serikali

  1. JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali kukagua viwanda ambavyo vinasuasua au ambavyo vimeshindwa kujiendesha na kuwapa wawekezaji wapya

    Habari wadau..! Hivi karibuni naona kama wizara ya viwanda imekuwa ipo kimya sana,haitupi mrejesho mpango wa kuwa na serikali ya viwanda umefia wapi..? Nashauri serikali iwe inafanya review ya viwanda vilivyopo kuangalia maendeleo ya viwanda hivyo na changamoto zilizopo ili kuwashauri. Viwanda...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Serikali imechoshwa na migogoro ndani ya Makanisa

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema Serikali imechoshwa ma migogoro ndani ya makanisa. Dkt. Mpango amesema hayo katika ibada ya kumsimika kitini Askofu Zephania wa Kanisa Anglikana Dayosisi ya ziwa Victoria. Amesema ni vema Kanisani pakawa ni mahali pa watu kumuabudu Mungu na kamwe pasiwe...
  3. JamiiForums Tanzania Huu Udhamini wa Serikali katika mafunzo ya ufundi stadi VETA Ulishia wapi?

    Kama kichwa kinavojieleza hapo, Kwa taarifa zilizotolewa na serikali katika kudhamini hayo mafunzo ilikuwa mafunzo yaanze kesho tar 17 May 2021. Lakini mpaka sasa walioomba hawajapewa feedback zozote na tarehe 17 ni siku ya kesho. Sasa sijui wanalichukuliaje hili swala?
  4. JamiiForums Tanzania TANZIA Buriani Abbas Kleist Sykes

    BURIANI BABA, RAFIKI NA MZUNGUMZAJI WANGU BALOZI ABBAS KLEIST SYKES Mwezi October 1999 nilikuwa Dubai na nikikaa Carlton Hotel. Siku moja jioni simu yangu ikalia. Walikuwa BBC London Idhaa ya Kiswahili wanataka kunihoji kuhusu Mwalimu Julius Nyerere ambae wakati ule alikuwa amelazwa St...
  5. JamiiForums Tanzania Queen Cuthbert Sendiga: "Nitahakikisha wagombea urais wote waliojitokeza kuwania wanapata nafasi ndani ya serikali yangu

    Mambo vp jamiiforums Hongera sana dada yangu kipenzi Queen Cuthbert Sendiga kutoka chama cha ADC kwa kuchaguliwa kuwa mkuu mpya wa mkoa (RC) wa Iringa. Mungu akakusimamie na kukupa muongozo sahihi kwa kuwatumia watanzania waishio katika mkoa huo. Mama yetu kipenzi Rais Samia alisema...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Queen Cuthbert Sendiga wa ADC ndio kawa mnawanasiasa wa kwanza kutoka upinzani na kutumika Serikali akiwa wanachama wa chama cha upinzani

    Naona Raisi Samia katekeleza ahadi yake ya kushirikisha wapinzani katika serikali yake kwa kumteua Queen Sendiga wa chama kidogo cha upinzani cha Alliance for Democratic Change(ADC) kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa. Queen Sendiga ndie alikuwa mgombea urais kupitia chama cha ADC katika uchaguzi mkuu...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali iangalie upya sifa za kugombea ubunge

    Habari za leo ndugu zangu, Uzi wangu leo utakua mfupi sana. Ni ushauri tu sifa za kugombea ubunge zibadirishwe walau mgombea awe na Shahada. Na wanaogombea udiwani walau wawe na diploma. Wanaogombea uenyekiti wa vijiji walau wawe na cheti cha form four. Ndugu zangu ni ushauri tu. Ninyi...
  8. JamiiForums Tanzania Je, tutakuwa tumechelewa mama tukiiomba serikali ya awamu ya sita ianzishe uchunguzi dhidi ya tukio la kushambuliwa kwa mh Tundu Lissu?

