Mtu aliyelevya dini na siasa (Nina maana dini yoyote au chama chochote mtu huyo lazima awe mwenye mitazamo hasi kwenye jamii ,sisi waafrika inabid turud kwenye asili tu,inatubid tuanze kujua tulikuja hapa dunian kushirikiana kufanya shughuli za ufugaj na kilimo kufurah pmja kunywa pamoja kuwa na...