serikali

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Niwahakikishie kwenye hili la makusanyo na matumizi ya pesa za Serikali nitasimama imara

    Musa aligawa maji bahari ya Shamu taifa la Mungu likavuka. Ila Joshua yeye alikausha kabisa maji ya mto Jordan taifa la Mungu likavuka. Joshua 3: 7. "Bwana akamwambia Yoshua, Hivi leo nitaanza kukutukuza mbele ya Israeli wote, wapate kujua ya kuwa mimi nitakuwa pamoja na wewe, kama nilivyokuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mama Samia usisahau masuala ya ueledi katika sayansi ya Tehama kwenye Serikali yako

    Kwanza pongezi kwa kuingoza Tanzania kwa busara. Ombi langu tusaidie wananchi kuhusu Huduma za tehama. Ni aibu kwa taifa hili lenye miaka zaidi ya 50 lakini huduma zetu za Tehema ni very poor, unprofessional. Ukiboresha huduma za tehama, utasaidia wananchi wengi kupata huduma kwa wakati na...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ukurasa wa Serikali 'Tanzania Government' uliotumika kutangaza kutafutwa Kigogo2014, wafutwa

    Baada ya kuona tangazo la zawadi nono kwa atakayefanikisha kutiwa nguvuni Kigogo2014, nili'follow' ukutasa huo ili nifatilie kinachoendelea. Lakini baada ya muda mfupi, ukurasa huo haupatikani tena. Ama kweli tumekosa 'zawadi nono' kwa atakaempata kigogo2014.
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki. Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
  5. JamiiForums Tanzania Hii dhana ya kuunda Serikali kwa upendeleo wa kikanda ilileta manug'uniko, Je ipo haja ya kupangua Serikali ili kuondoa manug'uniko?

    Inashangaza sana kuwa mpaka watu wametunga neno la kihuni kuwa kulikuwa na genge la kisukuma lililounda serikali na kuhodhi madaraka "sukuma gang". Najua bado tupo msibani lakini tukiwa tupo tunasubili maziko sio mbaya kujadili moja mbili tatu. Serikali ya awamu ya tano ilianza kulalamikiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Aliyoyafanya Hayati Magufuli kwa miaka 6 ni makubwa zaidi ya yaliofanywa na serikali nyengine za Afrika kwa miaka 60

    Ndugu Wanajukwaa Kumpenda na kutokumpenda Hayati Magufuli ni chaguo binafsi la mtu. Pamoja na kwamba yeye alikuwa ni binadamu kwahivyo hakukosa kufanya makosa lakini ukweli ni bora usemwe tu. Mambo ya maendeleo aloyafanya ni makubwa sana. Ni kweli kwamba marehemu alikuwa na ujasiri mkubwa wa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Taasisi za Serikali na Benki za Kibiashara hasa Benki za NMB na CRDB

    Kupitia mtandao huu, napenda nitoe wazo/ushauri kwa Benki za kibiashara, hasa Benki za NMB na CRDB, benki ambazo zinaonekana kushindana kuvutia watumishi wa umma kupitishia mishahara yao katika benki hizo. Kwa mfano,hizi benki mbili kwa sasa zote zimeanzisha huduma ya salary advance, huduma...
  8. JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa Serikali ya Tanzania na ni fedheha mbele ya Wageni kushindwa kuwatambua wapinzani kwenye msiba wa Dkt. Magufuli

    Nafahamu kwamba siasa za CCM kwa vyama vya upinzani zimejaa uadui na uhasama wa kutisha sana , na ndio maana vyama vya upinzani kwa miaka 6 sasa vimepigwa marufuku kufanya siasa za majukwaa kinyume cha Sheria na Katiba ya nchi. Lakini hatukutarajia chuki hizo zifike hadi kwenye Msiba wa Rais wa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Magufuli umesaidia kufahamu Sababu za Mbowe kuendelea kuwa Kiongozi ndani Chama chake

    Tokea tetesi za kuugua hadi kufariki kwa Mzee wetu Magufuli, baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekua wakitoa matamko mengi sana, wengine wakaanza kuandika katika mitandao hisia zao juu ya msiba huo lakini wengi sana walikuwa wakidhihirisha chuki zao za waziwazi juu ya Mh. Magufuli. Maandiko yao...
  10. JamiiForums Tanzania Safari za kuaga mwili mikoa mitano, wakuu wa Serikali wanapitisha madokezo?

