serikali

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Hai, Mafuwe ameiomba serikali kuu kusaidia waathirika wa mafuriko kwani vyoo vinatapika ovyo!

    Mbunge wa jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro mh Mafuwe ameiomba serikali kuu kuingilia kati kuwasaidia wananchi wa jimbo hilo waliokumbwa na mafuriko. Mafuwe anasema hali ni mbaya sana kwani vyoo vinabomoka na vinyesi kuzagaa mitaani hali inatishia uwezekano wa kuzuka magonjwa ya mlipuko wakati...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Si dhambi kama kuna hoja ya msingi Serikali kukiri kuwa kwa sasa 'imepigika' kiuchumi kuliko kutumia 'Misiba' kama utetezi kwa Wananchi

    "Ndugu washiriki kwa busara za mama yetu Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kufanya uamuzi kwamba mwaka huu tuuadhimishe muungano kwa kufanya kongamano, ameagiza kwamba fedha zilizokuwa zitumike kwenye sherehe ya muungano mwaka huu zitagawanywa kwenda pande zote mbili za muungano na kila upande...
  3. JamiiForums Tanzania Ivory Coast: Serikali yawasimamisha wakaguzi wa majaribio ya udereva Nchini nzima

    Serikali ya Ivory Coast imewasimamisha Wakaguzi wote wa majaribio ya kuendesha magari Nchi nzima ikisema inasafisha sekta hiyo Miongoni mwa sababu za uamuzi huo zimetajwa kuwa ni udanganyifu, ufisadi na ongezeko la ajali za barabarani. Kuanzia wiki ijayo, zoezi la majaribio ya udereva...
  4. JamiiForums Tanzania Zanzibar inachangia nini kwenye Serikali ya Muungano? Isije ikawa wanatumia Kodi za Bara

    Watu tunataka Elimu mchango ambao Zanzibar inatoa kwenye Serikali ya Muungano. Naona kama Tunaumia sana sisi wa Bara. Kuubeba Muungano. Mfano nataka kuoa. Nimeandaa Harusi baadaye nikaamua kutofanya sherehe. Je zile pesa nagawa pia kwa bibi harusi? Ndicho ambacho alichofanya Samia. Yaani pesa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar - Mwandishi aliepigwa na askari afarijika

    Hongera sana sana Serikali ya Dr. Husein Mwinyi kuonyesha njia ya utendaji haki, Haki sawa kwa wote ni baada ya polisi kumpiga na kumtesa vibaya sana mwandishi kutoka Tanzania mainland wa gazeti la wananchi anaefanyia shughuli zake Zanzibar. Serikali kupitia Mawaziri wake wawili wa habari na...
  6. JamiiForums Tanzania Utaalamu unavyotumika vibaya kuidanganya Serikali

    Katika jina la JMT kazi iendelee, Kichwa cha andiko hili kisihusishwe kabisa na kupinga mawazo ya wataalamu au kupinga utaalamu unaofanywa na wataalamu mbalimbali katika kuishauri Serikaki juu ya miradi na masuala mbalimbali. Wataalamu wamekuwa wakitoa mchango mzuri lakini wapo waliokuwa...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Aweso na Serikali kiujumla wanawaonea watendaji wa Mambo ya maji, watafute root cause sio kufukuza tu

    Nadhani wataalamu wetu waliosomea fani ya maji na walioajiriwa katika mamlaka ya maji wanapitia wakati mgumu Sana na nadhani wanajuta kwanini walisomea taaluma hizo hasa wahandisi. Muda uliopita nimeona Aweso ameamrisha watumishi wa maji sengerema 6 wakamatwe na wakawekwe ndani kwasababu...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Nyerere alikuwa ni muumini wa ugatuzi(devolution/Decentralization)?

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Kuna siku moja nilimsikia Mwalimu Nyerere kwenye hotuba akisema. "Serikali za mitaa ni serikali kamili, serikali kuu haiwezi kuziongezea madaraka wala kuzipunguzia." Nimeitafuta hiyo hotuba sijaipata. Je Nyerere alipoanzisha serikali za mitaa alipanga ziwe...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kimbunga JOBO kimepita, lakini je, serikali na wananchi tunajiandae kwa vimbunga vijavyo?

