serikali

  1. K

    JamiiForums Tanzania NINAISHAURI SERIKALI KWAMBA DARAJA LA KIGONGO -BUSISI LITAKAPOANZA KUTUMIKA KUWEPO NA TOZO

    Tumetangaziwa kuwa siyo muda mrefu Daraja JPM (Kigongo - Busisi) karibuni litafunguliwa na Mhe. RaIs wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Daraja hili limejengwa kwa gharama kubwa takriban Tshs.680bn. Watumiaji wa vivuko kwa hivi sasa wanalipa (1) Mtu mmoja Tshs.400 (1) Pikipiki Tshs.1,000 (3)...
  2. JamiiForums Tanzania Msimamo wa Serikali yetu kuhusu azimio la bunge la EU. Mila na desturi za Tanzania ni zipi? Hatukubaliani na Mila potofu kama utekaji, uuaji na umungu

    MSIMAMO WA SERIKALI YETU KUHUSU AZIMIO LA BUNGE LA EU. MILA NA DESTURI ZA TANZANIA NI ZIPI? HATUKUBALIANI NA MILA POTOFU KAMA UTEKAJI, UUAJI NA UMUNGUMTU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Tunajua kila taifa na jamii inamila na desturi zake. Kila familia ina desturi zake. Sio kosa...
  3. JamiiForums Tanzania DOWUTA yaitaka Serikali kulinda ajira na Haki za Wafanyakazi Wazawa kwenye uwekezaji wa Bandari na Kampuni ya Adani

    Wakuu! Katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) mwaka huu, viongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Usafirishaji na Huduma za Bandari Tanzania (DOWUTA), kupitia tawi lake la TEAGTL, walijitokeza kwa nguvu kupaza sauti kuhusu mustakabali wa wafanyakazi wazawa...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali yaipa Ndege Simba kuipeleka Morocco kwa Fainali ya CAF

    Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Palamagamba Kabudi akiwa Bungeni Jijini Dodoma leo May 08,2025 kwa niaba ya Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi kwamba Serikali itawapa Simba SC ndege kuelekea Morocco kwenye mchezo wa fainali. “Baada ya...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali kulalamika kuingiliwa mambo yake(Bunge la Ulaya) na kisa cha mtoto asiejitambua

    Habari wakuu Unakuwa na mtoto mtukutu mlevi mvuta bangi...ukimpa pesa kidogo lau akanunue hata nguo anaenda kunywea yote...mtoto hakui kwa wazazi wake ana miaka zaidi ya 60 sasa,alishakuomba ajitegemee ukamruhusu lakini mambo ndio kama hayo Umeamua kwa sababu ya umri wake Acha akae jirani na...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini uwe mfanyakazi wa serikali?

    Kumekuwa na nadharia tangu enzi za Nyerere mpaka sasa kwamba ajira ni utumishi wa umma tu, kisa kikubwa eti kuna security. Lakini ukiangalia wengi wa hao watumishi, ni watu wanaostruggle sana, angalia walimu, madaktari,wauguzi, nk. Asilimia 95 yao ni watu wanaoteseka na maisha. Mshahara wa...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Qatar kuisaidia Syria kulipa mishahara kwa kuipatia dola milioni 29 za Marekani kwa mwezi!

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo Syrian minister says Qatar to provide $29 million a month for salary payments By Reuters Qatar is set to provide Syria with $29 million monthly for three months that can be extended to pay salaries, the Syrian finance minister says...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt Godwin Mollel: NHIF imeanza kugharamia gharama za Huduma ya Afya ya Akili

    Serikali imesema huduma za afya ya akili zimeshajumuishwa kwenye vifurushi vya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), na hivyo wananchi wanaonufaika na bima wanaweza kupata matibabu hayo kwa mujibu wa mwongozo wa matibabu uliopo. Akijibu swali la Mbunge wa Iringa Mjini, Mhe. Jesca...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali yaahidi kuendelea kutoa kipaumbele kwa makandarasi wazawa

    Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amesisitiza kuwa ni dhamira ya serikali ya awamu ya sita katika kuwawezesha, kuwazingatia na kutoa kipaumbele kwa makandarasi wazawa kama ambavyo wabunge wameshauri wakati wa mjadala wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake ya Ujenzi kwa mwaka 2025/2026. Wakati...
  10. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shangwe la Wafugaji: Chanjo Milioni 77 na Hereni Milioni 37 kutolewa bure na Serikali, Wafugaji wadai hawana deni tena na Mama Samia

    == Bila kujali mfugaji unamifugo mingapi Mama Samia atakupa chanjo na hereni kwa mifugo yako yote bure kabisa. Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei hadi Juni, 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP)...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Ni bora Serikali wangenyamaza waonekane wajinga kuliko kuongea kuwapa watu ushahidi huo

    Mahakama imekataa kuwa kwenye muonekano wa wajinga. Sasa tujiulize waziri wa sheria, waziri wa mambo ya ndani, mkuu wa mkoa na Polisi wananchi watawaelewaje. Sasa Chadema na wananchi wakienda hapohapo mahakamani kwa amani mtawaambia sababu ya wale walio umizwa ilikuwa nini hasa? Serikali...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Serikali ya ccm yakiri bila kutumia dola kubaki madarakani

