shule

  1. S

    Nina mpango wa kufungua shule ya chekechea na Primary. Naombeni mawazo tafadhali

    Ndugu zangu, nimepata mawazo ya kufungua shule ya chekechea maeneo ya kiluvya, tuna eneo mimi na mkwe wangu la heka tisa. Tunataka kuanza na chekechea, baadaye tuongeze hadi primary baada ya kuisoma biashara na mwenendo wake. Naomba mwenye uzoefu na biashara hii atuambie changa moto zake...
  2. D

    Shule ya Mafunzo ya Uongozi isitumie jina la Mwalimu Nyerere, bali itambulike kama Shule ya Uongozi (SUT)

    Sikatai kumuenzi Mwalimu nyerere, Lakini hii kasumba ya kumuenzi Mwalimu kwa kuita Majengo jina lake Naona sasa Imepitwa na wakati! Ifahamike Mwalimu hakuwa malaika! Hivyo tunaweza kufanya bora zaidi kutoka pale alipoishia yeye! Kuita Shule ya Mwalimu nyerere, ni kuweka speed gavana kwenye...
  3. Shule ya msingi inalea madereva walevi

    Dereva wa Shule ya msingi jijini dsm amewasababishia majereha watoto baada ya kusababisha ajali. Inasadikiwa mwanaume hUyo alikuwa amelewa
  4. Saa 12 alfajri hadi saa 12 jioni, mtoto wa shule ya msingi anasoma nini kikubwa hivyo huko shuleni?

    Salamu kwenu ndugu. Ningeomba uzi huu MODS wanisaidie kuusambaza kwa wenye mamlaka. Sasa hivi kuna kamtindo kameshamiri kwa shule za msingi za serikali kuwachukua wanafunzi na kukaa nao kuanzia saa 12 Alfajr hadi saa 12 jioni... Kwa kisingizio cha kusoma na masomo kuzidi kasi. Hivi hasa ni...
  5. One dead, 13 students injured as bandits attack school buses in Elgeyo Marakwet

    The school bus that was attacked by bandits in Marakwet West (left). Some of the injured students admitted at Kapsowar hospital in Elgeyo Marakwet (right) A driver died and 13 students along with two teachers were injured on Thursday night after bandits attacked a convoy of school buses in...
  6. RC Makalla asema hakuna shule iliyouzwa Kurasini, aagiza CAG kufanya ukaguzi maalumu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ameweka sawa kitu kilichosababisha taharuki juu ya uvumi wa taarifa zilizodaiwa kuwa eneo la Shule ya Sekondari Kurasini linauzwa kwa mwekezaji ambapo amethibitisha kuwa eneo hilo haliuzwi. RC Makalla amesema ni kweli kuwa mwekezaji alituma maombi ya...
  7. Serikali kutoa ajira 7,000 kwa Walimu shule za msingi na Sekondari

    OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imeomba kibali kwa Rais Samia Suluhu Hassan cha kuajiri Walimu 7,000 ili kupunguza upungufu wa walimu wa Shule za Msingi na Sekondari nchini. Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa aliyasema hayo kwenye mdahalo maalum wa kujadili...
  8. Temeke: Meya wa Manispaa aanzisha kampeni ya kuuza Shule ya sekondari Kurasini kwa Mwekezaji

    Hii ndio Kashfa mpya inayozunguka kwenye Manispaa hiyo kwa sasa , ikiwa ni siku chache tangu kashfa ya Mwenyekiti wa ccm wa wilaya hiyo kutafuna zaidi ya sh. mil 300 za vikundi kuibuliwa. Mstahiki Meya Abdallah Ntinika anatajwa kuwashawishi kwa nguvu kubwa viongozi wa Manispaa hiyo ili Waiuze...
  9. Mkuu wa wilaya ya Chamwino msaidie Rais miradi ya ujenzi ya shule wilaya ya Chamwino

    Nianze kwa kumpongeza mama Samia kwa kuona mbali lakini aliona umuhimu wa kuipa kipaumbele elimu na afya hizo ndizo nguzo muhimu kwa ustawi wa maisha ya mwanadamu yeyote chini ya jua, lakini pia kimtazamo Rais angependa kuona kile alichokipanga kwa wananchi wake kinatimia na kuonekana machoni...
  10. Ziara ya Rais Samia nchini Ufaransa: Nini maana ya Uchumi wa bluu, Je, ni muhimu kuhudhuria? Pata shule fupi

    Utangulizi: Kijiografia bahari zinachukua takriban 71% ya eneo lote la uso wa Dunia yetu na kwa nadharia za kisayansi inaaminika kwamba maisha ya viumbe yalianzia baharini. Hivyo basi, kwa vyoyote vile iwavyo, bahari imekua sehemu muhimu kabisa ya maisha ya kila siku ya binadamu. Binadamu...
  11. INAUZWA Shule inauzwa Dodoma

