shirika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Sakata la Shirika la Ndege US bado inatumia diski za floppy katika vituo zaidi ya 400 vya usafiri wa anga

    Katika kufatilia sakata la usimamishwaji wa ndege yaliyotokea jana, kumbe sikujua taifa lenye nguvu duniani lililotolewa kamasi na Iran bado linatumia mifumo ya miaka ya 70 katika uwasilishaji wake wa taafifa za ndege na haliya hewa. Najua vijana wengi wa leo hasa wale waliotoka vijijini hata...
  2. Jaji Mfawidhi

    Kejenga ni Kuingilia Majukumu ya Shirika la Nyumba/NHC.

    Imeibuka tabia ya Vijana wakiata tu kazi wanawaza kujenga, iwe kwa kukopa, kupiga mizinga,, kulelewa ama kuiba. Imeibuka tabia ya wazee wastaafu kukopa ili kujenga, huo ni woga wa maisha na kuingilia majukumu yasiyo yao. Shirika la Nyumba Taifa ambalo awali ilikuwa Msajili wa Majumba, kazi yake...
  3. Roving Journalist

    Shirika la Posta Tanzania: Tunaomba radhi kwa changamoto iliyojitokeza katika mfumo wa Namba za Huduma kwa Wateja

    Shirika la Posta Tanzania linaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza kutokana na changamoto ya kimfumo inayoathiri upatikanaji wa huduma za simu kupitia namba 0735 008 008. Wakati jitihada za kushughulikia changamoto zikiendelea, unaweza kuwasiliana nasi na kupata huduma kupitia namba zifuatazo...
  4. kavulata

    Mashirika ya utangazaji DW na BBC mtuletee pia kumbukumbu ya mauaji aliyofanya Hitler huko Ujerumani kila mwaka

    DW na BBC walituletea kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu vurugu za October 29 zitokee. Binafsi sikuupenda upuuzi ule hasa kwa kipindi hiki ambacho taifa linajitahidi kurejea katika hali ya kawaida. DW na BBC hawakutaka kuhoji hata mtu mmoja aliyekatwa kidole, kupoteza mali zake kwenye zoezi lile...
  5. K

    Mikoa inayoongoza kwa mimba za wasichana wadogo kwa mujibu wa shirika la UN

    Taarifa kwa mujibu shirika la umoja wa mataifa la idadi ya watu UNFPA limefanya utafiti kutambua mikoa ya Tanzania inayoongoza kwa mimba za wasichana wadogo kuanzia miaka 15 mpaka miaka 19 Na haya ndio matokeo kulingana na mikoa ya Tanzania Na pia imetoa utafiti wa mikoa ilikuwa na viwango vya...
  6. A

    KERO Begi langu limepotea Airport Dar, naomba mamlaka husika ichukue hatua stahiki kulingana na taratibu

    Mke wangu alisafiri Julai 24, 2026 akiwa na mabegi manne kutoka Afrika Kusini (OR Tambo International Airport) kuja Dar es Salaam (JNIA), alipofika Dar es Salaam, alipoenda kuchukua mizigo kwenye belt, begi moja halikuonekana. Nikaingilia na kupata mrejesho kutoka kwa maafisa wa JNIA, wakasema...
  7. Mshana Jr

    Ninini maoni yako kuanzishwa kwa shirika la ndege la Zanzibar?

    Je, unadhani zipi zitakuwa Faida pamoja na Changamoto za kuanzishwa kwa shirika la ndege la Zanzibar? Picha kwa hisani ya Akili Mnemba
  8. Hismastersvoice

    Shirika la Reli(TRC) limegoma kushiriki wiki ya huduma kwa mteja.

    Kumekuwa na malalamiko na tuhuma kuwa Shirika la Reli limefuta safari zake za SGR saa 3na asubuhi, lakini katika hali ya dharau shirika limegoma kujibu au kutoa ufafanuzi kuhusu tuhuma hizo! Sasa wateja watapata wapi jibu au wamtake waziri wa uchukuzi ajibu kwa niaba ya shirika?
  9. S

    Ofisi imenikatalia kwenda Mbeya kwa ndege kwa sababu ya ukubwa wa nauli - ATC sio lile shirika la Watanzania masikini alilolikusudia Magufuli!

