Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), limemteua mwamuzi raia wa Tanzania, Ahmed Arajiga kuchezesha mechi ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika itakayoikutanisha USM Alger ya Algeria dhidi ya AS Real de Bamako ya Mali.
Mechi hiyo ya kundi D, itakayopigwa Novemba 29, 2026...