    Najiribu kujiuliza Safari hizi za kumuaga hayati katika mikoa mitano Dar es Salaam, Dodoma, Zanzibar, Mwanza na hatimaye Geita nani anagharamia? Kuna madokezo yamepitishwa Serikali inagharamia posho au ni pesa za kutoka mifuko binafsi. Kama mnapisha madokezo,nani anadhibiti. Nauliza kwa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu, ameshindwa kumshauri 'kisheria/kikatiba' Rais Samia S Hassan

    Kwanza, wakati Mama Samia anatangaza kifo cha Hayati JPM, alitangaza siku 14 za maombolezo ilihali kwenye katiba zinatajwa siku 21. Baadae Katibu Mwenezi CCM ndg Polepole akatangaza siku 21 kwa niaba ya chama 'MKANGANYIKO'. Wananchi walihoji kwanini Makam alitangaza siku 14 badala ya 21...
  12. JamiiForums Tanzania Nani ungependa awe Mwanasheria Mkuu mpya wa Serikali ya Rais Mpya ?

    Kwa miaka yote tumeona Mwanasheria Mkuu akiwa ndio ofisa wa Kwanza kuteuliwa , na baadaye ndiyo baraza la mawaziri hufuatia , sijafahamu sheria za nchi zinataka AG ateuliwe baada ya muda gani tangu kuapishwa kwa Rais mpya . Sasa kwa vile bado hajateuliwa basi ni vema wadau mkapata wasaa wa...
  13. JamiiForums Tanzania TLS: Kwa Mujibu wa Katiba, sasa Tanzania haina baraza la Mawaziri, Rais Samia atakiwa kuteua Waziri Mkuu ndani ya siku 14

    Mnamo tarehe 19 Machi 2021, aliyekuwa Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, aliapishwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, kufuatia kifo cha Raisi Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Kuapishwa kwake kunaibua suala la msingi la kikatiba juu ya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ni awamu ya 5 au 6?

    Naomba majibu Tafadhali ili kuwa na reference nzuri na ya uhakika humu jamvini. Baada ya Rais SSH kuapishwa leo je anaendelea kuongoza serikali ya awamu ya 5 au tumeingia awamu mpya ya 6? Naelewa kuwa ilani ya CCM inayotekelezwa ni ile ile. Maendeleo hayana vyama!
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatakiwa kuwajibika kwa kudanganya Taifa lililokuwa na taharuki kubwa

    Wanabodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila Mwananchi haamini kilichotokea. Lakini yapata kama wiki moja iliyopita taifa zima lilikumbwa na taharuki kubwa. Kila raia mwenye mapenzi na mkuu wa nchi yetu alitaka kujua kama anaumwa au haumwi...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Naomba niweke wazi kwa wale wanaodhani ya kwamba hela iliyopo NSSF ni ya Serikali

    Habari, fedha anayokwatwa mwanachama wa NSSF siyo ya serikali bali serikali inaisimamia tuu mifuko hii. hii fedha ni fedha ya wanachama. Nashindwa kuelewa pale Mtu anaposema watanzania tunapenda vitu vya bure. Naomba nikuelimishe kidogo wewe unayesema tunapenda vitu vya bure. Kama kazini...
  17. JamiiForums Tanzania Unadhani nani anafaa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Serikali Mpya ya Rais Samia Suluhu?

    Nimesoma humu wadau wengi wanajadili nafasi ya Makamu wa Rais, pengine ni kwa vile inaonekana dhahiri kuwa wazi kutokana na aliyekuwepo kupandishwa na kuwa Rais kamili, lakini tunapaswa kufahamu kwamba Rais Mpya anapoapishwa kimsingi ni kwamba nafasi zote za uongozi automatically zinakuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kama Katiba ya JMT inaruhusu mfumo wa vyama vingi basi ni wakati muafaka kwa CCM kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa kama Zanzibar

    Awali ya yote niwape Pole sana Watz wenzangu kwa msiba huu mkubwa wa kuondokewa na Mkuu wa nchi Dr.John Joseph Pombe Magufuli. Mungu amweke mahali panapostahili kwa yale aliyotenda hapa duniani. Marehemu alikuwa hataki kusikia habari ya Katiba Mpya akidai hicho hakikuwa kipaumbele chake wakti...
  19. JamiiForums Tanzania Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa CCM kuketi kikao maalum Jumamosi (20/03/2021). Yatangaza siku 21 za maombolezo

    Leo chama cha mapinduzi kimetoa taarifa rasmi ya kifo cha Dkt. John Magufuli ambae amekuwa mwenyekiti wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Taarifa hiyo imesomwa na Humphrey Polepole. ======== Polepole: Chama cha mapinduzi, safu yake ya uongozi na wanachama tumepokea kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali itabakia Dodoma?

    Kwanza kabisa kama mtanzania niungane na watanzania wenzangu katika kuombeleza msiba huu mzito uliolikumba taifa letu. Tumeona na kushuhudia juhudi za mwendazake Rais John Pombe Magufuli kuifanya Dodoma kua Makao makuu ya serikali, mengi yamefanywa kuanzia miundo mbinu, kuhamishwa taasisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…