shughuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Kupata kibali cha ujenzi Dodoma ni shughuli hasa kwa sisi raia wa kawaida

    Kupata kibali cha ujenzi Dodoma imekuwa usumbufu mkubwa wanasema mpaka upate hati na hati siyo kitendo cha wiki moja, ni miezi na ukianza ujenzi wanakuja kusimamisha. Hati zinatolewa kwenye Mfumo wa E Ardhi, binafsi nina muamala ambao ni wa tangu Machi 2025 mpaka leo haijapatikana Control...
  2. Sifi Leo

    Hana amani na urais wake mpaka anawakilishwa harusini? Waziri Mkuu anatakiwa kutumwa kwenye harusi?

    Tunakoelekea waziri Mkuu na Makamu watatumwa mpaka kwenye vibao kata, ili hali sio shughuli za kiserikali. Ila sishangai maana Kizimkazi festival, huwa inasababisha watumishi wa umma wote kufunga ofisi za umma na kwenda kukata viuno kule Zanzibar Kizimkazi ili mama afurahie mauno ya watumishi...
  3. M

    Baba Levo: Hoja zaidi ya Elfu 24 za Ma CAG hazijawahi kufanyiwa kazi, kwa hiyo ni kama huwa tunakuja, tunajadili, watu wanaendelea na shughuli zao

    Na sisi kama wabunge ambao tumepewa mamlaka ya kusimamia pesa za umma. Ni vyema tuyaseme ili wananchiwajue kwamba tuliona tukasema na tunaomba utekelezaji ufanike. Tutayasema hapa ijapokuwa nilikuwa napitiahistoria ya ripoti za maCAG waliopita. Hoja zaidi ya 24000 zilizoletwa bungeni...
  4. A

    Mh. Rais TANESCO Arumeru-Arusha inakuhujumu, imekata umeme watanzania wasifuatilie shughuli zako Dodoma

    Watanzania leo tarehe 30.10.2026 tunafuatilia sherehe ya uzinduzi wa makao makuu ya nchi yetu huko Dodoma tangia asubuhi. Ila u alivyoanza kuhutubia makamu wa pili wa Zanzibar TANESCO wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha wameamua kutukatia umeme makusudi ili tusifuatilie kinachoendelea huko Dodoma...
  5. A

    KERO Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu tunazostahili

    Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu zinazostahili wakati wa shughuli za Bunge, licha ya posho hizo kuainishwa kwenye vitabu vya Bunge. Je, fedha hizo zinaishia wapi? Tunaomba suala hili lifuatiliwe ili kuhakikisha tunapata stahiki zetu na uwajibikaji unazingatiwa.
  6. Crocodiletooth

    Rafiki yangu Alex,ananidokeza baba yupo salama na anajishughulisha na shughuli zake ndogo ndogo za kilimo!

    Pia anashangaa yale yanayozungumzwa mitaani,baba yupo salama na amepumzika siasa na anajishughulisha na kilimo pia haitaji bughudha na kelele!
  7. Idugunde

    Wadau sio jambo jema kufurahia kifo cha mtu kisa tu hujamuona mitaani akifanya shughuli za kisiasa kama udiwani n.k

    Subiri Mungu afanye kazi yake. Sio kuanza kuzua uongo na kushabikia. Kifo ni suala ambalo halihitaji kisasi. Ni kumuachia Mungu tu.
  8. A

    Kabla ya Tanga ya leo ni shughuli gani za kibiashara zilikuwa zinaendelea mkoani humo?

    Tunapozungumzia Tanga mara nyingi tunafikiria mji wa bandari tunaoujua leo. Lakini kabla ya Tanga ya kisasa, kulikuwa na vituo vya kale vya kibiashara ambapo katika pwani hii. Moja ya hivyo ni Tongoni. Magofu ya Tongoni ni magofu ya Waswahili ya karne ya 15 ya msikiti na makaburi arobaini...
  9. Kaka yake shetani

    Hivi kwa nini serikali yetu pale wananchi wakijiwekea biashara shughuli au uchimbaji mnaingilia na kusingizia muwekezaji.

