serikali

  1. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Serikali isitishe kufutwa kwa Kanisa la Askofu Gwajima

    Chama cha ACT Wazalendo leo Juni 03, 2025 kimeitaka Serikali ya Tanzania kusitisha hatua ya kulifuta Kanisa la Ufufuo na Uzima ambalo linaongozwa na Askofu Josephat Gwajima. Katika taarifa yao, ACT Wazalendo imesema kuwa kulifungia kanisa hilo kunakiuka haki ya uhuru wa maoni na kukusanyika...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya Uingereza yatishia kumshtaki Roman Abramovich

    Serikali ya Uingereza imeingia katika mzozo na aliyekuwa mmiliki wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich kuhusiana na matumizi ya fedha Pauni Bilioni 2.5 ambazo zimezuiwa katika akaunti ya benki nchini Uingereza. Kiwango hicho cha fedha ni malipo ya kuuzwa kwa Chelsea Mwaka 2022, ambapo...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Thea Ntara: Dawa za P2 zinatumika vibaya, Serikali ichukue hatua

    Mbunge wa Viti Maalumu, Thea Medard Ntara amesema Serikali inatakiwa kuelekeza nguvu katika kudhibiti matumizi ya Dawa za P2 kwa maelezo kuwa zimekuwa na athari kubwa katika kizazi cha Wanaotumia ikiwemo kupata saratani ya uzazi, ujauzito kutoka, kutokwa na damu nyingi au kidogo. Amesema hayo...
  4. JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo vijana wanaoikemea serikali ya Samia na kusaidia watanzana wengi baada ya kukimbilia uhamishoni nje ya nchi

    1. Edgar Mwakabela au SATIVA 2. Msabaha 3. Hilda Newton (Alikimbilia uhamishoni baada ya kunusurika siku ya kesi ya Lissu) 4. Titto Magoti 5. Maria Sarungi Ongeza wengine
  5. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Serikali na Mamlaka zote duniani zimewekwa na Mungu?

    Warumi 13 Neno: Bibilia Takatifu Kutii Mamlaka 13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi...
  6. JamiiForums Tanzania USHAURI: Serikali fungieni na makanisa ya Katoliki, Lutheri na Anglikana

    Sina haja ya kuleta ushahidi kwa viongozi wakuu wa haya makanisa kutoa kauli za "kiuchochezi" na "taharuki" kwa taifa kuhusu haya haya masuala ya utekaji na uuaji Katibu wa TEC "amechochea" mara nyingi Kalikawe Benson Bagonza naye ni "mchochezi" mkubwa Alex Malasusa naye tumemshuhudia...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali kupitia bodi ya mikopo kama mmeshindwa kuwahudumia hawa watoto ni bora mkasema ili watafute option nyingine

    Unaenda mwezi wa pili huu wanafunzi ambao wanawaita wanufaika wa HESLB hawajaingiziwa accommodion and meals fund,na isitoshe 90% ya hao walipewa 10 to 40% kwa ajili ya tuition fees hivyo wanategemea meals na accommodation ili wajazie ada. Mpaka sasa wanafunzi wengi wamekwama kulipa ada kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kivipi naweza kupata email ya ikulu, serikali, international organisations ili kuwasilisha malalamiko yetu eneo la kazi (whistleblowing)?

    Ninapofanya kazi sio shwari kuna mambo mengi hayapo sawa. Huyu muwekezaji ana nguvu na anajeuri ya kupindisha mambo ya kisheria kuanzia kwa wafanyakazi mpaka mambo ya kimamlaka na ukosefu wa uadilifu. Nataka nifikishe ili jambo kwenye vyombo vya serikalini na watetezi wa haki za wafanyakazi...
  9. JamiiForums Tanzania Uislamu hauruhusu mambo haya dhidi ya Mtawala: Kumkosoa hadharani, kumdhalilisha, kufanya maandamano na kutoka dhidi yake

    Moja kwa moja.. Sababu ya kuandika huu uzi ni kutokana na baadhi ya fikra za Wabongo wanona kutokana na mapungufu ya serikali bora tukiwashe na kukinikisha wengine wakienda mbali wanasema damu zikimwagika ndio tutaheshimiana. Nawaambia ndugu zangu Amani ni jambo muhimu sana bila kujali mambo...
  10. JamiiForums Tanzania Samaki hana ujanja ukimtoa ndani ya maji, hongera serikali kwa kumtupa samaki Gwajima nchi kavu,tuone sasa ngebe zake zitafanyikia wapi?

