serikali

  1. Serikali: Wanaoficha Watoto kuanza Shule wachukuliwe hatua

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu ameagiza Mikoa kutosita kuwachukulia hatua Wazazi/Walezi ambao wanaficha Watoto walio na umri wa kuanza Shule Akizungumza leo Januari 06, 2022 amesema hadi kufikia Desemba 31, 2021 Wanafunzi 488,780 wa Darasa la Awali wameandikishwa katika Shule za Serikali, na...
  2. M

    UVCCM wamekengeuka, kumkomalia Spika kujiuzulu ni dalili kuwa hampendi bunge kufanya kazi zake za kuisimamia Serikali. Mnatumika bila kufikiri

    Huu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila kuangalia hatari au litalotokea. Ndio hii Uvccm ya leo imekurupuka kama Nyumbu kutaka Spika Ndugai...
  3. Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba afafanue kwanini tunakopa kulipa deni

    Binafsi naamini huku mtaani hata mtu binafsi ukifikia hatua ya kukopa Ili kulipa deni unakuwa umefikia point of no return. So how on Earth kama nchi tumefikia hapo . Je hii ni hali ya kawaida? Tushawahi kufika hatua hiyo before? Madeni ni hulka ya mtu, mtaani kuna watu hawaogopi madeni ila...
  4. C

    Serikali inapokopa ili kulipa madeni, ni maendeleo?

    Nimetekewa kidogo, na nimetindikiwa na amani kwa sehemu, lakini nimepata msukumo wa kulileta hili suala hapa kwa uchambuzi zaidi. Nitaweka mada yangu katika maswali ili katika kuyajibu, tupate muafaka wa kitaalam juu ya azimio la kukopa ili kulipa mikopo. Kama wewe si mtaalam, au hujui, au huna...
  5. N

    Dhana ya bunge kuwa muhimili unaojitegemea kuishauri na kuisimamia serikali iko wapi?

    Wote tumeona spika alivyoshushiwa spana na wakuu wa dola pamoja na wale wengine kwenye chama. Hebu tujiulize kidogo, mnapomuondoa spika kwa kutimiza wajibu wake mnapeleka ujumbe gani kuhusu bunge kuwa mhimili huru wa kuishauri na kuisimamia serikali, je, bunge litabaki kuwa kikaragosi cha...
  6. C

    Watanzania tunathamini umuhimu wa Serikali na tuko imara kuilinda: Rais tunaomba utuongezee nguvu

    Watanzania tulio wengi, hatuna uraia pacha, na tunajua hapa ndipo nyumbani kwetu, japo tunaweza kwenda matembezini lakini mwisho wa siku hapa ndipo kwetu. Kwa mantiki hiyo, kiu yetu ni kuhakikisha nyumbani kwetu panadumu kuwa mahala safi na salama kwa ustawi wetu na vizazi vyetu vijavyo...
  7. S

    Tatizo Serikali iliyopo haikuchaguliwa kihalali na imeshavunda bado kuoza

    hakuna asiejua kuwa ushindi wa CCM katika uchaguzi Mkuu uliopita ,ulikuwa ushindi wa kulazimisha liwe liwalo na mwishowe kuapishwa waliosadikishwa kuwa wameshinda. Asilimia kubwa ni waumini hapa Tanzania ,baada ya dhulma milango ya dua ilikuwa wazi kwa waliodhulumiwa, yanayotokea leo ni mambo...
  8. Ipo haja ya Rais kuvunja Serikali na kuunda Mpya

    Kutokana na yanayoendelea hapa nchini. Ipo haja ya Rais kuvunja Serikali nzima na kuunda mpya kabisa. Kutokuaminiana na hujuma kumetamalaki. Nazungumzia Kutoka kwa PM kushuka chini. Avunje baraza lote la mawaziri. Ateue wapya kabisa. Amuandikie barua Spika kumuomba ajiuzulu kwa maslahi ya...
  9. Kazakhstan: Serikali yajiuzulu kufuatia maandamano ya kupinga bei za mafuta

    Rais Kassym-Jomart Tokayev amekubali Serikali kujiuzulu kufuatia maandamano yaliyotokana na ongezeko la bei za mafuta. Ametangaza Hali ya Dharura kwa muda wa wiki mbili katika baadhi ya maeneo Nchini humo. Mikusanyiko mikubwa imeripotiwa katika Miji mikubwa kadhaa na Polisi wametumia mabomu ya...
  10. CCM imejidhalilisha, kumbe huwa inawapa Maspika kusimamia mhimili wa Bunge ili kuficha madhambi na makosa ya serikali yake

