Wazazi na walezi wenzangu,
Watoto wetu wa shule za msingi na sekondari wamefunga shule na sasa wanaingia katika likizo ya siku 59.
Ni ndefu mno.
Mara nyingi tunapofikiria likizo, jambo la kwanza ni kuhakikisha watoto wanasoma, wanafanya tuition na kujiandaa kwa muhula unaofuata. Hayo yana...
Badala ya kuchapa watoto hizi zinaweza kuwa adhabu nzuri zaidi na zenye ufanisi kwa watoto wakorofi hasa kuanzia darasa la sita na sekondari
1. Kusafisha vyoo vya shule (kwa shule za umma vyoo vilivyo vibaya hii ni adhabu kubwa sana)
2. Kudeki madarasa
3. Kufagia viunga vya shule
4. Kumwagilia...
Wakuu ni wakumbushe tu jambo moja la muhimu kwenye shule zote ulizosoma hata chuo ulichopatia shahada kuna mafaili yako.
Kama uliwahi kukutwa na kesi ukaambiwa uandike statment, kama ulisimamishwa masomo kwa utovu wa nidhamu kama vile fujo, wizi, mapenzi au kufanya tukio lolote taarifa zako...
Ashfaina Omari Ali, mwenye umri wa miaka tisa na nusu, aliingia katika Shule ya Msingi Sebleni kwenye kisiwa cha Unguja, Zanzibar, akiwa anajiamini upya.
Kwa Ashfaina, kurejea shuleni ilikuwa zaidi ya kuanza kwa siku nyingine ya masomo. Ilikuwa ishara kwamba maisha yalikuwa yakirejea katika...
Katika harakat za kutafuta kujua kusoma na kuandika (elimu) kuna matukio mengi ambayo kila mtu kupitia, kuanzia "msingi hadi sekondari"
Katika harakat za kutafuta elimu
Nakumbuka siku moja nikiwa form 4, Kama kawaida stori za kuwahi asubuhi kuhesabu zilikuwa zikinikera sana, lakin kuna wiki...
Ila sasa hivi hauwezi kudanganya vijana kama ulivyofanya miaka ya 70, 80, 90 na early 2000s
SAsa hivi wanajionea ukweli wenyewe katika TV kubwa iitwayo globalization.
Tulidanganywa mengi, tukafichwwa historia za maana ili tuwe wahanga wa system ambayo haikufanya kazi kiuchumi na maendeleo...
Tatizo la upungufu wa matundu ya vyoo katika shule za Manispaa ya Shinyanga, limeendelea kuwa changamoto inayotishia afya na ustawi wa wanafunzi, huku baadhi yao wakilazimika kujisaidia vichakani kutokana na vyoo kujaa, kuchakaa na kutokidhi idadi ya wanafunzi.
Mbali na upungufu huo, baadhi ya...
kuna siku shuleni mwalimu wa Historia aliibiwa kitabu kile cha kiongozi cha mwalimu, kile ambacho huwa wanapewa vya kufundishia vinakuwa na majibu na baadhi ya mifano.
Kilitafutwa shule nzima akawa anasema wanafunzi tumekiiba, akatuzuia shule nzima kuingia madarasani tukapigishwa magoti juani...
Nimezaliwa wazazi bado hawajajipata kwa hiyo ilibidi nisome shule za serikali primary
Pia nimekulia mkoa wa Lindi sehemu yenye waislamu wengi kwa hiyo marafiki zangu wengi walikuwa waislamu na nilikuwa napenda kuwauliza story za majini maana wao ndio walikuwa wanazijua kiundani
Sasa shuleni...
Ni hivi karibuni waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda alikumbushia muda wa wanafunzi kufika shuleni asubuhi ni saa 2 asubuhi. Na hiyo ni kwa mujibu ws sheria namba 84 inayoongoza shule za misingi nchini.
La ajabu walimu bado wanadharau na kupuuzia maelekezo ya viongozi wakuu level ya waziri wa...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Pius Lutumo akifafanua kuhutu tukio la Mwanafunzi wa Kidato cha Sita Shule ya Sekondari Makongoro kufariki Dunia muda mfupi baada ya kuadhibiwa kwa viboko na Walimu wake.
Shule hiyo ipo Bunda Vijijini mkoani Mara...
Historia ya afrika tunadanganywa na kufichwa mengi sana, kwa mfano shuleni sikuwahi kufundishwa kwamba muslims walivamia Christian Ethiopia kwa lengo la kuitawala ethiopia, nilifundishwa tu ukoloni wa "kizungu" lkn ukweli ni kwamba muslims walianza kuivamia afrika.
Muslims chini ya imam ahmed...
Dkt. Mackrina Nombo, Mtaalamu wa Lishe
Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia Mradi wa Mageuzi ya Tasnia ya Maziwa na Mabadiliko ya Tabianchi ulio chini ya Wizara hiyo unaofadhiliwa na Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) imeanza kampeni ya unywaji wa maziwa shuleni ikiwa ni hatua...
Habari,
Uzalendo ni nini?
Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda ,kuithamini, kujitolea kwa hali na mali na hata kufa kwa aajili ya nchi yake.
Ukirudi mashule kuna masomo kama uraia na mengineyo lakin ukiangalia mitaala sana inasimulia zaid historia ya nchi na matukio yaliojitokeza sambamba na tawala...
Kwa huu mtaàla mpya hakuna haja ya Wanafunzi kukesha sana shuleni na content za T/L, huu mtaàla unamruhusu mwanafunzi kuwa na maarifa zaidi ya Yale anayoyapata shuleni, kwahyo mtoto anaendelea kujifunza akiwa katika mazingira yyte Yale iwe nyumbani au shuleni. Tuwape wanafunzi nafasi waendelee...
Maisha ni muvi.
Mtaa niliokuwa nimepanga classmate ndio amekuwa amejenga nyumba.
Siku wahi kujua alipata wapi pesa za maana hivi ila nachojua ni mrembo sana na ana makebo makubwa.
Kipindi napalangana kuielea familia yeye alikuwa anaielea bmw yake alafu gari anaipaki lilipokuwa dirisha la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.