shule ya msingi

  1. A

    KERO Shule ya Msingi Itigi matokeo si mazuri na kuna changamoto ya ufundishaji kwa Walimu

    Kuna Shule ya Msingi Itigi Mjini H/W ya Itigi Shule imekuwa haifundishi kabisa, imekuwa ya Kisiasa, watoto wanaenda shule, walimu hawapo hasa kuanzia chekechea mpaka darasa la saba. Pia, kuna mwalimu mmoja amekuwa kikwazo kwa maendeleo ya shule hiyo anatumia shule hiyo kwa maslahi ya kisiasa...
  2. U

    Licha ya tangazo la kufunga shule na El Nino, shule ya Carmelite imepanga kuendelea na masomo

    Narejelea Waraka wa Wizara ya Elimu Na. 3 wa mwaka 2026, uliotolewa Oktoba 2, 2026, unaoelekeza kuwa shule za awali, msingi na sekondari zifungwe Novemba 13, 2026, kwa lengo la kulinda usalama wa wanafunzi, walimu na wafanyakazi. Hata hivyo, inashangaza kuona Shule ya Carmelite ikipanga...
  3. A

    HOJA Je, ni halali Wanafunzi wa darasa la sita na la saba kulazimishwa kwenda shule wakati wa likizo?

    Wakuu, je, ni halali wanafunzi wa Darasa la Sita na la Saba kulazimishwa kwenda shule wakati wa likizo, licha ya Serikali kuwa imetangaza mapumziko, hususan kutokana na tahadhari ya mvua za El Niño? Kinachoshangaza zaidi ni kwamba, ili kuficha utaratibu huo, wanafunzi wanaambiwa waende shuleni...
  4. UTPC

    Sekondari kujengwa kila ilipo shule ya msingi suluhu ya mdondoko Uvinza

    Sehemu ya pili ya ripoti hii ya uchunguzi, wananchi walieleza namna miundmbinu, jiografia ya wilaya ya Uvinza na hali ya kiuchumi kuwa chanzo cha tatizo la mdondoko wa wafunzi, katika makala hii ya tatu na ya mwisho, wananchi wanaeleza kuwa licha ya uwekezaji mabilioni ya fedha katika sekta ya...
  5. Kaka yake shetani

    Shule ya msingi iliyo karibu na Halmashauri ya Kahama na Mahakama siku watoto wakifa mnataka mueleze vipi.

    Nimepata kupita kikazi hapa Kahama.Ila sipendi kupita kama raisi au viongozi wanavyo tufanyia sisi wananchi wa chini. Kuna shule hapa Kahama ipo harmashauri ya Kahama, Mahakama na nyuma ya kanisa Katoliki. Kiukweli hapa nyuma kuna wachimba mawe na kupasua kokoto na kuna mashimo na makorongo...
  6. A

    DOKEZO Shinyanga: Mwanafunzi wa Darasa la Kwanza Shule ya Msingi Kituli alibakwa na tukio kufichwa

    Katika Shule ya Msingi Kituli, Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, Mwanafunzi wa Darasa la Kwanza (KE) alifanyiwa ukatili wa kubakwa, lakini Mwalimu Mkuu alificha suala hilo kwa kuhofia kupoteza nafasi yake ya ukuu wa shule, kwa kuwa matukio kama haya ya ulawiti yamekuwa yakitokea miongoni mwa...
  7. PendoLyimo

    Mkurugenzi Kondoa apinga upotoshaji kuhusu miundombinu shule ya msingi Hurumbi

    Mkurugenzi Kondoa apinga upotoshaji kuhusu miundombinu shule ya msingi Hurumbi Na MWANDISHI WETU, KONDOA MKURUGENZI wa Halmashauri ya Mji wa Kondoa, Said Majaliwa, amepinga taarifa iliyosambazwa kwenye mtandao wa kijamii wa chombo cha habari cha Mwanahabari, ikidai kuwa Shule ya Msingi...
  8. Sonship

    Plot4Sale VIWANJA KILUVYA MADUKANI JIRANI NA SHULE YA MSINGI TONDORONI

    MRADI MPYA WA VIWANJA – KILUVYA MADUKANI! 📍 Eneo: Kiluvya Madukani(Kwa sumaye) 🏫 Karibu na Shule ya Msingi Tondoroni 🛣️ Umbali wa takribani KM 4 kutoka Morogoro Road 📐 Ukubwa: Mita 20 × 20 💰 Bei: TSh Milioni 9 TU kwa kiwanja ✅ Mtaa mzuri na unaojengwa kisasa ✅ Eneo zuri kwa kujenga nyumba au...
  9. figganigga

    Iringa Wanazalisha mbao, lakini Wanafunzi wa Iringa wanakaa Chini. Samia Suluhu hajali

    Mzanzibar Samia Suluhu hawajali Watanganyika. Wala hana utu kwa Watanganyika. Ndo maanna anateua Wasaidizi weenye uwezo mdogo ambao wana roho mbaya. Habu fikiria mtu anafurahia Mwananchi wake kuteseka. Unashindwa kukomboa Wananchi wako kwa umasikini ndo utawakomboa Wapalestiina? Shule ya...
  10. Roving Journalist

    Prof. Shemdoe aweka jiwe la msingi ujenzi wa madarasa na ofisi Shule ya Msingi Mkwajuni - Lindi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa madarasa manne na ofisi moja ya Mkuu wa Shule ya Msingi Mkwajuni, Kata ya Kitomanga, Manispaa ya Lindi, ikiwa ni utekelezaji wa...
  11. Zack Abdul

