sheria inasemaje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Mtu mwenye matatizo ya akili anapotenda kosa la jinai, sheria inasema hivi

    Kisheria, mtu hawezi kutangazwa kuwa ana matatizo ya akili kwa kuangalia tu tabia au mwenendo wake. Hali hiyo inahitaji kuthibitishwa kupitia uchunguzi wa kitaalamu wa kitabibu. Kwa mujibu wa Kifungu cha 12 cha Kanuni ya adhabu (Penal Code, Cap. 16), kila mtu anachukuliwa kuwa ana akili timamu...
  2. A

    Sheria inasemaje kuhusu mtu mwenye matatizo ya akili anapohusika katika kosa la jinai?

    Wakuu, kuna tukio limetokea hivi karibuni mtaani kwetu ambalo limeniacha na maswali mengi kuhusu upande wa sheria. Kuna mtu mmoja ambaye kwa mujibu wa maelezo ya baadhi ya wakazi, amekuwa na changamoto za afya ya akili kwa muda. Siku moja alihusika katika tukio lililosababisha madhara kwa mtu...
  3. Manyanza

    Video: Sheria inasemaje kuhusu Uchochezi?

  4. A

    Baba anakataa kutoa matunzo ya mtoto: Sheria inasemaje?

    Kuna wazazi wanaotengana na baada ya hapo baba anakataa kuchangia mahitaji ya mtoto, akimuachia mama jukumu lote la chakula, ada, mavazi na matibabu. Lakini kwa mujibu wa Kifungu cha 129 cha Law of Marriage Act, baba ana wajibu wa kutunza mtoto hata kama mtoto anaishi na mtu mwingine. Kifungu...
  5. Wakusoma 12

    Sheria inasemaje kwa mtumishi wa umma kukaa Eda?

    Nimeweza hili jambo na ninataka wenye uelewa waje waseme chochote.
  6. Parabolic

    Polisi kuendelea kushikilia mali za watuhumiwa hata kesi inapoisha - Sheria inasemaje?

    Malalamiko ya baadhi ya wananchi na taasisi kuhusu mali zao kuchukuliwa na Jeshi la Polisi wakati wa kukamatwa yameibua mjadala kuhusu mipaka ya mamlaka ya polisi katika kushikilia mali zinazodaiwa kuwa sehemu ya ushahidi wa uchunguzi wa makosa ya jinai. Malalamiko ya hivi karibuni yametolewa...
  7. Lycaon pictus

    Sheria inasemaje kuhusu mtu kujitengenezea pombe ya kunywa nyumbani?

    Wakuu Sheria yetu inasemaje kuhusu mtu kujitengenezea hombwa ya kunywa home? Nchi kama US nyumba inaruhusiwa kutengeneza hadi lita 1000 kwa mwaka. Hapa Tz muongozo ukoje? Na vipi mtu akifungua baa na kutengeneza bia yake hapo hapo?
  8. M

    Sheria inasemaje kwa wabunge wanapohama vyama vyao kipindi hichi?

    Ester Bulaya atimkia CCM, kuchukua fomu kugombea Bunda Mbunge Kaboyoka: Nimekuja ACT Wazalendo na watu, tutaishangaza dunia Oktoba 2025. Jee ubunge wao unakoma na posho na stahiki zake zote zinapotea?
  9. RALC255

    Je, Sheria Inasemaje Kuhusu Ukamataji?

    UKAMATAJI, KIZUIZI NA MIPAKA YA MAMLAKA: HAKI ZA MSINGI KATIKA SHERIA YA TANZANIA Katika mazingira ya kawaida ya maisha ya kila siku, si jambo la ajabu kusikia mtu amekamatwa either barabarani, ofisini au hata nyumbani kwake mbele ya familia. Wapo waliowahi kushuhudia mtu akibebwa kimya kimya...
  10. Azoge Ze Blind Baga

    Nadaiwa na kampuni wameacha kufanya kazi na mimi na sina mchongo wa kupata hela ya kuwalip kwa sasa je endapo nitapelekwa mahakamani sheria inasemaje

    Kama mada inavyojieleza, nilikua nafanya kazi na kampuni flani sasa kuna hela kidogo nliitumia kwa kutegemea nitailipa kadri ninavyoendelea kufanya kazi Sasa ghafla jamaa wakaniachisha kazi wakati bado sijamaliza lile deni na sikuwa nalipwa mshahara ni commision tu ambayo ndo nlikua naitumia...
  11. N

    Sheria inasemaje kuhusu faini za Halmashauri kama huna pesa ya kulipa papo kwa hapo?

