sheria

  1. Sheria ya Agano la kale ya jicho kwa jicho ilikaa vizuri inaleta ustaarabu na kuheshimiana

    Play it fair asiyekupa upendo na wewe usimpe upendo , anayekuchukia na wewe mchukie , anayejifanya hakuoni na wewe jifanye haumtambui . Ila tu hakikisha unamfanyia mazuri yule anayekufanyia mazuri
  2. Taaluma ya sheria ni taaluma ya ifutwe,ona wanavyofanya baada ya ukumu ya Lissu,tushukuru ni mwanasheria la sivyo ilikuwa aibu

    Walah hiyo taaluma ifutwe tu au la, Ukitaka kunielewa,please FATILIA kauli za akina Mwabukusi na wanasheria wa serikali dhidi ukumu ya tundu Lissu hoi taaluma ifutwe
  3. Kifungo cha Tundu Lissu kinatufundisha kwamba kuwa mwanasiasa si kinga dhidi ya sheria.

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la uchochezi. Hukumu hiyo imetolewa Ijumaa, Novemba 6, 2026, na Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam Kuna watu wanaamini...
  4. L

    Kifungo Cha Lissu Kiwe Funzo kwa Vijana Wa CHADEMA na kutambua Hakuna Aliye juu Ya Sheria . Leo Lissu Yupo Gerezani Mwenyewe Na Maisha Yanaendelea.

    Ndugu zangu Watanzania, Nafikiri Kifungo cha Tundu Lissu Kitawaamsha Usingizini Vijana wa CHADEMA waliokuwa wanapenda sana Uropokaji mihemko kutukana Matusi na kutoa lugha chafu mbaya na hatari kwa Usalama wa Taifa letu. Walikuwa wanahisi pengine Sheria inaangalia sura ama cheo cha mtu kisiasa...
  5. C

    Wakili Addo November: Hukumu ya Tundu lissu imeonesha uhuru wa mahakama

    Wakili Mwandamizi, Addo November, amesema uamuzi wa Mahakama Kuu katika kesi namba 19065 iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, unaonesha uhuru wa Mahakama nchini katika kusimamia utawala wa sheria. Akizungumza katika Mahojiano Maalumu na...
  6. SERIKALI AU MAHAKAMA: Nani Anahusika na Kesi ya Tundu Lissu? Tujadili kwa Sheria, Sio Mihemko

    Ndugu zangu, Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imemalizika jana Ijumaa Novemba 6, 2026, baada ya takribani miezi 19 tangu akamatwe Aprili 9, 2025. Ili tujadili vizuri, tuweke kwanza UKWELI WA KISHERIA uliotokea, halafu tuulize: Lawama ni ya Serikali au ya Mahakama? 1. UKWELI...
  7. Video: Sheria inasemaje kuhusu Uchochezi?

  8. L

    Kwa kanuni Na Sheria za Magereza Maana Yake Lissu Atakaa Gerezani kwa Miaka 2 na Miezi 6. Soma hapa Ukokotoaji wake

    Ndugu zangu watanzania, Kabla Sijaleta Andiko Zuri juu ya Hukumu ya Tundu Lissu hapo Baadaye kidogo ningependa kusema ya kuwa Lissu kaonewa huruma sana na kupewa miaka michache sana Gerezani. Kwa Sababu kwa kanuni na sheria za vifungo vya wafungwa kwa upande wa Uhesabuji wa miaka inakokotolewa...
  9. Paschal Mayala na wadau wa sheria hii imekaaje:? Hajakutwa na hatia katika kosa aliloshtawa nalo, lakini kakutwa na hatia kwa kosa asiloshtakiwa nalo

    ABC zangu ndogo za masuala ya kisheria,zinanikumbusha kwamba mahakama zetu mara nyingi zimekaa mkao wa kupima, kujadili na kuamua kesi iliyoletwa mezani kama ilivyofunguliwa na wadai au waendesha mashtaka. Kama shtaka kwa mtuhumiwa lilikuwa kuzidisha chumvi katika mboga, majaji hawawezi kutoa...
  10. Tanzania: Mahakama yapiga marufuku adhabu ya viboko shuleni

    Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta kisheria baadhi ya kanuni zinazoruhusu adhabu ya viboko shuleni, baada ya kuzitambua kuwa zinakiuka Katiba ya nchi kwa kukinzana na haki ya utu wa binadamu na uhuru dhidi ya adhabu za kikatili na zinazodhalilisha...
  11. Sheria ipi inamruhusu Masai kutembea na silaha?