    Muonekano wa shule ya msingi Grace Mesaki

    Muonekano wa Shule ya Msingi Grace Mesaki iliyopo katika Kijiji cha Singa, Kata ya Kinampundu, Wilayani Mkalama. Mradi huu wa ujenzi wenye thamani ya zaidi ya Shilingi milioni 300 umeboresha kwa kiasi kikubwa mazingira ya kujifunzia na kufundishia, huku ukiongeza fursa kwa wanafunzi kupata...
  12. A

    KERO Walimu wa Shule ya Msingi DOVYA iliyopo Mbagala Chamazi wamezidi kwa michango

    Kuna kitu kinachokera sana hapa Shule ya Msingi Dovya, iliyopo Mbagala Chamazi. Walimu wanatoza wanafunzi kila Jumatano kiasi cha Sh 1,200 kwa ajili ya mtihani, hata kama siku hiyo hakutakuwa na ratiba ya masomo shuleni. Wanalazimika kufanya mtihani siku ya nyuma yake ili kiasi hicho kiweze...
  13. Roving Journalist

    Responded Itigi DC: Wazazi watatu ndiyo hawajatoa michango ya chakula Shule ya Msingi Mitundu B ila Watoto wao wanapewa chakula

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuandika kuwa baadhi ya Wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule ya Msingi Mitundu B katika Halmashauri ya Itigi DC wanasoma hadi usiku bila kula, hali inayoweza kuahiri afya na uelewa wao, ufafanuzi umetolewa. Afisa Habari wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi...
  14. A

    DOKEZO Baadhi ya Wanafunzi Darasa la 7 Shule ya Msingi Mitundu B, Singida wanasoma hadi usiku bila kula

    Baadhi ya wanafunzi wa Darasa la Saba katika Shule ya Msingi Mitundu B, Singida wanabaki shuleni hadi usiku kwa ajili ya masomo ya ziada (prepo), licha ya baadhi yao kutokuwa wamekula tangu asubuhi. Waliambiwa wachangie chakula ili wakae kambini na kusoma usiku, hata hivyo, baadhi ya wazazi...
  15. A

    KERO Ubovu wa Shule ya Msingi Rugu, Wilaya ya Karagwe - Mkoa wa Kagera

    Kuna ubovu wa miundombinu ya Shule ya Msingi Rugu iliyopo Kata ya Rugu, Tarafa Nyaishozi, Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe, Mkoa wa Kagera, hii shule ni kongwe ila uchakavu wa miundombinu unatisha sana. Tunaomba uongozi uliangalie kwa jicho pana na waweze kuikarabati naona tangia inchi ipate...
  16. A

    KERO Wazazi na Wanafunzi wa shule ya msingi Umoja, iliyopo Mabibo Farasi tunateseka kwa michango

    Viongozi wa mamlaka ya elimu wafanye ziara katika Shule ya Msingi Umoja iliyopo Mabibo Farasi, Kata ya Mabibo, Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam, na kuwahoji wanafunzi kuhusu michango ya shule ili kuona jinsi wazazi na watoto wanavyoteseka. Kwa mfano, mzazi mwenye watoto wawili shuleni hapo...
  17. A

    KERO Watoto wetu wanakaa chini wakati wa masomo, Shule ya Msingi Bonyokwa (Dar) iongeze madawati

    Mimi ni mzazi mwenye mtoto anayesoma katika Shule ya Msingi Bonyokwa iliyopo Wilaya ya Ilala, Kata ya Segerea, Dar es Salaam. Ninaomba kuwasilisha kilio changu kuhusu hali ya mazingira ya kujifunzia ambayo watoto wetu wanapitia shuleni hapo. Changamoto kubwa ni wanafunzi wa Darasa la Tatu ambao...
  18. TUMBOO

    Nyumba (pagale) inauzwa marambamawili karibu na shule ya msingi king’azi

    Habari wakuu nyumba ( pagale). Linauzwa …. ipo mbezi marambamawili karibu na shule ya msingi kingazi jirani na tank la dawasco … Ukubwa wa eneo ni sqm400…… Mauziano serikari za mitaa… Bei sh 21m(bei inapungua).. (Lina vyumba 6 (sio vikubwa) 0692669235 N:B.. amna udalali (karibuni)
  19. Roving Journalist

    DC Ludigija: Atoa wito Wananchi kushirikiana na Serikali kupambana na Dawa za kulevya Nchini

    Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Mwilabuzu Ludigija amewataka Wananchi kushirikiana na Serikali kwenye Mpango wa kuzuia na kupambana na Dawa za kulevya Nchini kwani jukumu hilo sio la Serikali pekee. Maneno hayo ameyazungumza leo 26/06/2026 Wilaya ya Magu alipomuwakilisha Mkuu wa Mkoa Wa Mwanza, Said...
  20. Roving Journalist

    Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe: Milioni 10 itatumika kuboresha madarasa ya Shule ya Msingi Kibisi

    Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya imetoa ufafanuzi kuhusu uchakavu wa madarasa ya Shule ya Msingi Kibisi iliyopo Kata ya Kyimo kwa kueleza kuwa kuna kiasi cha Tsh. Milioni 10 kimetengwa kwaajili ya maboresho. Hatua hiyo inakuja baada ya Mwananchi kuhoji kupitia JamiiForums.com kuwa...
Back
Top Bottom