sheria

  1. Je ni kweli kwamba Wale waliosilimu na kutaka kurejea katika imani yao ya asili lazima wauawe kwa mujibu wa sheria ya Kiislamu?

    hamis77
  2. Nahitaji Scholarship ya kusoma SHAHADA YA SHERIA (LL.B) Nje ya Nchi -Naomba Ushauri wa Wadau

    Habari za wakati huu wapendwa wanajukwaa, Natumaini wote mko salama. Kwa heshima na unyenyekevu, naomba msaada wa ushauri, taarifa au hata fursa yoyote kuhusu scholarships (ufadhili wa masomo) zinazopatikana kwa ajili ya kusomea Shahada ya Sheria (Bachelor of Laws – LL.B) nje ya nchi. Nina...
  3. Wadau wajuvi wa sheria hivi polis wa Tanzania wana operate kwa kutumia sheria zipi zinazobagua yupi akamatwe na kupewa mashitaka?

    - vijana mbalimbali wa ccm pamoja na kaka yao makala wameonekana wazi wakitoa kauli za uchochez . Mfano👇 1. Mwenyekiti wa uvccm alitamka kuwapoteza wapinzani na kwamba polis wasiwatafute. Polis kimyaa!! 2. Kuna wana uvccm walionekana kwenye video wakiimba wapinzani wakifa tutawatupa kagera wawe...
  4. NIKIWA RAISI NTAWEKA SHERIA MWANAUME ATAKAE OA SINGLE MOTHER AKATWE KICHWA

    Shalom shalom Niende kwenye mada Moja Kwa Moja Najua wengi watanishangaa lakin kwa mustakabali wa maendeleo wa Taifa lolote lile vijana ndo Kila kitu hasa wanaume hivo kuwatoa katika wimbi la stress zisizo na kichwa wala miguu ntaweka sheria kuwa kijana yeyote under 60 age of years hakuna kuoa...
  5. R

    Kwahiyo Zito na ACT kushinikiza kubadili sheria na kanuni za uchaguzi kwao siyo issue, issue ni kulinda kura?

    Tumjadili Zitto, kweli huyu ana akili timamu? Kama ana akili timamu basi amekula kitu kutoka CCM Soma pia: Pre GE2025 - Je, ACT Wazalendo watakubali kushinikiza maboresho ya sheria ya uchaguzi kupitia msimamo wa Chadema?
  6. Mali: Assimi Goïta atangaza sheria inayompa mamlaka bila kikomo

    Mkuu wa utawala wa ijeshi nchini Mali Assimi Goïta siku ya Alhamisi ameidhinisha sheria inayompa mamlaka ya miaka mitano ya urais, ambayo yanaweza kufanyiwa upya "mara nyingi inavyohitajika" na bila uchaguzi. Mkuu wa serikali ya Mali amejipa mamlaka ya miaka mitano ya urais, ambayo yanaweza...
  7. GE2025 Mwijaku: Nikipita kwenye ubunge, sikosi nafasi ya unaibu waziri wa Katiba na Sheria

    Mtangazaji na mtia nia ya ubunge Mwemba Burton (Mwijaku) amefunguka kuwa kwa elimu yake aliyonayo na endapo akapata bahati ya kuingia bungeni basi hawezi kukosa unaibu Wazari hususani Naibu wa Katiba na Sheria...
  8. Kifo cha DIOGO JOTA kuleta Sheria mpya TFF

    Habari waungwana, Napenda kutoa pole kwa wapenzi wote wa soka ulimwenguni ( hasa familia na klabu yake) kwa kuondokewa na kipenzi chao. (Mwenyezi mungu ampe pumnziko la milele - RIP). Kama mdau nimeona Kuna mambo ya kupitia kuona ni changamoto gani walizopitia/wanazopitia "familia" za wachezaji...
  9. K

    GE2025 Rais Samia, Nakushauri (Mimi kama Mwana CCM Mwenzako) tuahirishe Uchaguzi ili Tufanye Mabadiliko ya Katiba na Sheria

    Kama uchaguzi utafanyika hiyo Mwezi Oktoba,madhara ya kisiasa,kiuchumi na kidiplomasia yatatokea kama ifuatavyo; 1. Mvurugano ndani ya CCM utakuwa wa wazi na mkubwa sana, 2. Uhasama baina ya vyama vya upinzani na CCM utaongezeka, 3.Uzalishaji wa mali ndani ya nchi utazorota na huduma kwa umma...
  10. Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama Mbunge wa chama Gani?