    Serikali ya Chama cha mapindinduzi imekiri ya kuwa inatumia vyombo vya dola kuteka, kushambulia pamoja na kuua. Ni ngumu kushinda uchaguzi, ndio maana wote wanaikosoa serikali na chama tunawashughulikia haraka iwezekanavyo. Msidhani kama kuna hatua zitakazochukuliwa, mtasubiri sana hata hili la...
  13. JamiiForums Tanzania Mavunde: Tutazifutia leseni kampuni 95 za uchimbaji zilizoshindwa kuendeleza maeneo waliyopewa na Serikali

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ametoa agizo kwa makampuni ya uchimbaji takribani 95 ambayo yamepewa leseni za uchimbaji lakini bado yanaendelea kusuasua kuaza uchimbaji. Akizungumzia suala hilo Mei 6, 2025 bila kutaja majina ya wawekezaji hao, Mavunde amesema kwamba wameainisha makampuni...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya nchi hii ni mwanachama wa CCM na inalazimisha raia wote tuwe CCM wale wanaokaidi wanakuwa maadui wa serikali

    CCM wanapita nyumba kwa nyumba kuandikisha wanachama wapya wa kadi za kielektroniki Ajabu ni kwamba hawakuulizi kuwa unahitaji kuwa mwanachama au la Wameandikakisha watu kibao haswa vijiji bila shaka tutasikia takwimu mpya watatoa wakiwa na mamilion ya wanachama Nimepata pia...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Chadema nawasaidia - lazima muwe na macho ndani ya serikali na vyombo vyake.

    Hamuwezi kuwa na haitoshi mnajilabu ni lichama likubwa na kinawanachama wengi sana kuliko hata CCM,tuchukulie ipo hivyo , na kama haitoshi wengi walioko huko mnafahamiana nao kwa mbali na hata kwa ukaribu mkubwa sana. Ninachojaribu kukisema mnakosaje kuwa na majasusi ndani ya chama cha CCM na...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali Yafungua Milango ya Uwekezaji Kwenye Ujenzi wa Nyumba za Makazi

    𝐒𝐄𝐑𝐈𝐊𝐀𝐋𝐈 𝐘𝐀𝐅𝐔𝐍𝐆𝐔𝐀 𝐌𝐈𝐋𝐀𝐍𝐆𝐎 𝐘𝐀 𝐔𝐖𝐄𝐊𝐄𝐙𝐀𝐉𝐈 𝐊𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐔𝐉𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐍𝐘𝐔𝐌𝐁𝐀 𝐙𝐀 𝐌𝐀𝐊𝐀𝐙𝐈 Dodoma, 5 Mei 2025 – Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega (Mb), amewasilisha Bungeni Mpango na Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2024/25 akiainisha utekelezaji wa miradi ya kimkakati ikiwemo ujenzi na...
  17. JamiiForums Tanzania Kujua kama Serikali inahusika katika Matukio ya Mabaya dhidi ya raia wake ni rahisi sana!

    Wiki iliyopita nchini Kenya mbunge Charles Ong'ondo alishambuliwa na kuuwawa. Leo hii Wauaji wote wamekamatwa na kufikishwa Mahakamani hapo Kenya. Picha hii hapa👇 Huku Tanzania; Mwaka 2017 Tundu Lissu alipigwa risasi 17 kwenye Makazi ya Viongozi wanaolindwa na askari pale Dodoma. Waliofanya...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali imeendelea kuhakikisha kwamba wawekezaji kwenye Sekta ya Madini wanawajibika kwa jamii Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Machi 2025 kiasi

    Serikali imeendelea kuhakikisha kwamba wawekezaji kwenye Sekta ya Madini wanawajibika kwa jamii Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Machi 2025 kiasi cha bilioni 20.15 kimetumika kwa ajili ya miradi mbalimbali ya CSR kwa Halmashauri na miji inayozunguka migodi
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM imeshindwa kutimiza majukunu yake ndiyo maana inawatisha wananchi kwa mateso na Mauaji

    GT Kwa kiufupi sana tunaweza kusema CCM imesha fail watu hawana matumaini kabisa na hiki chama. Pamoja na utitiri wa machawa kama comedians, Wanamuziki na vyombo vya habari lakini bado hawaelewi kabisa. Pamoja na ukatili wa Magufuli watu walikaa kimya maana maendeleo yalikuwa yanaonekana...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Ya Zitto Kabwe kugombea ubunge, je kaambiwa ataachiwa jimbo? Kwanini serikali na polisi wanamuonea Mdude Nyagali? Amekosa nini?

    Yaliyotokea wiki hii...Mdude alivamiwa na polisi akiwa amelala na mkewe, akapigwa sana bila kosa na kuchukuliwa kupelekwa kusikojulikana. Kwa maelezo ya mkewe, Waliomchukua ni polisi na kutokomea naye, walimpiga kichwani na kitu kizito na akapoteza damu nyingi. Uwezekano wa kupona ni mdogo sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…