    Friends and Our Enemies, Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu. Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali...
  11. JamiiForums Tanzania CCM kufadhili kitabu cha mzee Songambele kuenzi historia ya nchi, chama na serikali

    CCM KUFADHILI KITABU CHA MZEE SONGAMBELE KUENZI HISTORIA YA NCHI, CHAMA NA SERIKALI - Balozi Nchimbi atoa neno, akimwakilisha Dkt. Samia msibani Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kitabu alichoandika Alhaj Mzee Mohamed Mustafa Songambele...
  12. JamiiForums Tanzania Gwajima, Wafuasi wa Ufufuo wa Uzima Msiwe na Wasiwasi, Hoja za Kulifungia Hazina Locus Stand, Serikali inapigwa Certiorari na Mandamus, linafunguliwa!

    Wanabodi Nimesoma bandiko hili humu jf News Alert: - Serikali yalifutia usajili Kanisa la Askofu Gwajima kwa kuingilia masuala ya siasa kwa nia ya kuichonganisha Serikali na Wananchi Bandiko hili ni faraja kwa Baba Askofu Dr. Josephat Gwajima, na wapenzi, wafuasi wa kanisa lake la Ufufuo wa...
  13. JamiiForums Tanzania MSD yaidai Serikali TSh 434.2 bilioni kwa huduma za bidhaa za afya vituoni

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi, imeishauri Serikali kukamilisha mchakato wa kuandaa sheria itakayosimamia huduma ya uvunaji, utunzaji na upandikizaji wa chembechembe na viungo vya binadamu ili kuweka msingi madhubuti wa utoaji wa huduma hiyo kwa wananchi. Akizungumza...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tamko: Miradi ya Maendeleo itaendelea hata baada ya Marekani kusitisha misaada

    Serikali imesema itaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo ambayo ilikuwa ikipata ufadhili wa kifedha kupitia taasisi za Marekani baada ya tamko la usitishaji wa misaada lililotolewa na Rais Donald Trump.
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yapeleka bilioni 669 za barabara, madaraja mikoa ya kusini

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuwa Serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan itatumia kiasi cha Shilingi Bilioni 669 kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara kwa lengo la kuboresha usafiri na kuifungua mikoa hiyo kiuchumi. Akizungumza mkoani...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yaahidi kufikisha huduma ya maji kwenye makazi ya watu, Msomera

    Serikali imejipanga kuhakikisha huduma ya maji inaimarishwa kwa wananchi walioamua kuhamia eneo la Msomera, Handeni. Naibu Katibu Mkuu Bi. Agness Meena akiongea kwa Niaba ya Waziri wa Maji kuhusu huduma ya maji amesema kazi kubwa inafanyika kuhakikisha miundombinu ya maji inafika katika maeneo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya mpiga chapa mkuu wa serikali

    Habari ndugu zangu, ninaomba kuuliza ,ofisi ya mpiga chapa mkuu wa serikali nimeambiwa ipo Dar na Dodoma.Kwa upande wa Dar ipo maeneo gani tafadhali? Nitashukuru kwa majibu yenu.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kila mapigo wanayopigwa CHADEMA na Serikali ndiyo wanavyozidi kupendwa na kuchanja mbuga

    Kila Serikali inavyozidisha mateso dhidi ya Chadema kwanza watu wanazidi kuipenda,hii ndiyo necha ya mwanadamu alivyoumbiwa hukipenda kile kinachodhulumiwa, kuonewa, au kunyanyaswa Watateka watu, watauwa watawafunga watasitisha ruzuku huku wasijue wanazidi kujijenga chuki kwa wananchi Mfano...
  19. JamiiForums Tanzania Raisi Samia Suluhu Hassani alikosea sana kumjibu askofu Gwajima kwani aliongea ukweli ambao serikali ilitakiwa ifanyie kazi na simaneno yale

    Gwajima tunanfahamu ni mtu ambaye hajakurupuka kutoa taarifa ya utekaji kwani swala hilo linapigiwa kelele na watanzania wote, kitendo cha raisi kumdhalulisha gwajima mbele ya umma huku akijuwa mambo aliyoyaongea yalitakiwa yafanyiwe kazi na serikali ni dhahiri sasa watekaji raisi mwenyewe...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Rais anasema sio wajibu wa serikali kutengeneza ajira, msoma ilani anasema watatengeneza ajira milioni 8

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche ameeleza kuwa nchi ya Tanzania inayo fursa ya kutengeneza ajira za kutosha kwa Watanzania iwapo tu kutakuwa na mifumo madhubuti ya kiutawala na kiutendaji ambayo amedai kuwa kwa sasa haipo. Heche ameyasema hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…