serikali

  1. Je, Serikali ya CCM itaweza kumuwajibisha GSM endapo akikosea kwa mchango aliowapa kipindi hiki cha uchaguzi?

    Miaka kadhaa iliyopita Mwigulu Nchemba alitamba sana kwa maneno ya TRAB na TRAT ambayo wengi waliona kuwa waziri hajui maana ya maneno hayo huku wengi wakishindwa kuzungumzia zaidi ya Tsh trilioni 300 ambazo halisema hazipo huko. Okay TRAB ni Tax Revenue Appeals Board na TRAT ni Tax Revenue...
  2. R

    Dialysis hospitali za serikali almost 1,000,000 Tsh. Wanyonge wa Magufuli tukimbilie wapi?

    Nimeshuhudia mwenyewe initial costs nearing 900,000 Tsh. Bado vikoromboizo vingine. Kweli "wanyonge" wa magufuli wataweza? Main bussiness ni kukaa madarakani na Tupo Mlimani city kutakatisha fedha! johnthebaptist naomba maoni yako!
  3. GE2025 Watibeli tunaiomba Serikali kumuachia Tundu Lissu Septemba kabla ya Septemba 7

    Hamjambo wote! Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu. Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema...
  4. GE2025 Wakili wa Jamhuri aomba Kesi ya Tundu Lissu isitishwe kuonyeshwa kwenye Vyombo vya Habari, kulinda mashahidi

    Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, ametaka kesi ya Tundu Lissu isiendelee kuonyeshwa moja kwa moja kupitia Vyombo vya Habari ili kulinda mashahidi kwani ushahidi wao unaweza kupelekea utambuzi wao. "Mahakama Kuu, kwa busara zake na kutaka kuona kwamba hawa mashahidi raia hawapati vitisho...
  5. A

    Serikali ifuatilie baadhi ya shule binafsi mapato yake kila Mwaka na mishahara ya Wafanyakazi wake haviendani, waajiriwa wananyonywa

    Mfano Shule ya Wavulana iliyopo Mitaa ya Kawe (jina kapuni), mwajiriwa mwenye Shahada analipwa mpaka 530k baada ya makato inabaki 360k ingali ada kwa Kila Mwanafunzi kwa mwaka ni Sh 12m, hii haina usawa.
  6. M

    Form 6 leavers mliopata division 2 na 3, mjitahidi kuomba vyuo vingi hasa vya makanisa na private, Vya serikali ni vigumu kuingia.

    Kumbuka Division One ni zaidi ya elfu 60, Division Two karibu elfu 40, na Division Three zipo chache zaidi elfu 10. Hii inaonyesha ushindani mkubwa sana kwenye udahili unaoendelea vyuoni, hasa vile vya serikali (Udsm, Mzumbe, Udom, Must, Dit, Tia, Ifm, Mipango, Mweka, n.k) si kwamba ukiwa na...
  7. ACT na Mpina Serikali 3 zitawachelewesha kama wenzenu

    Maalim Seif alikuwa na nguvu kisiasa lakini serikali 3 zilimzuia kwenda Ikulu hadi akaondoka zake. Nyie mna mikakati Gani tofauti na Seif? Kushinda sio kazi ila kazi ni kutangazwa, Shauri mjaribu kuhubiri serikali 1 au 2 hizihizi hadi hapo mtakapokwenda Ikulu kwa kutumia Katiba hiihii ya...
  8. GE2025 Mpina: Kuna Mahoteli mengi na maghorofa mengi yamejengwa kwa wizi wa fedha za Serikali. Nikiapishwa yatakuwa mali ya serikali

    Mpina amesema kuna viongozi wengi Sana wa serikali wameiba vya kutosha hii nchi akiingia IKULU mali zote za serikali watazitapika mara moja mahoteli yao zitakuwa hospitali za umma
  9. Jamii ya Wakurya ndo jamii duni sana ambayo serikali inabidi kuitazama

    Wakurya ni jamii duni ambayo Serikali inabidi kuitazama na kuhakikisha inafundishwa Emotional intelligence. Hawa Jamaa kuuana ni jambo la kawaida Sana kwao.
  10. S

    Mzozo Mkali unaoendelea kati ya Marekani na Venezuela

    Mnamo Agosti 2025 Serikali ya Marekani ilitangaza ongezeko la zawadi hadi dola milioni 50 kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwa Rais wa Venezuela Hatua hiyo ilichukuliwa kutokana na tuhuma kwamba Maduro anaongoza mtandao mkubwa wa usafirishaji wa dawa za kulevya...
  11. W

