serikali

  1. JamiiForums Tanzania Serikali inaruhusu watoto waendelee kwenda shule wakati wa likizo kumbe ina ajenda yake

    Ndio maana Serikali inayoongozwa na CCM hawasemi chochote kuhusu malalamiko ya wazazi na wanafunzi kuhusu utaratibu huu mbovu wa kuendelea kubakiza watoto shuleni wakati wa likizo, ili wafanikishe ajenda zao. Huko Simiyu watoto wa shule za sekondari ambao hawakufunga wamekusanywa wote na sasa...
  2. JamiiForums Tanzania Prof Ndakidemi badala ushauri itungwe Sheria wazee wahudumiwe na serikali kwani walilipa Kodi serikalini. Watoto waliwatuma muwazae?

    PROF NDAKIDEMI BADALA USHAURI ITUNGWE SHERIA WAZEE WAHUDUMIWE NA SERIKALI KWANI WALILIPA KODI. WATOTO WALIWATUMA MUWAZAE? Anaandika, Robert Heriel. Kila mtu ni Mzee wa baadae kama akipata nafasi hiyo. Lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Mtoto Hana jukumu wala wajibu wa kumtunza mzazi wake. Hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania RC Homera wa Mbeya amejiuzia gari la Serikali kinyemela?

    Utata gari la RC MKUU mmoja wa mikoa nchini (majina yanahifadhiwa kwa sasa), anadaiwa kuingia katika kashifa ya kununua gari la Serikali (Shangingi), alililokuwa akilitumia awali, Raia Mwema imebaini. Uchunguzi wa Gazeti hili, umebaini kuwa Mkuu huyo anadaiwa kutumia madaraka yake kufanikisha...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ya Iran ilikuwa na malengo ya kulifuta taifa la Israel?

    Inakuaje Serikali ya nchi flani ijipange kuifuta nchi nyingine? Hapa najiuliza sipati jibu. Taifa kutafuta NGUVU za kivita ukiwa na lengo ya kuzitumia sio kujilinda bali kwenda kuliangamiza taifa lingine ambalo liko zaidi 2000 km kutoka hapo ulipo. Mbona Kuna mataifa MENGI ya kiislam tena...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Pamoja Mapungufu ya CCM, Kwenye Sekta ya Afya Serikali ya Awamu ya Tano na Sita zimefanya vyema. Waongeze Wahudumu wa Afya zaidi

    Habari za jioni ndugu wana JFs Napenda kutoa shukrani zangu za Dhati kabisa kaa Serikali ya CCM ya awamu ya tano na hii ya sita kwa kazi nzuri waliyofanya kwenye sekta ya afya. Mambo ni mazuri tunakoelekea na kiukweli kwenye miundo mbinu kwa sasa ni bora kwa viwango vinavyokubalika( healthcare...
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Serikali imejenga Wodi 165 kwa ajili ya Watoto Njiti, matarajio ni Vituo 280 ifikapo Desemba 2025

    Serikali kupitia Wizara ya Afya imejenga jumla ya wodi 165 za kuhudumia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) katika hospitali mbalimbali nchini, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha huduma za afya kwa watoto wachanga. Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa taarifa hiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali yajibu hoja ya Mbunge "Kuondoa sharti la kulipa kodi kabla ya kuanza biashara"

    Serikali imemwagiza Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha kuwa watumishi wa Mamlaka hiyo wanafuata taratibu na sheria zilizowekwa. Agizo hilo limetolewa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb)alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge...
  8. JamiiForums Tanzania Wananchi jifunzeni kuishi na serikali yenu kwa akili, usisifu umeme ambao haupatikani mtaani kwenu,

    Wananchi katika Kila taifa wanalipa kodi nyingi kwa njia mbalimbali, hata yule anaenunua kibanio cha nguo na kijiko kimoja cha mafuta ya kupikia amelipa kodi. Kila muuzaji wa kitu chochote ni wakala wa TRA, anakusanya Kodi kutoka kwa wananchi wote na kuzipeleka serikalini. Na Kuna watu wanalipa...
  9. JamiiForums Tanzania Kama ndo wale ni mawakili wa serikali wanaosimamia kesi shitaka upande wa serikali ni aibu.

    Nahisi ni mahakama hipo upande wa fulani wakubwa ila kwa kama mahakama zingekuwa uhuru hii kesi hata kituo cha polisi ingemalizika hapo. Yani wale mawakili wa serikali nimejaribu kutafakali yani ndio serikali inategemea wanaweza kushinda kesi kubwa za kutikisa taifa kwa mtindo huu kila muda...
  10. JamiiForums Tanzania Upeo na ujasiri wa wanasheria wa serikali upo chini sana. Tatizo ni nini hasa?

