sheria

  1. A

    Je, ulikuwa unajua talaka ya Kiislamu kisheria inakua bado haijavunja ndoa?

    Talaka ya Kiislam kama inavyotambuliwa na Kifungu cha 107(3) cha Sheria ya ndoa ni ushahidi kuwa ndoa imevunjika pasi kurekebisha lakini haivunji ndoa kisheria kwani mamlaka ya kuvunja ndoa yako kwa mahakama. Hivyo unaweza kuwa umetalakiwa kihalali kwa dini na imani ya Kiislam lakini Kisheria...
  2. M

    Uislamu pekee sheria zake hazipitwi na wakati na zinazotenda haki

    Uislamu pekee sheria zake hazipitwi na wakati na zinazotenda haki
  3. "Huu Sio Wakati wa Unyonge,ni Wakati wa Kuunguruma Kwa Sauti Kubwa, Kuthibitisha Maana Halisi ya Utawala wa Sheria", - Hatubabaiki- Rais wa TLS

    Wanabodi, Msikilize Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi Atuma Salaam nzito https://youtube.com/shorts/D8VgSlxC6Uw?si=JOjb2R7WjtdwsBbf Ni kama ametangaza vita. Mzee Pasco Rejea za Pasco kumhusu Rais wa TLS...
  4. Ukiua taaluma ya sheria basi umeua utawala wa sheria CCM kuweni makini sana. Kutishia wanasheria ni hatari kwenu pia.

    Ukiua uhuru na uadilifu wa taaluma ya sheria, unadhoofisha utawala wa sheria; unapodhoofisha utawala wa sheria, unaweka rehani haki za wananchi, uwajibikaji wa serikali na misingi ya demokrasia. Serikali ya wananchi haiwezi kuwa imara pale ambapo sheria inalinda mamlaka badala ya kulinda haki.
  5. M

    HOJA Intelijensia ya Polisi inafanya kazi wakati gani? Kwanini magari kama haya yanatembea Dar bila Sheria kuzingatiwa?

    Kimsingi, Tanzania haina namba za usajili zenye herufi O. Ni ajabu kuona gari hili linatembea jijini Dar na hakuna wa kuligusa. Bado mnaamini tunafuata utawala wa sheria? Au the so called “hakuna aliye juu ya sheria”?
  6. Mwabukusi: Nitamchukulia hatua Jaji Mtulya kwa kumfikisha kwenye Kamati ya Nidhamu kwa kuwa hatuwezi kuwa na jaji asiye heshimu sheria

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema atamchukulia hatua Jaji Fahamu Hamidu Mtulya kwa kumfikisha kwenye Kamati ya Nidhamu, akidai kuwa hawezi kukubali uwepo wa jaji asiy eheshimu sheria. Mwabukusi ameyasema hayo leo, Oktoba 15, 2026, jijini Dar es...
  7. E

    Maznat Bridal: Msomi wa Sheria na mrembo aliyeteka moyo wa Profesa!

    Mrembo huyu wa kiwango cha dunia ndie aliyeteka na kulainisha Moyo wa Profesa Nguli toka upareni. Hapana chezea utamu nyie. PhD (LLD) tupa kule Bibie alipindua meza ya Mke wa ndoa akajiweka kwa Prof
  8. A

    Baba anakataa kutoa matunzo ya mtoto: Sheria inasemaje?

    Kuna wazazi wanaotengana na baada ya hapo baba anakataa kuchangia mahitaji ya mtoto, akimuachia mama jukumu lote la chakula, ada, mavazi na matibabu. Lakini kwa mujibu wa Kifungu cha 129 cha Law of Marriage Act, baba ana wajibu wa kutunza mtoto hata kama mtoto anaishi na mtu mwingine. Kifungu...
  9. M

    Hivi ni sahihi kwenye taifa lenye utawala wa sheria mkuu wa nchi kuwa detention chambers nyumbani kwake?

    Wanaomkosoa na kupingana nae wanakamatwa na kisha kupelekwa kwenye detention chambers ambazo zipo kwenye makazi ya mkuu wa nchi. Hii ni sahihi? Hawa CCM tangu wachukue hii nchi ni mahayawani kabisa.
  10. Napendekeza pawepo na sheria ya kuwazuia waliotorosha na kuzificha familia zao ughaibuni, wazuiwe kugombea nafasi za kisiasa ngazi zote nchini Tz.

    Hii itaimarisha uzalendo na uhakika wa usalama wa Taifa letu. Na itasaidia sana kuondoa wagombea na wanasiasa wenye tamaa za madaraka, wanaozurura na tiketi za ndege mifukoni mwao. Lakini pia hii itasaidia kudhibiti utitiri wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndani ya taifa letu...
  11. O

    Askofu Mwenye Mshahara wa KSh1.2M kwa Mwezi Afungua Kesi Dhidi ya Kanisa Aliloanzisha, Adai KSh21M

    Mwanzilishi wa kanisa la Mamlaka Hill Chapel, Askofu Charles Muhia Ng’ang’a, amefungua kesi katika Mahakama ya Ajira na Mahusiano ya Kazi jijini Nairobi akitaka kurejeshwa kwenye nafasi yake baada ya kufutwa kazi, huku akidai fidia ya zaidi ya KSh21 milioni. Ng’ang’a, ambaye alikuwa akipokea...
  12. K

    Kati ya Uhuru wa Kiuchumi (Sankara), Mifumo ya Sheria (MLK), na Utu wa Raia (Malcolm X); Je, Ni Wapi Tanzania Tunafeli Zaidi?