    TLP: Tutahakikisha Maiti hazizikwi na Serikali mkituchagua tuwaongoze

    Mgombea wa Urais Kupitia chama cha Tanzania Labour Part (TLP) Yustas Rwamugira amesema kuwa endapo atapata ridhaa ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atahakikisha Maiti hazizikwi na serikali kutokana na ndugu kushindwa kulipia Pesa za mochwari hivyo atahakikisha anafuta malipo ya...
  12. Naomba Serikali itumie hekima kumsaidia Mke Mkubwa wa hayati Job Ndugai

    Kwa kumuangalia tu Mke Mkubwa wa Job Ndugai , unaona kuwa alikuwa akimtegemea mume wake ili kuishi. Ila bahati mbaya Mke mkubwa hatambuliki serikalini. Hivyo kwa umri wake anahitaji kutunzwa, kwa ukaribu kiafaya , kimwili, kiakili na kiroho. Hivyo nawaomba viongozi wa Serikali kuhakikisha...
  13. Nashauri Mafao ya Ndugai na mali zake zigawanywe nusu kwa nusu kwa wake zake, ili kuondoa mvurugano unaoweza kujitokeza

    Ni kweli Job Ndugai alimuonesha mke wa pili Kama Mke wake . Ila hiyo haiondoi Ukweli kuwa Ndugai alikuwa na wanawake wawili. Na mahausiano yao yalikuwa vizuri . Hivyo naomba Serikali na wadau wa sheria tuhakikishe huyu Mama mke wa kwanza wa Ndugai anapata mafao , na haki zote muhimu Kama...
  14. Serikali tazameni haki za wasaidizi kazi za nyumbani (Housegirls), wanayoyapitia yanavuka utu na haki kama wanadamu

    Wakuu mnamkumbuka Mahita? Aliemzalisha House Girl halafu akakataa kuhudumia? Mbali na hiyo, siku hizi unakuta katoto kana miaka 11, 12 tayari ni kahouse girl hata kupika hakajui. Mataso kanayoyapitia ni zaidi ya unyama. Juzi nilikutana na kabinti maeneo ya Uzunguni kamebeba kapu kanasubiri...
  15. GE2025 Serikali yaongeza bilioni 10 elimu bure Tabora

    Chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan utoaji wa huduma za elimu mkoani Tabora umeimarika kwa kiasi kikubwa kupitia ujenzi na ukarabati wa miundombinu pamoja na ongezeko la walimu. Serikali imetoa jumla ya TZS 146.69 bilioni kuanzia mwaka 2021 hadi mwaka 2025 kwa sekta ya elimu...
  16. Pamoja na kukitumikia chama na serikali chama kimeshindwa mkumbuka Ndugai katika mapokezi ya uchukuaji form ya ugombea Urais 2025

    Nilitegemea Rais katika hotuba yake angewaongoza wanachama wa ccm kumuombea kheri mh Ndugai ambaye ametangulia mbele za haki na ambaye bado ajazikwa badala yake hilo halijafanyika zaidi nikuomba burudani iendelee
  17. Heche ametweet kuwa hali ya usalama wa Lissu huko Ukonga, Serikali itawajibika. Je, kapatwa na nini?

    Ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa X, zamani Twitter
  18. R

    Mahakama ya Afrika Kusini imetoa maamuzi ya Serikali ya Zambia kusimamia mazishi ya Edgar Lungu

    Mahakama ya Afrika Kusini imeamua kuwa Serikali ya Zambia ina haki ya kuusafirisha mwili wa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Edgar Lungu, na kumzika kwa heshima za kitaifa, licha ya pingamizi kutoka kwa familia yake Mahakama Kuu ya Pretoria imetoa uamuzi huo kwa upande wa Serikali ya Zambia, ambayo...
  19. J

    Ifahamu serikali ya ithibati

    1. Haigharamii elimu ya waandishi wengi wa habari, lakini inawatoza Tsh.50000 kila mmoja. 2. Haijali wana ajira au hawana,lakini inawatoza Tsh. 50000 kila mmoja. 3. Haijui wanalipwa kiasi gani, wana mikataba au wanayo, inawatoza Tsh. 50000 kila mmoja. 4. Una tuma maombi online na kulipa ada...
  20. Mitandao wa FACEBOOK na YOUTUBE ina shida muda huu. Hii ni sababu ya SIASA au ni nini?

    Kama ni SIASA basi nchi yetu inaongozwa kwa mihemko sana au tuliowapa uongozi hawafikirii vyema kuhusu wananchi. Kama ni Inshu critical kumtandao au shida basi wanapaswa kuitatua haraka sana kwani wengi ndio huingiza pesa kupitia platforms hizi. Mtandao wa FACEBOOK na YOUTUBE hazifanyi kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…