  10. Eliphaz the Temanite

    Dawasco Shirika linatia hasara serikali kila siku

    Hivi DAWASCO hawaoni? Kila kukicha mitaani maji yanamwagika mpaka yamechimba mitaro. Halafu somewhere katikati ya mwaka tunaambiwa maji hayatoshi unaanza mgao wa maji!. Yaani imefika hatua mpaka ukitaka kujua maji yanatoka utaona tu mtaani jinsi maji yanayo vuja kila kona! Uko convert maji...
  11. Chakaza

    Jee Serikali Yaweza Kufungua Shirika la Kuuza Bangi na Mirungi Kwavile Wao wana Kinga? Mbona Inatoa Hadharani Taarifa Binafsi Bila Kibali cha Mahakama

    Ndio tujiulize! Sasa hivi wao wanapuyanga tena mahakamani kwa kutoa taarifa za mtu za siri bila kuiomba mahakama kufanya hivyo? Jee itakuwaje kwa Hao waliotoa hizo taarifa? Hizi njia za mkato bila kujali sheria jee tutashangaa siku ikitokea serikali ikifungua Maduka ya kuuza mihandarati, Bange...
  12. Jaji Mfawidhi

    Zanzibar ianzishe shirika la ndege kuchochea Utalii!

    Zanziba si tu ni nchi iliyoungana na Tanganyika kuunda Tanzania, bali ni utalii. Zanzibar inapaswa sasa kuunda shirika lake la ndege na kuchochea utalii. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Khalid Salum Mohamed amesema Serikali imeanza mazungumzo na EgyptAir kwa ajili ya kushirikiana katika...
  13. Heinz Consulting

    "Constituency" Yako Ndiyo Siri Kuu ya Mafanikio ya Shirika Lako

    Shirika lolote lisilo la kiserikali (NGO au Nonprofit), kufanikiwa katika utafutaji wa rasilimali fedha (fundraising) mara nyingi hutokana na kuomba fedha kwa watu sahihi. Kimsingi, fundraising yenye tija inahitaji uelewa wa kina na wa kimkakati wa "constituency" yako au kundi la watu wenye nia...
  14. Troll JF

    HERE WE GO: Vitol Bahrain E.C., kwa kushirikiana na Shirika (TPDC) na (UNOC), zimefikia makubaliano ya kujenga Refinery Tanga?

    Kampuni ya Vitol Bahrain E.C., kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Uganda National Oil Company (UNOC), zimeingia makubaliano ya kuendeleza mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi (refinery) jijini Tanga wenye thamani ya takribani Dola za Marekani...
  15. Roving Journalist

    IMF yaipatia Tanzania Dola Milioni 443.9 baada ya kukamilisha Tathimini ya Mwisho

    Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), limeidhinisha kutolewa mara moja kwa takriban dola za Marekani milioni 443.9 kwa Tanzania baada ya kukamilisha tathmini za mwisho chini ya programu za Extended Credit Facility (ECF) inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa...
  16. DogoWaNjombe

    Rais amteua Massana Gibril Mwishawa kuwa Kamishna wa Uhifadhi, Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Kamishna wa Uhifadhi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Bw. Massana Gibril Mwishawa ameteuliwa kuwa Kamishna wa Uhifadhi, Shirika la Hifadhi za Taifa...
  17. albertooo

    Naomba kazi: Nimesoma degree ya computer science,,nimefanya kazi shirika binafsi,chuo nilimaliza 2017

    Nina degree ya computer science.nimefanya kazi shirika binafsi ila kwa sasa sina kazi...Kwa yeyote anaeweza kunipa njia ya wap naweza ajiliwa au kuniajiri ntashukuru.
  18. M

    Umuhimu wa Hesabu;Tumia Kigawe Kikubwa cha shirika (KKS) kupata size ya tiles na kupunguza upotevu(kukata kata).

    Wengi huwa tunajiuliza umuhimu wa hesabu mbali mbali tulizofundishwa mashuleni/vyuoni.Ukweli ni kwamba hesabu zote zina matumizi muhimu sana katika maisha yetu. Kigawe kikubwa cha shirika (KKS) kinaweza kukusaidia kujua size ya tiles ili kupunguza upotevu (wastage) inayotokana na kukata kata...
  19. Roving Journalist

    Safari za Shirika la Ndege la Brussels Airlines kutoka Brussels - KIA zazinduliwa Rasmi

    Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya usafiri wa anga na utalii baada ya Shirika la Ndege la Brussels Airlines kuzindua rasmi safari zake za moja kwa moja kati ya Brussels, Ubelgiji na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) katika hafla iliyofanyika Juni 3, 2026. Kuanza...
  20. digba sowey

    Shirika la haki za binadamu (HRw) laomba picha za 29 October ili kukusanya ushahidi wa kupelekea ICC

    Ujumbe unajieleza,Samia Hana pa kutokea, ICC inanukia, mungu tenda miujuza mtesi wetu akinywee kikombe cha mateso Wenye video wazitume sasa kupitia hii link MASV Portals
Back
Top Bottom