    Friends and Enemies, Niwasalim kwa Jina la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA KAZ IENDELEE, Katika jambo ambalo kila nikikumbuka naishiwa kutokwa na machozi basi ni tukio la kinyama kabisa la kushambuliwa nusura auwawe Mh Tundu Lissu. Siyo speaker wa Bunge, siyo jeshi la polisi, siyo mahakama...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Serikali ikemee kwa nguvu zote wanaodai Hayati Magufuli kauawa, iondoe video zote YouTube na kuwasaka wahusika

    Mada hapo juu inaeleweka vizuri. Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni. Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge...
  10. JamiiForums Tanzania Maoni: Serikali haikuwa sahihi kuiunganisha mifuko ya hifadhi ya kijamii

    Katika maamuzi ya serikali iliyopita ambayo sikufurahishwa nayo ni kuiunganisha mifuko ya hifadhi ya kijamii kwakuwa haukuwa shirikishi na haukuzingatia sababu za kiutafiti zilizopelekea kuundwa kwake. Nilijiuliza maswali mengi juu ya faida ya uamuzi huo lakini nilipata chache mno na zenye...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Urasimu mpya unaletwa kupitia kauli ya uli 'Mfumo Unasumbua'

    Habari, Mungu nakutumaini wewe tu. Hivi nani anasimamia mifumo ya fedha za Serikali kimtandao? 1. Wapo wanaocheleweshewa malipo wakiuliza majibu ni mtandao unasumbua au network ipo down. 2. Wapo wanao subiri check namba kwa muda mrefu. 3. Wapo wanao subiri mafao ya kustaafu 4. Wapo...
  12. JamiiForums Tanzania Nashauri serikali ianzishe wizara ya mafuta na gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi

    Nashauri serikali ianzishe wizara ya mafuta na gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi Tanzania. Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali: Suala la Covid-19 tunachafuka kupitiliza

    Nikiwa katika moja ya Airport zetu nikisubiri kupanda ndege ya Qatar kwenda Uarabuni, nilikutana na kundi la Watalii kama 9 waliokuwa wanarudi kwao Marekani wakiwa na malalamiko mazito sana. Hawa Watalii walikuwa na hasira isiyo ya kawaida wakilalamikia utendaji kazi wa Serikali ya Tanzania na...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Kuna dalili Serikali inapoteza mapato mengi sana kupitia hizi stamp za bidhaa

    Niende moja kwa moja kwenye mada hapo juu kama kichwa cha habari kinavyosema, serikali ya nchi yetu inajitahidi sana kufikia malengo yaliyojiwekea kwenye ukusanyaji wa mapato,kupitia bidhaa zinazolishwa viwandani, na hata pia kwa watoa huduma yani ( service product) TRA wameweka mfumo fulani...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania imesema inatarajia kuanza kutoa huduma ya upandikizaji wa mimba (IVF)

    Huduma hiyo inaanza ikiwa ni miaka miwili sasa imepita tangu Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuanza maandalizi ya utoaji wa huduma hiyo ikiwemo kusomesha wataalamu na kuandaa jengo litakalotumika kutolea huduma hiyo. Akizungumza bungeni leo Jumanne Mei 11, 2021 wakati akiwasilisha bajeti...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yaamuru Wananchi warudishiwe fedha zao walizolipa kuwaona Simba na Yanga wakicheza

    Serikali ya CCM kupitia Waziri wa Habari, Mhe. Bashungwa imewataka TFF kuwarudishia Wananchi fedha walizolipa kama kiingilio cha kushuhudia mechi ya Simba na Yanga.
  17. H

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa Simba na Yanga kuchezwa tena, Mashabiki kurudishiwa tiketi zao

    Taarifa mpya ya maelekezo toka serikali
  18. B

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU, Mtumishi wa Umma anaponunua kipindi kwenye radio au TV kujadili masuala ya utendaji wa Serikali ni rushwa au si rushwa?

    Awamu ya sita inalo Jambo la kutafakari kuhusu mmomonyoko wa maadili unaoendelea Nchini. Tumewalea watu wachache wameafika mahali wananguvu kuliko Viongozi wa kitaifa. Tunaweza tukadhani tunapambana na wapinzani kumbe tunapambana kuuwa usawa katika jamii. Tuna vyombo vya dola ambavyo kwa kiasi...
  19. JamiiForums Tanzania Kutoka Ajira 40,000 hadi ajira 9,000; hii imekaaje?

    Siku ya Mei mosi mama alitoa ahadi ya ajira 40,000 mwaka huu wa fedha. Cha kushangaza wametangaza ajira 9000. Ummy Mwalimu aliliambia bunge kuwa wataajiri watumishi 12,000 katika kada ya afya ila wametangaza nafasi 2000. Wito serikali waache janja janja na uongo uongo.
  20. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Ummy Mwalimu ametangaza ajira za walimu 6,949 wa shule za msingi na sekondari pamoja na watumishi wa Afya 2,726 Nafasi hizi ni kujaza nafasi wazi kutokana na vifo, kustaafu, kuacha kazi au kuhamia sekta nyingine. Waombaji wanatakiwa kuomba kupitia tovuti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…