    Watu wa Halmshauri wamekuwa wakizunguka kwenye biashara tofauti na wakipiga faini na ukishindwa kulipa wanakuweka ndani. Je, Sheria inasemaje kuhusu hili?
  12. Azoge Ze Blind Baga

    Sheria inasemaje ikiwa mwanamke amefunga ndoa wakati bado ndoa yake ya mwanzo haijavunjwa?

    Kama inavyojieleza Mfano upo kwenye ndoa na mke wako lakini kutokana na masuala mbalimbali ya kimaisha hasa ajira mnaishi mbalimbali kwa muda mrefu na mwisho kuwa na migogoro ya hapa na pale Baadae mwanamke anaamua kuolewa tena kimya kimya kule alipo bila wewe mume wake kumpa talaka au kuvunja...
  13. D

    Sheria inasemaje wadau ikitokea Rais Samia akahama chama akaenda Upinzani? Je, atahama na urais wake au urais unaisha?

    Mi sijui sana sheria ila naomba kuelimishw akuhusu hilo mana politics is thw game of all possibles.
  14. T

    Kwani sheria inasemaje?

    Wakuu kwema! Kwani sheria inasemaje mtu anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja, Mimi najua ni kosa la jinai Mbona mama anasema “fanyianeni wakubwa kwa wakubwa” Lucas Embu muite Kafulila na Steven Nyerere watupe majibu Lucas Mwashambwa kwanini mama anataka kupingana na katiba? Au alikuwa...
  15. Idd Ninga

    Sakata la Mtoto kulawitiwa na Watoto wenzake Arusha:Je sheria inasemaje ?

    Kwanza kabisa niombe Jamiiforums wasiunganishe uzi huu na Nyuzi nyingine zinazoelezea kuhusu sakata la Mtoto kulawitiwa Arusha na Kesi yake kufika kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Sote ni mashahidi wa kile kilichoonekana tarehe 10 Mei wakati wa Kliniki ya Haki iliyofanyika katika ofisi za Mkuu wa...
  16. Salahan

    Sheria inasemaje juu ya wanaume kuvaa mavazi ya kike hasa kwenye sanaa

    Kuna sanaa za maigizo tunaziona huko mitandao ya kijamii wanaume wakivaa mavazi ya kike nakuigiza uhusika wa wanawake. Hili limezidi kuenea na sasa kuhamia upande wa television now tunawaona mbele ya familia zetu mbele ya watoto wetu tena huko kwenye tv kimeniuma zaidi. Kuna joti kiboga wa...
  17. Abdul Said Naumanga

    Je, Familia inaweza kushtaki ama kushtakiwa? Sheria inasemaje juu ya swala hili?

    Labda nianze kwakusema wazi kwamba kwa mujibu wa sheria zetu Tanzania, Familia haiwezi kushitaki wala kushitakiwa. Kuelewa zaidi juu ya swala hili, nikukaribishe kuisoma Thread hii. ANGALIZO: Thread hii inalenga kujibu swali la kisheria kuhusu uwezo wa familia kushitaki ama kushitakiwa...
  18. Webabu

    Sheria inasemaje kiongozi wa juu akiwa mahututi? Je, familia inaweza kumzuia nyumbani?

    Suali hilo limenijia baada ya mkuu wa majeshi mstaafu, Captain Mabeyo aweke wazi hali ilivyokuwa kabla na baada ya kifo cha raisi wa awamu ya 5, John Pombe Magufuli. Sehemu iliyonipa hisia ni pale ambapo Serikali kupitia vyombo vya usalama viliona visitangaze kifo chake kabla ya familia yake...
  19. B

    Viongozi wa juu wa serikali wamulikie vitendo vya baadhi ya Wakurugenzi wa Halmashauri kukataa kusaini barua zinazofika ofisini kwa utekelezaji

    Tumeshaongea sn hapa juu ya baadhi ya viongozi wa serikali wanaolipwa mshahara wa Watanzania wanyonge kuona km ofisi wanazokalia ni mali Yao. Hili limekuwa likitokea ktk idara mbalimbali za serikali. Unakuta mtu kapewa dhamana kusimamia kundi flani la watu kwa kufuata sheria, utaratibu, na...
  20. COMORIENNE

    Sheria inasemaje kuhusu ucheleweshwaji wa malipo ya fidia?

    Habari wakuu. Ninaomba msaada wa kufafanuliwa kuhusu ucheleweshwaji wa malipo ya fidia ya ardhi iliyo twaliwa miaka 3 iliyopita na baada ya muda wa miaka 2 kupita, toka jedwali la malipo kukamilika na mlipaji kutolipa kwa wakati au kuaghirisha malipo na kuirudisha ardhi kienyeji kwa wananchi...
Back
Top Bottom