serikalini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    Je ni aibu waziri mkuu kuambiwa na mwananchi" waziri mkuu mwambie Rais arudishe nidhamu serikalini?

    Kuna clip inatembea mtandaoni mwananchi anamwambia waziri Mkuu" Mh waziri Mkuu Mwambie Rais arudishe nidhamu serikalini " je ni aibu?je waziri Mkuu anaweza kumwambia rais hiyo kauli? Je rais aliipokea kauli hiyo? Tanzania.
  2. M

    Je, NSSF wanaweza kugundua kama umeajiriwa serikalini kama usipowaambia?

    Samaleko, Naomba kuuliza, nikitaka kudai mafao NSSF, huku nimeshaajiriwa serikalini, wanaulizaga pale kama una kazi au la. Je, kama nisipowaambia kama mimi ni mwajiriwa, wanaweza kugundua? Au mpaka kiherehere changu cha kusema.
  3. M

    Kosa la kuruhusu kuficha majina ya asili ya kiafrika limewapa wahamiaji nafasi kubwa ya kupenya serikalini, jeshini, utawala na hata kuwa majasusi

    Utaratibu wa kubadilisha majina kuwa ya kigeni ni tishio kubwa kwa usalama wa taifa. Kurasimisha mifumo ya majina ya Magharibi au Kiarabu, kama vile George Jackson David Aisha Muhammad Nurdin Uhuru Baraka Amani Judith Christopher Benard Salehe Abdul Ally kunafuta utambulisho wa asili na...
  4. Deus Jovin

    Kangi Lugola Acharuka kwa Kuandaa Muswada Chini ya Hati ya Dharula: Anataka Bunge Limpe Meno CAG kwa Ajili ya Kuwashtaki na Kuwafunga Wezi Serikalini

    Mhe. Kangi Lugora, Mbunge wa Mwibara Hatimaye, ni kama, Kangi Lugola, mbunge mkongwe wa jimbo la Mwibara, lililoko katika Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara, ameamua kuachana na maneno ya miaka nenda rudi yasiyo na vibwagizo vya matendo. Baada ya moto kuwaka huko bungeni kutokana na madudu yaliyomo...
  5. G

    Kuacha ualimu serikalini na kuhamia chuo kikuu binafsi

    Habari wadau wa JF. Nimefundisha sekondari za serikali kwa miaka 12, hivi karibuni nimepata ofa ya ajira chuo kikuu binafsi kama assistant lecturer. Mshahara wangu wa serikali ni mdogo sana na nimepambana kupata nafasi chuo kikuu cha public nimekwama. Mwenye uzoefu naomba tusaidiane ushauri je...
  6. ndege JOHN

    Watumishi wa Taasisi Zenye Majina Makubwa Serikalini Wana Maisha Magumu Sana Kwa Sasa, Waliopo Halmashauri Wengine Wanawazidi Maisha

    kuna jambo nimeliona katika hii miaka miwili ya fedha ya 2025 na 2026, sijui nini kimetokea kwenye baadhi ya taasisi za Serikali, lakini hali ya ukata ni ya kutisha sana. Kuna taasisi ukisikia jina lake unaweza kudhani watumishi wake wanakula mema ya nchi. Unasikia mtu anafanya kazi kwenye...
  7. Mohamed Said

    Mwanahistoria Bingwa Dk. Francis Daud Aingia Serikalini

    https://youtu.be/lNfaO4GzyLs?si=6qu5q2OG6hJWL1dh
  8. Mr Rich

    Nahitaji Connection ya Kazi Serikalini

    Wakuu habarini za wakati huu, mimi ni ME, Elimu Form Six niliachaga Chuo muda mrefu, sina leseni ya udereva nina NIDA. Nahitaji mwenye connection ya kazi serikalini anisaidie donge nono lipo kwa atakae nisaidia. Lengo langu ni kuingia kwenye mfumo wa serikalini wa ajira hivyo kazi yeyote ile...
  9. M

    Katika kozi hatari za kusomea Tanzania ni za Computer. Kwa jinsi Ai inavozidi kukua ukikosa kazi Serikalini itakuwa ni ngumu sana kutoboa.