    Wakati wananchi wanajitafuta mfano wameona hapa wafanye biashara zao au mambo mengine na ilo eneo cha kushangaza wala serikali ijahusika. Baada ya mda unaona serikali imeingilia ilo eneo na kuanza kupangia watu,kufukuza watu kwa kisingizio cha muwekezaji. Leo hata mkianzisha sehemu ambapo...
  10. A

    DOKEZO Uendeshaji wa Shughuli za Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi – Wilaya ya Urambo uchunguzwe

    MALALAMIKO NA OMBI LA UCHUNGUZI YAH: OMBI LA UCHUNGUZI KUHUSU UENDESHAJI WA SHUGHULI ZA IDARA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI – WILAYA YA URAMBO Kwa heshima, Nawasilisha taarifa hii kwa mamlaka husika nikiomba kufanyika kwa uchunguzi huru na wa kina kuhusu mwenendo wa kiutawala, matumizi ya...
  11. H

    Mwigulu asisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini kwa kutumia mikataba rasmi, akisema hatua hiyo itasaidia kuweka wazi makubaliano ya pande zinazohusika na kuzuia migogoro. Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza...
  12. Sun Wukong

    KanisaSmart System ya kumanage shughuli za kanisa (Sadaka,Michango,Ahadi,Mahudhurio,Wageni) etc

    Nimetengeneza System inayorahisisha kazi zako za kanisa inapatikana hapa BUre Laravel Kwasasa tupo na v1.0.0 Preview kwa mahitaji ya self hosting tuwasiliane lakini kwa matumizi ya kawaida unaweza jiunga hapo...
  13. GwaB

    Quantum Wealth Fund ni Taasisi inayotambulika kisheria na inafanya shughuli zake nchini kihalali?

    Quantum Wealth Fund Taasisi inayojinadi kujihusisha na uwekezaji kwenye soko la hisa la DSE kwa ushirikiano na Orbit Securities Limited, ni kweli imesajiliwa BRELA? Je inatambuliwa na mamlaka ya Masoko na Mitaji? Je inalipa kodi kwa shughuli inayojihusisha nayo ya kupokea pesa kutoka kwa...
  14. L

    Shughuli za mwaka wa mawasiliano ya watu kati ya China na Afrika zaendelea katika hali motomoto

    Shughuli mbalimbali za mwaka wa mawasiliano kati ya watu kati ya China na Afrika zinaendelea kufanyika katika sehemu mbalimbali za China na Afrika, na moja ya shughuli zilizofanyika hivi karibuni, ni uzinduzi wa sehemu ya sita Maonyesho la Filamu Bora za Kichina na Vipindi vya Televisheni...
  15. H

    Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe vitambulisho. Lakini tunapokuwa tumetoa kitambulisho, halafu mhusika haendi kuchukua, haya ni mambo ambayo yanakwamisha malengo mapana - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. Amesema hayo...
  16. O

    Kuna haja ya kuwa na Sheria inayoongoza michango kwa shughuli za vyama vya Siasa inchini.

    Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au...
  17. baharia 1

    Unakopa Kausha Damu ufanye 'Shughuli', ikishaisha unabaki na aibu. Akili ya wapi hii?

    Unakopa "Chupi Mkononi" Kisa Shughuli, Sasa Hivi Unakaa Ndani Dakika 10 Unakimbia! Ukienda kwenye kamusi ukitafuta maana ya ulimbukeni, picha ya Mama Mwajuma ndio inatakiwa iwekwe pale kama mfano halisi Mwanamke mzima, akili ndogo kama ya kuku, anahangaika usiku na mchana kuonyesha mtaa mzima...
  18. ChoiceVariable

    Prof.Kitila : Halmashauri Zimeacha Wajibu wao wa Kuchochea Shughuli za Uzalishaji na kujikita Kuunda Tozo ambazo ni kero wa ustawi wa Wananchi

    My Take Heko Prof.Kitila Mkumbo Kwa kuona jambo hili.Hawa watu kazi Yao kubwa ni kuanzisha tozo na Ushuru Kwa jina la kubuni vyanzo vya Mapato mwisho wa siku zinakandamiza jitihada za kukuza Uchumi na kujikwamua kwenye umaskini. Hatuwezi Kufikia Uchumi wa Dola Trilioni 1 Kwa kushadidiq sera...
  19. A

    KERO Watumishi wa Bunda DC hatujapokea Posho za Masaa ya ziada mwezi Julai, inadaiwa zimegharamia mbio za Mwenge

    Habari, nawasilisha malalamiko haya kwa niaba ya watumishi wa Bunda DC. Kwa kawaida, watumishi tumekuwa tukipokea posho za masaa ya ziada kila mwezi, fedha ambazo hutolewa na Hazina kwa ajili ya kuwalipa watumishi wanaostahili. Hata hivyo, katika hali isiyo ya kawaida, hadi sasa hatujapokea...
  20. BigTall

    Baada ya makongamano na shughuli za ibada Tanganyika Peaks–Kawe, nani anawajibika kwa usafi wa mazingira?

    Katika kipindi cha hivi karibuni, eneo la Tanganyika Peaks–Kawe limekuwa likihudumia shughuli mbalimbali kutokana na kufanyika kwa makongamano ya kidini, hususan ibada zinazoratibiwa na Kanisa la Arise and Shine (maarufu kama kanisa la Mwamposa). Viwanja hivyo vimeendelea kuwa na shughuli mbili...
Back
Top Bottom