    Awe bungeni (mwanasheria mkuu) au mahakamani (mawakili wa serikali), kote huko wanasheria wa serikali wameonekana kuwa na upeo wa chini huku wakikosa ujasiri. Case study. Jopo la mawakili wa serikali katika kesi uhaini ya Lissu, siku ya leo (16/6/2025) mahakamani walikuwa wazito na wenye woga...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Tumepeleka fedha nchi nzima kwa ajili ya miradi ya serikali

    “Kwa mfano leo hapa Bariadi kuna miradi sita ya kufungua na yote ni kwa sababu serikali ilikuwa na fedha, tumetawanya fedha za kufanya miradi hiyo. Ni makusanyo ya ndani. Miradi yote tumejenga wenyewe isipokuwa mmoja ndio wa mtu binafsi niliokwenda kuufungua asubuhi leo. Lakini mitano yote ya...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi Israel kushambulia viongozi wa Iran sababu wananchi wengi wanaichukia serikali, wairan wanaiona Israel kama mkombozi

    Ni sawa na vita ya Kagera, waganda wengi walikuwa wananchukia Idi Amini waliiona Jwtz kama mkombozi na walikuwa tayari kuisaidia kwa lolote japo kwa usiri kwa hofu ya hasira za kujulikana. Na ndio maana ukifuatilia vita inayoendelea Iran, unamuona Israel hana muda kushambulia wananchi wa...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yakana kufungia Kanisa la Gwajima

    Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Innocent Bashungwa ameeleza kupokea barua iliyoandikwa na kampuni ya uwakili ya Tan Africa Law, ikimuwakilisha mteja wake ambaye ni Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church, wakipinga kufutwa kwa usajili wa kanisa hilo. "Baada ya kupitia barua hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali kuingilia michezo sio dhambi, haya hufanyika duniani kote

    Kuna baadhi ya watu wajinga wameibuka na kusema ati fifa watatufungia kuwa serikali imeingilia michezoni Kwanza nimpongeza Rais Samia kwa hekima yake kuu ya kusuluhusha huu mgogoro Watu wasijadanganye ati serikali haiingilii michezo kimsingi hakuna sehemu ambapo serikali haiingilii hata...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sio dhambi Serikali Kushirikiana na Mahakama

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemshukuru na kumpongeza Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mstaafu Prof. Ibrahim Hamis Juma, kwa kazi nzuri aliyoifanya ya kukuza ushirikiano wa Mahakama na mihimili mingine ya Dola ikiwemo Serikali na Bungeni ambapo Rais Samia amesema sio dhambi kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kuhama chuo binafsi kwenda cha serikali

    Habari wakuu, naomba msaada Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi ya diploma in Clinical Dentistry nikiendelea na masomo yangu katika Kigamboni City College of Health and Allied Sciences. Ni mnufaika wa mkopo kutoka HESLB. Kutokana na gharama kuwa nyingi chuo hiki Cha private Nina...
  17. Y

    JamiiForums Tanzania KERO Kina mama waliojifungua Hospitali ya Jitimai Zanzibar kitanda kimoja wanalala watatu, tatizo ni nini wakati kila wilaya ina hospitali?

    Jana nilipoenda Hospitali ya Jitimai Zanzibar kumuangalia mjamzito nimekutana na changamoto wanayoikumba wakina Wamama baada ya kujifungua. Kitanda kimoja wanalala Wazazi watatu na watoto wao sasa tatizo sijui ni nini licha ya kuwa kila wilaya sasa hivi Zanzibar wana hospitali yao.
  18. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wa serikali kuwapima wanafunzi UKIMWI na MIMBA

    Kwangu haya mawili ni majanga makubwa kuliko majanga yeyote yaliyowahi kuwapata watoto (wanafunzi. Naiomba serikali na wizara husika kuchukua hatua ya haraka ikiwemo ya kupima UKIMWI NA MIMBA kwa lazima kila wanaporudi likizo. Pia kuwepo na njia salama za kutoa wanafunzi mimba changa pale tu...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini bajeti ya serikali isipangwe kutokana na uhitaji wa mkoa husika?

    Habarini? Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri ikiwa ni pamoja na kufuatilia mpambano baina ya Iran na Israel ambapo tunayo mengi ya kujifunza kutokana na teknolojia za hali ya juu zinazotumika na nchi zote mbili katika mzozo huo. Ni leo ikiwa siku ya tatu tangu bajeti ya serikali ya mwaka...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nawaonya Simba, Serikali imeshapanga mechi ya derby ni tarehe 25.06.25 , Ole wake atokee mtu aongee kitu au kupinga Atashughulikiwa Ipasavyo.

    Ndio nimeona timu ya Simba Sports Club , almaarufu Makolo FC wameweka Mgomo Baridi na hii nimejua kupitia mambo mawili, la kwanza Simba hawajapost wala kutoa taarifa kwa Umma kuwa Derby imesogezwa mpaka tarehe 25.06.2025. Pia nimeona kupitia Comments za mashabiki mbalimbali wa Simba wakiwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…