siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. R

    Janeth Rithe: Sasa hivi ukiingia kwenye siasa ujikane tu nafsi yako, kuna watu wamejifunza kuua na sisi tunatakiwa kujifunza kufa

    Akizungumza katika mahojiano na M & S Podcast yaliyorushwa Septemba 9, 2026, Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa Chama cha ACT-Wazalendo, Janeth Rithe, ameeleza kuwa mazingira ya sasa ya kisiasa nchini yanahitaji viongozi wenye kujitolea kama "sadaka" kuwa tayari kufa ikiwa una dhamira ya kuwa...
  2. CHADEMA: Siasa za Ubabe na Vurugu

    Siasa za chadema zimeingia katika level nyingine ya UBABE, NGUVU, VURUGU, CHUKI NA HASIRA. Kwa bahati mbaya, hawana silaha. Wangekuwa na silaha, WANGEUA ILI KUWEKA MAMBO SAWA. Ukisikia aina ya maneno na sera zao kwa sasa, unaona kuna transformation kubwa sana.
  3. AI: Kuna wakati harakati hazipaswi kutumika kuendesha vyama vya siasa

    Ndiyo, kuna wakati harakati hazipaswi kutumika kuendesha vyama vya siasa, hasa pale chama kinapotaka kujenga taasisi imara, endelevu na inayofuata misingi ya kidemokrasia. Ingawa harakati ni muhimu sana katika kuamsha umma, kupigania haki fulani, au kuanzisha mapinduzi ya kisiasa, zikitumika...
  4. M

    Uaminifu wa Wachaga kwenye upinzani unashuka, viongozi wachache wanaponza kabila zima kuonekana kujali maslahi tu, hawana msimamo wala uzalendo.

    Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k. nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache. Watu...
  5. Siasa za ROT zimenishinda nguvu. Leo hii mtu anabizwa, kesho anatoa pongez, kesho kutwa anatoa pole, siku zijazo wanaungana, siku zifuatazo wanaachana

    Hakuna tumaini la mnyonge katika hili bara la afrika. Its a circous.
  6. Ili tuendelee tunahitajika 1. Watu 2. Ardhi 3.. Siasa safi 4. Uongozi safi

    Hapa tumebaki na nini? Ardhi ????
  7. Wafuasi wa chadema badilikeni utu ni muhimu kuliko siasa kwahiyo watu wasishiriki misiba nyie ni watu wa ajabu sana

    Chadema hakuna wazee wa kuwashauri wote wamewakimbia kwasababu wanasiasa zisizo jari utu wa watu wengine, chadema wanafanya siasa za kimihemko sana, Inakuwaje wasitake watu wahudhurie misiba? Misiba inahusiana vipi na siasa? Kwahyo mtakuwa mnahudhuria misiba ya chadema tu? Mnajiona mpo sawa...
  8. DP World Yaingia Mombasa Kwa Kishindo.Je Bandari yetu Itaendelea kuwa na Ofanisi au Ndio Wanatukacha Kwa Kuchoshwa na Siasa Uchwara za Wapinzani?

    My Take Nahitaji majibu maana biashara ni ushindani,wakitukacha itakuaje? ============= Rais wa Kenya, William Ruto, ameunga mkono ujenzi wa Eneo Maalum la Kiuchumi (SEZ) lenye thamani ya Shilingi bilioni 12 za Kenya (Ksh12 bilioni) katika eneo la Jomvu, Mombasa, akisema mradi huo utasaidia...
  9. Wanadai eti aliishiwa nguvu, wakati hata ukimtazama tu alivyo ni kwamba hana nguvu kabisa, Ni vizuri Mzee akapumzika siasa sasa, inatosha.

    Tafadhali my friends, ladies and gentlemen, Mzee aachwe apumzike na kuipambania afya yake. Asihangaishwe na wanasiasa au wanaharakati kwa maslahi ya siasa au harakati zao. Ni vizuri familia yake nayo ikachukua hatua muafaka, imsaidie Mzee apate medical attention ya maana, apate utulivu na muda...
  10. Kuibuka na kuzama kwa jahazi la Sukuma Gang kwenye medani ya siasa za Tanzania

    "Sukuma Gang" ni jina au msemo wa kisiasa nchini Tanzania unaotumiwa kuelezea kundi la wanasiasa, viongozi, na wanaharakati wa mtandaoni walioaminika kuwa wafuasi wa karibu wa mtazamo, falsafa, na uongozi wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Neno hili si kundi...
  11. R

    Jaji Warioba: Chaguzi zetu zote zimekuwa za kibaguzi kwenye siasa toka zamani

    Jaji Mstaafu, Joseph Warioba, amesema kuwa ubaguzi katika ulingo wa siasa na michakato ya uchaguzi umekuwa tatizo sugu ambalo limeendelea kuota mizizi kwa muda mrefu nchini Tanzania. Akizungumza leo Septema 7, 2026, katika mkutano uliotayarishwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) la...
  12. R