    Tatizo ni kasi ambayo AI inabadilisha kazi zenyewe. Hasa ukizingatia kwamba vyuo vingi bado vinafundisha Computer kwa mfumo wa zamani: theory nyingi, practical chache, na walimu ambao walianza kujifunza computer vyuoni muda mwingi ubaoni na kwenye makaratasi. Computer ya 2026 haiwezi...
  10. Boss la DP World

    Yanga ina watu serikalini lakini inatoa boko

    1. Samia Yanga. 2. Ndejembi Yanga 3. Mwigulu Yanga 4. Mzabuni mkubwa wa nondo kwenye mradi wa SGR (GSM) Yanga. Tatizo liko wapi? Engineer jitafakari. Umetumia bilioni 15 kusajili, Simba wametumia bilioni 5 tena za mali kauli.
  11. kingphisher

    Ushauri kuhusu portifolio na interview ya serikalini

    Wakuu, naomba msaada kwa wenye uzoefu kuhusu mada tajwa hapo juu. Nimeona baadhi ya nafasi za ajira zinazotangazwa kupitia Ajira Portal, hasa upande wa ICT/Software Development, mfano nafasi za Systems Analysis. Kwenye baadhi ya nafasi hizo, moja ya vigezo vinavyotajwa ni mwombaji kuwa na...
  12. O

    High Court Yabatilisha Mauzo ya 15% ya Safaricom kwa Vodacom: Shares Ziamriwa Kurudishwa Serikalini

    Mahakama Kuu imebatilisha mauzo ya asilimia 15 ya hisa za Serikali katika Safaricom kwa Vodacom, ikisema mchakato wa divestiture ulifanywa kinyume na Katiba na sheria. Uamuzi huo una maana kuwa hisa hizo, ambazo zilikuwa tayari zimehamishwa kwa Vodacom, zinapaswa kurejeshwa kwa Serikali ya...
  13. A

    KERO Malipo ya Posho kwa Interns Serikalini: TTB & TANAPA

    Wanaojitolea serikalini (interns) tunaombwa walipwe posho zao za mwezi na za kazi nje ya ofisi kwa wakati. Hasa Taasisi za Wizara ya Utalii na Maliasili naongelea zaidi Tanzania Tourist Board (TTB) na Tanzania National Parks Authority (TANAPA). Wanacheleweshewa sana hivyo kupelekea kuishi...
  14. MamaSamia2025

    Kama unaona hutaweza kuwa mtiifu kwa viongozi wako wa chama achana na nia yako ya kutaka uongozi chamani wala teuzi serikalini

    Hili andiko haliegemei chama chochote. Uwe CCM au upinzani linakuhusu. Sio CHADEMA wala CCM ambako utavumiliwa ukianza ku-challenge uongozi uliopo. Yaani ukiwa kinyume na itikadi za chama jua kabisa wewe ni msaliti unapaswa kuchukuliwa hatua kali ya kufukuzwa chamani. Na unapotaka kupambana na...
  15. Kipenzi Changu

    Yule Wakili Ajuaye ni wakili wa Serikalini au Kishoka?

    Kkwenye kesi ya Lissu kuna Wakili anaitwa Ajuaye. Naye niliskia akihoji maswali ya dodoso. Nimeshangaa serikali kuleta wakili kama yule. Ina maana yale ndio majembe ya serikali au nu kishoka tu?
  16. S

    Kuna viongozi serikalini toka Tanzania bara mnaonwa kama wasaliti wa Tanzania bara; muda ukifika msije mkamlaumu mtu kwa yatakayowakuta

    Kuna viongozi wanaotoka upande wa Tanzania bara katika serikali hii ya awamu ya sita chini ya Raisi Samia ambao wananchi wa Tanzania bara wanawaona kuwa wasaliti wakubwa wa Tanzania bara, au kama wanavosema "wasaliti wa Tanganyika". Siku ikifika yakawakuta ya kuwakuta msije mkamlaumu mtu, kwa...
  17. Waterloo

    Rais Museveni hii leo akutana na Ujumbe wa Abdul Hafidh mtoto wa Samia ikulu ya Entembe. Hivi huyu dogo ana cheo Gani serikalini?

    Kuna maswali yanakuja kichwani kwangu bila majibu. Rais wa Uganda anampokea kwa itifiki ipi je ni ya kiserikali au huyo bwanamdogo ni mfanyabishara au mwanasiasa au balozi wa hii Serikali? Mwenye ufahamu tafadhali maana nachanganyikiwa.
  18. C

    Hivi kuna ajira za higher diploma kweli serikalini

    Wakubwa nataka kujua higher diploma huwekwa kundi lipi wakati wa kuomba ajira serikalini?
  19. Mikhail Tal

    Nilikuwa sekta binafsi nimehamia serikalini, kuna namna naweza nikapewa michango yangu iliyopo NSSF?

    Wakuu salamu. Nilikuwa mwajiriwa wa sekta binafsi ambapo michango yangu ilikuwa ikienda NSSF, sasa nikafanikiwa kuhama huko mwaka 2023 nakuhamia serikalini ambapo mfuko wangun kwa sasa ni PSSSF. Lakini kule NSSF nina michango yangu, hivi nauliza kuna namna naweza nikapewa hiyo michango huko...
Back
Top Bottom