    Baada ya kuona mijadala mbalimbali inayohusu orodha ya "machawa" katika siasa zetu, sasa ni wakati wa kurudi kwenye mada muhimu na yenye muktadha wa kina kwa taifa letu. Leo tunautazama mustakabali wa nchi yetu kupitia miwani ya magwiji watatu wa haki duniani: Thomas Sankara, Martin Luther...
  13. Je sheria ina semaje kuwa na kiongozi ambaye hana mwenza/ hajaoa/kuolewa au Mjane?

    Kwa ngazi kubwa za kiuongozi kuanzia uwaziri, urais , mfalme nk lazima awe na mwenza ili aweze kukalia kiti hicho, kwa mtu ambaye hajaoa wala kuolewa haruhusiwi kugombea au kushikiria kiti mpaka pale atakapokamilisha suala la ndoa. Sasa vipi kwa huyu ambaye amefiwa na mwenzi wake , je sheria...
  14. Katiba na Sheria za Nchi hii zikibadilishwa/kufanyiwa mabadiliko msitegemee familia za wana ccm kua Tanzania.

    Kama na wewe hua ni wale wanaosema kua lema kaficha familia yake Canada, mara watoto wa Lissu wapo Marekani... Unataka kuandamana utakufa wenzio familia zao zipo nje. Sikia nikwambie siku sheria zikifanyiwa mabadiliko, katiba ikawa na nguvu kiongozi mkuu wa nchi akaweza kushitakiwa, na mihili...
  15. Miaka michache ya utawala JPM ni wazi sheria mbovu na maovu mengi ni ruhusa yake.Je tungekuwa naye mpaka leo.

    Ukweli mchungu ila tutafute chanzo cha haya yote. Utawala wa JPM kulipitishwa sheria mbovu kupita kiasi hata huko ulipo pole pole,nchimbu,ndungai,tulia na CCM zina watafuna wenyewe. Hii ya kushinda asilimia zote kila ngazi ni nyie mlianza kwa JPM. bunge kuwa FM academia limianza kwa JPM...
  16. M

    Sheria ya kuishi na ndugu niliyowahi kujifunza kwa uchungu, Usijihusishe na taabu zao ambazo hazikusumbui,

    Family Rule: dont bother the trouble if the trouble isnt bothering you Kuna kipindi niliwahi kuitwa kutoa ushauri wa tabia mbovu ya mtoto wa kaka ya kutofanya baadhi ya majukumu alipokuwa kwa bimkubwa Basi mimi nikajitia fronti nikaanza kumkanya huyo mtoto, nilimcharaza maneno kisawa sawa hadi...
  17. Mbinu chafu za CHADEMA za kukoleza uchochezi na kuvunja sheria, halafu kukimbilia kulalama wanapobanwa na vyombo vya dola

    👉 Chadema wamekuwa bingwa wa kutumia mikutano ya hadhara kama majukwaa ya kupiga kelele, matusi na kuchochea uvunjifu wa amani badala ya kujenga hoja za kisera. 👉 Chama hiki kimejenga utamaduni wa kuamini kuwa viongozi wake hawatakiwi kuhojiwa au kuchunguzwa na vyombo vya dola pindi...
  18. Nchi ambazo ni kosa la jinai na kinyume cha Sheria kuacha dini yako.

    Zote ni nchi za Kiislamu zenye Sheria kali sana ikiwemo kifo au kifungo cha maisha kwa watu watakaohesabiwa kuachana na dini/ kukengeuka/ kuritadi . 1. Saudi Arabia 2. Iran 3. Qatar 4. UAE 5. Afghanistan 6. Mauritania 7. Yemen 8. Brunei 9. Maldives 10. Pakistan 11. Somalia 12. Malysia
  19. H

    𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗨 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗕𝗨𝗡𝗚𝗘 𝗟𝗔 𝗩𝗜𝗘𝗧𝗡𝗔𝗠

    𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗨 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗕𝗨𝗡𝗚𝗘 𝗟𝗔 𝗩𝗜𝗘𝗧𝗡𝗔𝗠 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja...
  20. J

    Kukaribia 2029 na ongezeko la Mafarakano(vita) kimataifa na Uvunjifu wa Sheria (lawlessness) Kitaifa

    Needless to say anymore, 2029 hiyo hapo! Mwenye utambuzi atatafuta muda wake kuchunguza. Vita ya Ukraine haikutegemewa kufika hadi leo. Vita ya Gaza vile vile; matokeo yake ikaamsha vuguvugu la waislamu la kujimilikisha nchi za Magharibi na vile vile ikazaa Vita nyingine (Israel vs Hezibollah...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…