    Wakuu ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Taifa letu Sasa limekuwa kituko tena kituko haswa kwa haya yanayoendelea. Sasa huyu Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama mwanachama wa chama Gani? Haya ni maajabu.
  11. Zitto acha kupotosha umma kura hailindwi kwa maneno yako bali kura inalindwa na sheria zinazopiganiwa hivi sasa

    Kiongozi mstaafu wa ACT wazalendo abazunguka mikoa yote tanzania na kuhadaa umma kuwa october wapige kura na kwamba kura hizo zutalindwa baadhi ya wadau wamemuuliza ni mbinu gani atatumia kulinda kura swali hilo analikwepa! Sasa Zitto kabwe maoni yangu ni kwamba kura hailindwi kwa mbinu...
  12. DPP akikaa Mwaka mzima au hata miwili hajaamua kuhusu hii Kesi ya Uhaini, Ni sawa tuu? Kuna Sheria inambana.?

    Maana jana Hakimu Mkazi kasema hakuna sheria inayoipa nguvu mahakama ya kumamuru DPP atoe maamuzi kuhusu hii Kesi. Sasa mimi nauliza Wanasheria Ukomo upo kisheria?, au hilo file linaweza kukaa kwa DPP hata Miaka 2, 3 hadi 5 bila kufanyiwa maamuzi.?? Kama ni hivyo mfumo wetu wa utoaji haki una...
  13. Wabunge waondolewe jukumu la kutunga sheria - DP World & Madini wameua kisheria

    Kwa yaliyotokea Bunge linalomaliza muda wake kwa kupitisha Sheria ya kuuza rasilimali za Taifa kwa wageni (DP World, Madini na mbugan/misitu). Nadhan wabunge wabaki na jukumu la kuitetea Serikali tu linawatosha. Wakimaliza walipwe pensheni Hata bilioni 2 wawaze mengine
  14. B

    Je kuoa mwanamke aliyesoma sheria linaweza kuniletea madhara siku Za mbeleni?

    Wakuu, tupeane uzoefu kwa walio wahi kuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu na wanawake waliosoma sheria Mapungufu yao yapo wapi🤔 Je mwanamke akipata kazi hawezi kunisaliti na kutaka wenye elimu zaidi phds na maboss? Vipi kuhusu ujuaji ndani ya family? Vipi ikitokea nimetumia mabavu na ukali...
  15. M

    Sheria inasemaje kwa wabunge wanapohama vyama vyao kipindi hichi?

    Ester Bulaya atimkia CCM, kuchukua fomu kugombea Bunda Mbunge Kaboyoka: Nimekuja ACT Wazalendo na watu, tutaishangaza dunia Oktoba 2025. Jee ubunge wao unakoma na posho na stahiki zake zote zinapotea?
  16. Mama Samia badili Sheria ya Makosa ya Jinai ( Penal Code), iendane na Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971. Utawin mioyo ya 99,% ya watanzania.

    Sheria mama ya Tanzania ( Katiba) inasema, umri wa utu Uzima ni kuanzia miaka 18. Sheria ya Makosa ya jinai ya Tanzania ( Penal Code), inatambua kama kosa la jinai, tendo la ngono Kati ya mwanaume mwenye umri wa mialka 18+ na msichana mwenye umri wa chini ya miaka 18,hata kama msichana huyo...
  17. Tanzania ,Bunge linaweza tunga Sheria Kwa ajili tu ya kumbana TUNDU LISSU,au kumlinda MwanaCCM fulani!!

    Fikiria unakua na Bunge ambalo Wabunge wake wanakaa kuwaza namna ya kumdhibiti TUNDU LISSU!! Au Bunge linatunga Sheria Kumlinda Kiongozi fulan wa Chama chake Maajabu yanaenda mpaka Mahakaman, Majaji wanatoa Hukumu za ajabu sababu tu zitaibeba CCM, wanasahau kua Hukumu zao hizohizo...
  18. PreGE2025 Stephen Wasira: Asiyetii Sheria na Katiba huyo ni Gaidi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira, amesema utawala bora ni kutii Katiba na Sheria za nchi, hivyo mtu yeyote asiyetii na anataka kufanikisha mambo yake binafsi kwa kuua watu huo ni gaidi. Wasira ameyasema hayo leo Juni 22,2025 alipokuwa akizungumza katika kikao...
  19. E

    Kikwete atetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete ametetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024 akihoji, "Hivi ni kweli kwamba, sheria zetu zinazohusu uchaguzi ni mbaya sana kiasi kwamba haziwezi kusimamia mchakato wa uchaguzi mwaka huu?" Ameyasema hayo leo Juni 21 katika...
  20. Sheria na taratibu za kufuata ili kuandaa pambano la masumbwi ni zipi? Kuna member watatu humu nataka niwadunde

    Bila kupepesa macho watu hao ni huyu jamaa anajiita Mume halali wa Ephen, mwingine ni huyu anajiita Mme Mwenza na watatu ni huyu secretarybird. Tajiri Sina BAYA nataka niwakunyuge kisawasawa hawa, tena ulingoni tukaingia wanne kwa pamoja, mimi nitakuwa mwenyewe tu wao watakuwa wananichangia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…