaitwa siasa hautoelewa unapigania nini Siasa inahitaji Elimu ukitaka kuifaidi hapa nazungumzia Elimu Kuanzia Degree na Masters au Angalau hata PHD Mimi mjomba wangu ni Darasa la saba yupo Uvccm mwaka wa 10 kama katibu wa vijana huu lakini Mambo yake Ni 0-0...
Back
Top Bottom