    Masai wanatembea na silaha watakavyo 24/7 bila kukamatwa , kuhojiwa wala kufanywa chochote kile wakati wasio wamasai wakikutwa wanatembea hata na bisibisi tu tayari hapo anapewa kesi. Masai wanatembea na marungu na sime na muda mwingine wanaenda hata kwenye sehemu za starehe mfano bar au...
  12. Je Sheria za Kimataifa (Nelson Mandela Rules), Rule 70 inaruhusu Mahabusu kwenda kuzika ndugu?

    Salaam Wakuu, Naomba kuuliza, Sheria za kimataifa za matibabu ya wafungwa, Nelson Mandela Rules, Rule 70, zinatoa haki kwa mfungwa, Mahabusu kuweza kuruhusiwa kwenda, akiwa chini ya ulinzi au peke yake, kumwona ndugu wa karibu aliye katika hali mbaya sana au kuhudhuria mazishi ya ndugu wa...
  13. C

    Sheria inasemaje kuhusu Tundu Lissu Kwenda kwenye mazishi ya kaka yake?

    Baada ya taarifa za leo kwamba kaka yake Tundu Lissu amefariki dunia, naomba ufafanuzi kutoka kwa wajuzi wa sheria: Sheria inasemaje kuhusu mahabusu kuruhusiwa kwenda kuhudhuria au kushiriki mazishi ya ndugu yake wa karibu? Katika mazingira haya, Tundu Lissu anakabiliwa na kesi ya uhaini, huku...
  14. China kuanzisha sheria mpya ya taraka

    China inampango wa kuanzisha sheria mpya ya talaka ambayo hakutakuwa na mgawanyo wa mali kwa 50/50 bali kila mtu atachukua alichokitafuta mwenyewe. In africa girls bring their nyashi and wants to get mansion,car wachina wako mbele ya muda
  15. M

    Tanga: Azawadiwa 20,000 baada ya kusalimisha kwa hiari silaha haramu aina ya gobore aliyokuwa akiimiliki kinyume cha sheria

    Mkazi wa Kijiji cha Mafisa mkoani Tanga, Juma Hamisi Msilagi (69) amezawadiwa shilingi 20,000 baada ya kusalimisha kwa hiari silaha haramu aina ya gobore aliyokuwa akiimiliki kinyume cha sheria.Msilagi amekabidhi silaha hiyo kufuatia wito wa kusalimisha silaha haramu uliotolewa na Waziri wa...
  16. Sheria za Mungu za kale za maadili zinaweza kuwa suluhisho kwa kizazi hichi?

    Tuchukue Sheria ya maadili ya ubikira katika Biblia tuichambue kama inaweza kutusaidia kudhibiti wanawake wa kizazi hiki ambacho vijana wanalalamika sana uchumi wa kupata bikira. Kumbukumbu la Torati 22: 13-21 13. Mtu akimtwaa mke, akaingia kwake, kisha akamchukia, 14. Na kumsingizia mambo ya...
  17. Kama Twaha amekamatwa basi Hilda Newton ni vizuri ukabadili location au ukajileta mwenyewe kumuangukia Bi. Kizimkazi

    Hamjambo! Ni ngumu kumkamata mwanamke kwa sababu vishawishi vya mwanamke nje ni vichache ukilinganisha na sisi wanaume. Mwanamke anauwezo wa kukaa na kujichimbia ndani kama akipewa mahitaji ya msingi mfano chakula, bundle la internet na kifurushi cha Luninga. Ushuani wanawake wanaweza kukaa...
  18. SACP Maigwa: Hakuna aliyejuu ya Sheria za usalama barabarani

    Kamanda wa jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, SACP Simon Maigwa, amewataka madereva wa vyombo vya Serikali kuzingatia sheria na kanuni za usalama barabarani, akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria, bila kujali nafasi au cheo alichonacho. Akizungumza Oktoba 23, 2026, katika kipindi...
  19. Serikali itunge Sheria ya kuzuia watoto chini ya miaka 18 kutumia mitandao ya kijamii

    Watoto hasa wa kike wa mikoa ya Pwani wanaharibiwa sana na mitandao ya kijamii, ni wakati sasa wa serikali kutunga Sheria ya kupiga marufuku kutumia mitandao ya kijamii watoto wenye umri wa miaka chini ya 18. Uingereza tayari wameptisha Sheria ya kuzuia matumizi ya mitandao kwa watoto walio...
  20. KERO Mbeya: Baadhi ya Mifumo ya utoaji huduma kwa viziwi inakiuka Sheria za nchi na Mikataba ya Kimataifa

    Katika makala iliyopita, tuliona ukubwa wa tatizo la ukosefu wa wakalimani wa lugha ya alama katika vituo vya matibabu katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya. Katika mfululizo wa makala hii, leo tutaangazia kiini cha mgogoro huu wa kibinadamu na kisheria. Sehemu ya kwanza ~ Mbeya: Wenye changamoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…