Asilimia kubwa ya wanafunzi wanaopata wastani wa "A" kwenye mitihani Yao ya darasa la saba au division one kwenye mitihani yao ya kidato cha IV-VI huwa wanakuwa na nidhamu sana. Tuanze kuandaa Taifa la watu wenye nidhamu kuanzia Leo.
Hivyo basi ili kuandaa Taifa la badae lenye tija kwa Taifa...
Wakati mwingine ukishindwa jambo sio Vizuri ulazimishe hata kama Mazingira hayaruhusu! Watoto wapo majumbani, elnino haipo! Kwanini wasiendelee kusoma kwakuwa walichotarajia kitatokea tishio lake halipo.
Kwanini wasitumie vyombo vilevile kueleza uhalisia huo. Mzazi kalipa ada mpaka hela ya...
Naomba Mamlaka zifuatilie suala linalohusu mkanganyiko wa maelekezo kuhusu kufungwa kwa shule kufuatia tahadhari ya mvua za El Niño.
Kufuatia tamko la Serikali kuhusu kufungwa kwa shule, kumekuwa na taarifa zinazohitaji ufafanuzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro.
Kwa...
Anonymous
Thread
changamoto
halmashauri
kilosa
mkanganyiko
shule
wilaya ya kilosa
JANGA JUU YA JANGA: KUFUNGA SHULE MIEZI MIWILI BILA VIBOKO WALA VIPIMA MIMBA NI BOMU LINALOSUBIRI KULIPUKA!
Habari wakuu wa Jukwaa la Elimu na Jamii kwa ujumla,
Kumekuwa na mabadiliko makubwa sana katika sekta yetu ya elimu na malezi ya vijana wetu nchini. Hata hivyo, ukiunganisha matukio matatu...
Shule za awali na Upili zinafungwa kesho, kwa miezi miwili. Watoto waliokuwa Boarding sasa wanarudi na kukuta dada mpya wa kazi na kaka mpya wa kazi.
Watoto wa kike waliokuwa Gils only, yani seminari n walishavunja ungo na walizuiliwa kuonana na wanaume sasa wanakutana na kaka wa kazi na...
Kuna Shule ya Msingi Itigi Mjini H/W ya Itigi Shule imekuwa haifundishi kabisa, imekuwa ya Kisiasa, watoto wanaenda shule, walimu hawapo hasa kuanzia chekechea mpaka darasa la saba.
Pia, kuna mwalimu mmoja amekuwa kikwazo kwa maendeleo ya shule hiyo anatumia shule hiyo kwa maslahi ya kisiasa...
Anonymous
Thread
changamoto
matokeo
mazuri
msingi
shuleshule ya msingi
walimu
Kwasasa serikali kupitia zuio la mahakama kuhusu adhabu ya viboko kwa wanafunzi mashuleni ni tukio gani ulifanya ambalo lilisababisha kugongwa kengele ya dharula kwa ajili yako.
Bhana wee miaka hiyo dar es salaam, temeke sudan kam sikosei ilibamba stori kali iliyo washangaza watu wengi.
Ili husu vijana wawili waliojifanya waganga wa kienyeji wanao safisha nyota za warembo, ilikua hivi ukifika pale kwenye chumba chao, unapewa masharti ya kufanya mapenzi na majini...
Safari ya kielimu iliyopaswa kuwa ya furaha na kujifunza imegeuka kuwa majonzi baada ya mwanafunzi wa Kirawa Road School, iliyoko Kitisuru jijini Nairobi, kufariki akiwa katika ziara ya shule mjini Arusha, Tanzania.
Mwanafunzi huyo, Victor Ndundu Karanja, anadaiwa kufariki Jumatano, Novemba 4...
Tukio la kusikitisha na lenye kuhatarisha usalama lilitokea katika Shule ya Upili ya Mchanganyiko ya Nyabisase, iliyoko eneo la Bobasi, Kaunti ya Kisii, wakati wa zoezi la kawaida la usimamizi na ufuatiliaji wa mitihani ya kitaifa ya KCSE.
Wakati wa tukio hilo, mamia ya watahiniwa wa KCSE...
Narejelea Waraka wa Wizara ya Elimu Na. 3 wa mwaka 2026, uliotolewa Oktoba 2, 2026, unaoelekeza kuwa shule za awali, msingi na sekondari zifungwe Novemba 13, 2026, kwa lengo la kulinda usalama wa wanafunzi, walimu na wafanyakazi.
Hata hivyo, inashangaza kuona Shule ya Carmelite ikipanga...
Tunaiomba Serikali na mamlaka husika za elimu kufuatilia mwenendo wa michango katika Shule ya Sekondari Sangara, iliyopo Chanika, Mvuti, kwani sisi wazazi tunakabiliwa na mzigo mkubwa wa gharama mbalimbali zinazotozwa na shule hiyo.
Nina mtoto aliyemaliza Kidato cha Nne, lakini katika kipindi...
Mimi ni mfanyakazi katika sekta binafsi (Private Sector) ambaye nimepata fursa ya kujiendeleza kielimu katika ngazi ya shahada. Nilichagua kujiunga na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kupitia mfumo wa masomo ya jioni (Evening Programme) kwa kuwa unaendana na majukumu yangu ya kikazi.
Hata...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Msije kusema sikuwaambia mapema. Wadogo zangu wa shule za kata, ninaangalia sana videos zenu zinazo trend kule Facebook na Instagram mkifurahia kuwa huru na kurudi mitaani kufanya mambo yenu freely na kwa jinsi mtakavyojisikia (Probably Future Delinquent Juveniles)...
Mfumo wa SIS (School Information System) unatumika na Wakuu wa shule kujaza wanafunzi hewa (walioacha shule/kufukuzwa/wasioripoti) wote wanawekwa na hawaondolewi kwenye mfumo ili wapate hela nyingi kupitia mfumo wa FARRS.
Wengine wanaenda mbali zaidi, wanawachangisha wazazi michango ya walimu...
Kwa: Mamlaka Husika (TAKUKURU, TAMISEMI na Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga)
Ninaomba mamlaka husika ifuatilie na kuchunguza malalamiko kuhusu Shule ya Sekondari Kazole, iliyopo mkoani Pwani, Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga.
Kwa mujibu wa malalamiko haya...
Anonymous
Thread
fomu
kazole
mkoa
mkoa wa pwani
pwani
rushwa
saini
sekondari
shuleshule ya sekondari
walimu
wazi
wilaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.