    Jana ndio kila picha limeungua hapa nchini. Maana kauli za mkuu wa nchi na mwenyekiti wa CCM zimefunua macho watanzania. Kumbe mtu kuwa spika lazima uaminiwe na wanaCCM ili kulinda maslahi yao na ya chama chao kwa kuficha makosa yao na madhambi yao. Ila ukifanya kazi ya kusimamia serikali na...
  11. Mpambano mkali wa Mkuu wa mhimili wa Serikali na Bunge, ni "neema" kwa Vyama vya Upinzani

    Nimemsikiliza kwa makini Rais Samia Suluhu Hassan, akimpa "za uso" Spika Ndugai, kuhusu kile alichotufunulia ni kuwa ni mbio za Urais wa 2025, angalau kimebatizwa jina na hao mahasimu wake kuwa ni deni la Taifa linalohatarisha usalama wa nchi yetu kupigwa mnada. Hoja pekee na ya nguvu...
  12. K

    Wapinzani ni washauri sahihi wa serikali, walimshauri Rais avunje baraza tukawapinga; naamini wanatonywa mengi

    Wapinzani walipomwambia Rais avunje Baraza ateue na kuapisha upya niliikuwa mmoja wa waliodhani ni ushauri batili. Wapinzani wakasema kuna watu walitaka Mhe. Rais asiapishwe nikawapuuza nakudhani wanataka kumtisha Mhe. Rais akose utulivu Wakasambaza taarifa za sukuma Gang nikaona wanaanza...
  13. Mwigulu Nchemba: Hakuna mwananchi atakayelipa mkopo, Serikali italipa

    "Hakuna siku Mtanzania mmojammoja atagongewa hodi mlangoni kwamba tunakudai Shillingi hizi kwasababu Nchi yako ilikopa, haipo Nchi hiyo, hivi ni vitu vya Kitaasisi na vinaangaliwa kutoka kwenye mapato ya Kiserikali" "Hakuna siku Mtanzania atafuatwa aambiwe wewe una ng'ombe wengi sana toa mmoja...
  14. Ni aibu kubwa kwa Waziri Mwigulu kusema Serikali ndiyo hulipa madeni

    Hii ya leo hakika bwana Waziri Nchemba ni zaidi ya utovu wa nidhamu kwa walipa kodi! Unatoa wapi uthubutu wa kudai Serikali ndiyo hulipa madeni na si wananchi?! Kwamba bila kodi ya wananchi Serikali bado ingeweza kulipa deni?! Hii ni zaidi ya dharau kutoka kwa mtu aliyeshiba. Ukweli ni...
  15. Mwigulu: Tutaendelea kukopa, deni ni himilivu

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mkopo sio Msaada, na Mkopo hutolewa kwa mwenye chanzo cha kulipa. Amesema, "Tutaendelea kukopa ili tutekeleze miradi mikubwa kwa haraka" Amesema tathmini ya uhimilivu wa deni iliyofanyika Mwezi Novemba inaonesha Deni ni himilivu kwa...
  16. Serikali yatangaza kushuka kwa bei za mafuta

    Serikali kupitia Mamlaka ya Uthibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta. Taarifa iliyotolewa leo na EWURA inaeleza kwamba, Ikilinganishwa na bei za mwezi Desema 2021, bei za Januari 2022 zitapungua kwa kati ya Shilingi 4 na 35 kwa lita ya petroli; na kati...
  17. K

    Soda zimeisha mtaani!

    Wanajamvi Heri ya mwaka mpya. Mimi ni mdau wa kuuza bidhaa za dukani na vinywaji. Kuna changamoto kubwa sana sasahivi kupata Soda za kampuni zote coca na pepsi. Shida ni nini jamani mbona hatuelewi?
  18. Uongo wa Serikali juu ya Miradi ya kitaifa Nani ashugulikiwe

    Machi 26 mtendaji mkuu tanload alisema Daraja la Wami litakamilika Sept 2021. Kwa mujibu wa Mwananchi, Leo Serikali inakuja na Lugha nyingine. Kwanini tunafanywa watoto Miaka miwili nyuma tuliambiwa kipande Cha reli dar to Moro kuzinduliwa Novemba 2019. Leo 2022. Miaka 3 baadae hakuna kitu Kama...
  19. C

    Kama ni kweli kwamba Serikali sasa imedhibitiwa na mitandao ya waharifu, Wanyonge waishije?

    Nimefuatilia masuala kadhaa, yanakipeleka kuwaza mustakabari wa Wananchi wanyonge na vizazi vyao uko namna gani. 1. Kisa cha Mfanyakazi wa Wizara ya Afya aliyekamatwa na polisi kule mpwapwa akanyang'anywa fedha zake, akateswa, akatishiwa, akaandikiwa karatasi na kulazimika kuisaini bila...
  20. Msemaji wa Serikali: Ujenzi daraja la Wami wafikia 70.4%. Kukamilika Novemba 2022

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…