    Steve Nyerere: Si afya kuendelea kutoa matamko, Watanzania hawataki siasa sasa hivi, wameridhika, wamempokea Makamu mpya

    Nukuu ya Steve Nyerere kwa Maandishi "Tukiikubaliane kwamba yaliyopita si ndio yetu, tugange yajayo. Laiti pili, mimi sizani, na hili ninawaomba kwa wenyeviti wa Chama cha Mapinduzi wa mikoa yote, sizani kama kuna afya sana kuendelea kutoa matamko. Kwa sababu tamko limeshatolewa na Kamati Kuu...
  13. U

    Gwiji la siasa mzee jakaya

    NIkicheki mzee alivyopokea matokeo mwaka huo 95 nagundua kwamba emotional intelligence yake iko juu sana tena kipindi hicho akiwa chalii kabisa. HIyo video ya pili ninalivyokua akideal na upinzani. Hivi kabisa mbinu zake hizi kwa sasa kwanini hawazitumii?? Pia nikikumbuka alivyomjibu kagame...
  14. K

    Ingekuwa Sugu au Lema ndio wanashika nafasi ya Heche, siasa za Tanzania zingekuwaje?

    Natafakari hapa, Kwa hali ilivyo je wanasiasa kama vile Sugu au Lema wangeendelea kukomaaa kama aivyokomaa Heche Wegesa Kuna mwanasiasa yeyote ndani ya CHADEMA anaweza kuwa na msimamo kama Heche na Lisu
  15. Nini kimesababisha mchango wa Waislamu katika harakati za siasa za mapambano Tanzania kuwa ukipungua ?

    Kuanzia uhuru mpaka leo hii mchango wa Waislamu katika harakati za mapambano umeenda ukipungua sana. Wakati wa uhuru Waislamu walikuwa active sana mstari wa mbele katika harakati za uhuru pamoja na Nyerere. Watu wengine kama Mohamed Said wanafikia mbali hata kusema Waislamu ndio walikuwa...
  16. Nimeota ndoto kuhusu siasa za Tanzania

    Nimeota ndoto kubwa sana kwamba namba nne Hana makucha Tena Ndoto ilienda mbali zaidi kuwa nguvu zimebaki kwa mtoto wa namba sita. Ndoto ikaenda mbali zaidi kuwa namba nne alitaka aweke mtoto wake pale kwenye namba mbili na amegonga mwamba. Kibaya zaidi mtoto wa namba sita ndiye mkuu wa idara...
  17. G

    Mtu aliyetangaza kustaafu siasa si anakuwa si mwanachama cha siasa tena?

    Chama cha siasa kinafanya vikao kumvua uanachama mwanachama aliyeishangaza kuachana na siasa! Usicheze na mtu anayekuzi akili. Jamaa kuwapiga tobo
  18. Machawa wa CCM VS Machawa wa CDM ..Kwa nini hatuna wasomi wa siasa wenye kuja na ukweli kipindi hiki?

    Nchi yetu ipo katika eneo la kimkakati na hivyo inaingizwa kwenye vita ya kiuchumi na kiutawala kutokana na Jografia yake. Jambo linaloshangaza ni kuona hakuna wasomi wabobevu mithili ya Kabudi wanaojitokeza kutoa lecture muhimu kwa kizazi cha GEN Z badala yake wanaibuka malecturer machawa na...
  19. Uchambuzi: Barabara na Reli Hazitatoshi Kulinda Taifa. Je, Tunaepuka Vipi Kifo cha Utambulisho Wetu Kidijitali?Jukwaa (Sub-forum): Jukwaa la Siasa / J

    Wana-JF, Kuna aina ya utajiri ambao taifa linaweza kuupoteza bila wenyewe kugundua. Mzee mmoja anapofariki kijijini, simulizi zote ambazo hazijawahi kuandikwa kwenye vitabu zinakufa pamoja naye. Lugha yetu ya asili inapopoteza watoto wanaoizungumza, sehemu kubwa ya kumbukumbu ya jamii...
  20. Najiuliza tu; hivi katiba mpya ikiandikwa, siasa na sera za majukwaani zitakuwa nini?

    Kule Kenya ili uteke kundi la watu wakuchague mbali na maendeleo na raia kupata mkate wa kila siku lazima utaje ukanda na ukabila ndio ueleweke, utasikia mlima Kenya sijui waluo na wakikuyu na mambo kama hayo Je kwetu sisi itakuwaje? Midomo imezibwa siku nyingi siku ikiachiwa itaongea nini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…