    Historia inatuonyesha mara ya mwisho kimbunga kilichowahi kuikumba nchi yetu kilitokea mwaka 1952(miaka 69 iliyopita).Hii maana yake vimbunga kama hivi bado vinaweza kuja kutukumba tena huko mbeleni. Vimbunga vinavyoendelea kutokea miaka hii ya karibuni kikiwemo hiki cha JOBO kilichotokea siku...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Serikali Iwezeshe Upatikanaji wa Mahakama za Jadi

    Poleni kwa mahangaiko ya dunia hii ndugu zangu. Poleni wahanga wenzangu mliopitiwa na wezi. Ushauri kwa serikali: Kuna haja ya kuona namna ya kuweka mazingira wezeshi kwa wazee wa mila kuanzisha mahakama na kutoa hukumu kimila. Katika kupambana na wizi au uhalifu katika jamii, baadhi ya nchi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wasomi kukosa ajira ilaumiwe Serikali 100%

    Wakati akilihutubia bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania,rais Samia Suluhu Hassan alisema serikali itaanza kutoa elimu ya itakayomuwezesha msomi kujiajiri. Maswali haya yafuatayo yatadhibitisha kuwa serikali ni chanzo Cha tatizo hili 100%: 1. Serikali ilikubalije kutumika kwa mtaala huu...
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi serikali bunge na mahakama pateni mipesa yote ila wananchi wanyonge wanachoangalia ni mumewasaidiaje?

    Kama kichwa kinavyojieleza lipaneni mipesa yote kama mishahara na miposho mtakula na mtakufa hamtaishi milele kumbukeni wanyonge walio wengi
  13. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Ubeligiji Yaipatia Serikali Ya Tanzania Euro Milioni 4 Kwa Ajili ya Mradi wa Maji Mkoani Kigoma

    Fedha hizo zimetolewa na Serikali ya Ubelgiji kama nyongeza ya fedha zacawali zilizotolewa ambazo no Euro Milioni 8, hivyo kufanya jumla ya fedha zote kuwa Euro milioni 12 sawa na tshs 33 bilioni Malengo ya msaada huo ni kusambaza maji katika Wilaya zote 6 za Mkoa wa Kigoma Katibu Mkuu wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge: Mbowe alidanganya Watanzania, Biashara zake hazikufungwa na Serikali bali Wanafamilia yake

    Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa. Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda...
  15. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. UPDATES: Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake. HOTUBA YA RAIS...
  16. JamiiForums Tanzania Watu wa Mitandaoni walioambiwa wajitokeze kutoa taarifa za kuisaidia Serikali, wakishajitokeza waripoti kwa nani?

    Katika hotuba yake kwa bunge Mh Rais pamoja na kuwalaumu watu wa mitandaoni kwa uzushi wao kuhusu chanzo cha kifo cha Rais wa zamani wa Tanzania Hayati Dr Magufuli, lakini ametoa nafasi kwa wote wanaotokea Mitandaoni kama wanao ushahidi wa taarifa zao hizo ili waisaidie serikali. Hili kwangu...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kuajiri watumishi 44,096 na kupandisha madaraja watumishi 92, 619

    Kada ya elimu wataajiri watumishi wapya 10,297, afya 11,215, kilimo 1,383, mifugo 1,250, uvuvi 733, Jeshi la Polisi 1,782, Magereza 843, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji 512 na watumishi wapya wa hospitali za mashirika ya kidini na hiari 1,240. Serikali ya Tanzania imesema katika mwaka...
  18. JamiiForums Tanzania Viongozi wa nchi kutumia Twitter kutoa matamko wakati raia hatuna access

    Inakuwaje Rais wa Nchi na Msemaji Mkuu wa Serikali, na Viongozi mbalimbali kutumia kurasa zao za TWITTER kufikisha ujumbe kwa wananchi wakati wanajua fika kuwa wameifunga na hatuna ACCESS na Twitter hadi tutumie VPN na pia walitangaza kuwa ni jinai kutumia VPN?
  19. K

    JamiiForums Tanzania Serikali na kampuni za simu zilivyotoa watumiaji kwenye reli

    Amani iwe kwenu! Kwa wale ndugu zangu mliosoma biashara kuna somo linaitwa Strategic Management, kwa kifupi somo hili linaangazia zaidi juu ya kuanzisha, kutekeleza na kupitia au kurejea mikakati yaani kwa kimombo wanasema stategic managment is about formulation, implementation and Review /...
  20. Y

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Awamu ya Sita wekeni taa Uwanja wa Ndege wa Bukoba, msisubiri vifo na majanga

    Chonde Chonde Serikali ya Awamu ya 6 wekeni taa katika uwanja wa ndege wa Bukoba, msisubili vifo na majanga yatokee ndiyo taa hizo ziwekwe. Tatizo hili limekuwa la muda mrefu na sijui tatizo liko wapi, ambapo uwanja wa ndege wa Bukoba ni kati ya viwanja vichache nchini vyenye habiria wengi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…