    SHULE INAUZWA DODOMA. -Eneo lina Ukubwa wa Heka 15. -Bei ni Milioni 500 tu(500,000,000) unaweza kulipa kwa Awamu pia na Mazungumzo yapo. -Shule inaunzwa iko Dodoma Wilaya ya Chamwino Km 7 toka Chamwino Ikulu. -Lakini pia pia sio mbali kutoka Mji wa Serikali. -Shule ina Majengo Manne na...
  12. M

    Serikali chunguzeni unyanyasaji, dhuluma na udhalilishaji unaofanywa na Mkuu wa Shule ya St. Margaret Maria Alokok, Igunga, Tabora

    Kimsingi sisi wazazi ndio waendeshaji wakuu wa shule hii kutokana na ada pamoja na michango mingine tunayolipa, pamoja na mambo mengine wazazi hatufurahishwi na vitendo vya udhalilishaji na dhulma anazofanya mkuu wa taasisi hii ambaye ni mtawa wa kanisa katoliki, kanisa lenye reputation ya...
  13. Single room needed Maeneo ya Tabata shule hadi Segerea

    Habari madalali wa Bongo, na wenye nyumba. Nahitaji chumba cha kupanga cha bei Rahisi, Bei isizidi 50 na please sina hela ya miezi sita. Ningependa maeneo ya kuanzia Tabata Shule hadi Segerea. Sehemu nyingine naweza kuja endapo bei ni pungufu na Mazingira mazuri ya eneo la makazi. Nb; Nina...
  14. Ushuhuda: Kusomesha mtoto shule ya kiingereza yenye walimu wa Zambia/Malawi /Kenya /Uganda kuna afadhali zaidi kuliko walimu wa hapa kwetu

    Hiki kitu nimeshuhudia kuna mtoto wa ndugu yangu anasoma shule flani ya msingi darasa la nne, ni shule ya mtaala wa kiingereza ila walimu ni wa hapa kwetu, huwa anafaulu vizuri tu lakini kuna maswali aliniletea nimsaidie ya social studies (maarifa ya jamii) sasa nikawa namweleza swali...
  15. T

    Jakaya Kikwete achaguliwa kuishinikiza Taliban kurudisha watoto wa kike shule

    Ndio maana mataifa makubwa kama US huwa wanaidharau hii United Nations na mpaka kutishia kuacha kuchangia... Sasa Kikwete masikini ya Mungu eti anatumwa aka negotiate na Taliban kurejesha watoto wa kike shule akiwa kama mwenyekiti wa Global Partnership for Education. Mtu atakaepata mkanda wa...
  16. B

    Upande wa utetezi waweke pingamizi la kupokelewa ushahidi wa Denis Urio hadi wajiridhishe majina yake, zipo taarifa mitandaoni zinadai huyu siyo Denis

    Kwa wale manofuatilia taarifa za usahihi wa utambulisho wa Denis Urio nadhani mmeona waliosoma sekondari ya Kingori wakikataa kutomfahamu shahidi huyu means awakusoma naye. Nimetafuta ilipo Kingori Secondary inasomeka ipo wilaya ya Arumeru siyo Hai. Nimetafuta wanafunzi waliomaliza form four...
  17. F

    Wanafunzi wajawazito kuendelea na shule je, wale walioko jela nao waendelee na masomo?

    Waraka wa Mhe. Waziri wa Elimu unaotoa ruhusa kwa wanafunzi wajawazito kurudi shule kuendelea na masomo baada ya kujifungua haujatoa majibu kuhusu haki ya elimu kwa wanafunzi/watoto wadogo walioko jela za watoto nao waendelee na masomo wanapotumikia vifungo vyao au hatima za maisha yao ndiyo...
  18. Naomba kupatiwa syllabus ya somo la Kichina kwa shule za sekondari

    Wakuu mada hapo juu yahusika. Naomba kupatiwa nakala hapo juu. Natanguliza shukran
  19. Moshi Masama: Shule ya kiislam na mashamba ya wazungu yadaiwa kuuziwa maji ya wananchi, wananchi hawana maji kwa miaka 8

    Masama Kilimanjaro inasemekana kuna shule za kiislam mbili zimeuziwa maji ya wananchi yote jambo ambalo limesabibisha wananchi kukosa maji tokea 2014 na kwasasa ni mwezi maji hayatoki Katika tarafa ya masama kuna kijiji kinaitwa Kijiji cha Mudio ambapo eneo lijulikanalo kama kijiji cha Kimira...
  20. Ushauri: Nini kifanyike Shule za Serikali zifanye vizuri

    Hello JF, Leo nimejikuta nawaza sijui kama hii serikali haioni kuwa ni haki ya kila mtoto wa ki Tanzania kupata na Elimu nzuri/bora? kwa nini baadhi ya watoto wachache wawe na a better start na wengine system iwa fail miserably? Anyway, hata nchi za nje kuna shule za private za grammar lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…