Imeibuka tabia ya Vijana wakiata tu kazi wanawaza kujenga, iwe kwa kukopa, kupiga mizinga,, kulelewa ama kuiba.
Imeibuka tabia ya wazee wastaafu kukopa ili kujenga, huo ni woga wa maisha na kuingilia majukumu yasiyo yao.
Shirika la Nyumba Taifa ambalo awali ilikuwa Msajili wa Majumba, kazi yake...