Sheikh Saidi Mwaipopo akizungumza na Waandishi wa Habari Novemba 07, 2026 ametoa wito kwa vyombo vya ulinzi na usalama kumgeukia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John heche na kuchunguza kauli zake akidai alizungumza maneno ya kichochezi kabla ya uchaguzi hivyo anapaswa kupitia hatua zote kama...
Kiutendaji ,Waziri wa habari, utamaduni,Sanaa na michezo ndiye anayesimamia na kushauri vyombo vya habari kuripoti habari zenye kuleta tumaini ndani ya nchi ,kukemea vyombo vya habari vinavyoripoti habari zenye kutonesha vidonda vya waliouwawa Oct 29 pia ni majukumu yake kama Waziri husika...
Habari Wakuu
Mitandao huwa inatusaidia sana kuwaumbua watu wenye magamba mawili, Jana Oktoba 30, 2026, Sheikh Mwaipopo alidhihaki sana Misa iliyofanywa na Kanisa Katoliki kuwaombea Waliouawa wakati na baada ya Uchaguzi Oktoba 29, 2025, akaenda mbali kusema dhambi ya kuuwa wakati mwingine siyo...
Sheikh Mwaipopo amesema kuwa, “Kwa hiyo, hizi ibada zinazofanywa za ujanja ujanja, mngewaombea watu wengine. Kuna MV Bukoba iliyozama, mngewaombea waliokufa kwenye ajali hiyo, ingekuwa bora zaidi.”
"tufike sehemu ya Tanzania tuelezane ukweli. Kwa hiyo hizi ibada zinazofanywa za ujanja ujanja...
Mwaipopo akizungumza na waandishi wa habari Oktoba 30, 2026 Dar es Salaam na kujibu swali la mwandishi wa habari juu ya mauaji yaliyojiri Oktoba 29 akisema ni halali.
Swali linahoji je, kama ni halali wale kuawa watu zaidi ya 500, miongoni mwao angekuwemo mtoto wako ungefanyaje?
Soma Pia...
Sheikh Mwaipopo amesema kuwa watu waliouawa Oktoba 29 walistahili kuuawa, akisisitiza kuwa Mungu anajua ukweli wa kauli yake.
Ameongeza kuwa kama nchi hii ingekuwa chini ya utawala wa Islamic State, na kuwa nchi ya Kiislamu, watu wengi zaidi wangekufa kuliko wengi wanavyofikiria.
"Sheikh...
Kiongozi Mwaipopo amewataka Watanzania kusimama pamoja na kumuomba Mungu ili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, afungwe, akimshutumu kwa kusababisha madhara makubwa na machafuko nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mwaipopo ameeleza kuwa Tundu Lissu ni chanzo cha matatizo na kwamba...
Mhadhiri wa Kiislamu na Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania, Sheikh Saidi Mwaipopo, amemtaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, kubadilisha mwelekeo wa siasa zake kwa kuacha siasa za kupambana na Serikali, akisema upinzani wa aina hiyo unaweza...
Habari za majukumu wana-JF (JamiiForums),
Heshima kwenu wakuu wote wa jukwaa hili adimu na huru la kutoa maoni. Natumai mko salama na mnaendelea kujenga taifa. Leo nimeona nije hapa jukwaani tushirikishane mawazo na kufanya uchambuzi wa kina kuhusu mwelekeo wa sasa wa utoaji haki na usawa wa...
Sheikh Saidi Mwaipopo akizungumza na waandishi wa habari Agosti 03, 2026. Amekemea mipango miovu inayopangwa na baadhi ya watu kutekeleza miundombinu ya nchi, vitisho dhidi yake pamoja na tabia ambazo amezitambua kama ugaidi.
"Gaidi wazungu wanamuita terrorist terrorist ni tishio unatishia watu...
Hamjambo!
Mimi nawajua waafrika wengi wakizeeka stori zao. Kamba nyingi sana.
Kama namwona Mwaipopo akiwa mzee amekaa na wajukuu zake na watoto wa mtaani kwake akiwahadithia enzi zake.
Zaidi ni kuwa zama hizo atatumia ushahidi wa video zilizopo mtandaoni jinsi alivyoongoza kikosi cha sijui...
Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh, Sheikh Mwaipopo.
Kwanza napenda kukusalimu kwa heshima na upendo wa Kiislamu. Nakuandikia barua hii si kwa chuki wala nia ya kukushusha hadhi, bali kwa sababu katika Uislamu wetu tunafundishwa kukumbushana katika haki na mema.
Sheikh, historia...
Sheikh Said Mwaipopo kupitia Mwaipopo TV chapisho la Julai 14, 2026, amemvaa Professor Anna Tibaijuka baada ya kuchapisha tamko kupitia Mtandao wa X akimtaka Rais Samia kumwachia huru Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu.
Sheikh Mwaipopo amemtaka Professor...
"Jambo lingine kuonekana kweli wewe ni mtu wa ajabu wa ovyo sana tu. Ungejifikiri tu. Zitto Kabwe uliingia kwenye uchaguzi, wewe una masters, yaani una digrii mbili, umeshindwa na mtu mmoja mdogo, darasa la saba tu, tena standard seven failures.
Darasa la saba Baba Levo amekutoa kamasi...
"Jambo la pili, kaka yangu Zitto Zuberi Kabwe, jifunzeni hata namna ya kuzungumza. Wewe ni mtu mdogo sana katika nchi hii. Huwezi ukamwambia Rais "tunataka umwachie Lissu. Wewe unamwambia Rais amwachie Lissu, wewe ni nani katika nchi? Wewe kama nani?
Hili jambo la Lissu liko mahakamani. Kama...
"Zitto Kabwe ameomba na kumtaka rais, na kumshangaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba, unasema hakuna aliye juu ya sheria mbona mzee wa watu hakamatwi? Ina maana yuko juu ya sheria.
Hili jambo nataka nilitolee ufafanuzi na naomba watanzania mnisikilize kwa makini. Hii kitu...
Asiyejua alikotoka, hakika hawezi jua anakoenda!
Moja ya urithi ambao awamu ya tano ilituachia ni somo la hatma ya aliyekuwa akijitambulisha kuwa mwanaharakati binafsi wa Rais Magufuli, ndugu Musiba.
Nani hakumjua Musiba enzi za JPM? Musiba kwa matendo na maneno yake, ni kama alikuwa ndiye...
Sheikh Said Mwaipopo ametoa tuhuma nzito dhidi ya Makamu Mwenyeiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, akimtuhumu kwa vitendo vya utapeli na kujipatia fedha kwa njia za kutisha matajiri.
Katika maelezo yake, Sheikh Mwaipopo amedai kuwa Heche alisafiri hadi nchini Afrika...
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X, Wakili Peter Madeleka ameandika;
"Yaani, MUNGU ainusuru nchi yetu. Maana, bila MSAADA wake, SHEHE SAIDI MWAIPOPO nae amepanga KUWANG’OA WATU MENO BILA GANZI, na mpaka muda huu HAJAKAMATWA"
Soma pia
PostGE2025 - Sheikh Mwaipopo: Waliopanga kuandamana...
Ingekuwa vyema baadhi ya masheikh hasa wa BAKWATA wajitokeze hadharani kukemea, kulaani na kujitenga na jambo analofanya sheikh Mwaipopo la kukusanya makundi ya kupambana na kufanya mapigano.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.