serikali

  1. Mabosi hutumia akaunti za benki za watu binafsi, wazabuni na wakandarasi kuchota pesa za Serikali. Serikali imulike taasisi ambazo CAG hana ubavu nazo

    Habari! Hii habari nimeileta hapa kama tetesi ili kujilinda na watu wapumbavu ambao hao kila kitu utawasikia wanauliza source au kutaka utaje jambo direct. Kuna baadhi ya mambo hayapaswi kuwekwa wazi kwa % nyingi hasa kipindi hayajaiva. Ni kwamba viongozi wateule wanajichotea pesa za umma...
  2. Serikali: Waliopata chanjo ya UVIKO-19 Tanzania ni asilimia 9.81

    Kauli za Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu wakati akipokea chanjo aina ya Sinovac dozi milioni moja kutoka Serikali ya Uturuki, leo Machi 23, 2022. "Kwa niaba ya Serikali chini ya Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tunaishukuru Serikali ya Uturuki kwa kupokea ufadhili...
  3. Je, inakubalika kuomba kazi tena utumishi wakati nipo kweme tasisi ya serikali kwa mwaka mmoja wa matazamio (probation)?

    Inawezekana ku apply kazi tena utumishi na huku nipo kwene tasisi ya serikali ndani ya mwaka wa kwanza wa matazamio (probation)?
  4. M

    Ni muda muafaka sasa kwa shule za serikali kuwa "english medium"kwa sababu...

    1. Tayari sasa ni mwaka wa saba tangu serikali ilipo anza kuanzisha shule za majaribio ili kuona ufanisi wa tija juu ya mabadiliko hayo ambapo hadi sasa mafanikio yameonekana kuwa makubwa zaidi kwa shule zilizo katika majaribio ikilinganishwa na shule za kawaida (zinazo tumia kiswahili) 2. Hadi...
  5. Kwa kauli hii ya Waziri, kuna moto unafukuta Diamond Vs Serikali (Hakuna Msanii Mkubwa Kuliko Nchi)

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amewataka viongozi wa BASATA na COSOTA kuhakikisha wasanii wote wanasajiliwa hususani wale wakubwa ambao mpaka sasa hawajasajiliwa kwani hakuna msanii mkubwa kuliko Nchi. "Nitoe maelekezo kwa COSOTA na BASATA hatutegemei kusikia wasanii...
  6. Uwazi katika Utendaji wa Serikali: Nyenzo Muhimu ya Ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma na Mapambano dhidi ya Rushwa

    Katika miaka ya hivi karibuni nchi nyingi zimeendelea kutambua umuhimu wa uwazi wa serikali katika kuimarisha demokrasia, kukabiliana na rushwa na kukuza maendeleo. Uwazi wa serikali kimsingi ni wajibu wa serikali kuwa wazi, kuwajibika, na kuwa ya kuaminika kwa raia wake. Uaminifu huu...
  7. K

    Serikali inapaswa kuwaajiri moja kwa moja wafanyakazi wa mkataba ndani ya Halmashauri zetu

    Waziri wetu wa Tamisemi, kweli kuna tatizo la ajira sana nchini kwetu.Hivyo kupelekea vijana wengi kukosa ajira na kuingia kwenye shughuli ambazo sio rasmi kwao. Tunaimani sana na Serikali yetu sikivu. Zipo taasisi nyingi au Kada nyingi za Serikali hazina rasilimali watu hasa Halmashauri zetu...
  8. Serikali iwaangalie kwa ukaribu watu hawa na kuwafuatilia

    Jirani yangu ana fuga ng'ombe 12 wa maziwa. Hawa ng'ombe wake hawatoki nje. Nmeanza kujiuliza huyu kila siku anazalisha kama kilo 250+ za kinyesi. Je anapeleka wapi? Na mkojo kama lita 210+ unaenda wapi? Nmewaza sana kutokana na Takwimu za Prof Mayele. Huyu jirani anapeleka wapi hivi vitu...
  9. K

    Serikali imewakomaza CHADEMA

    Serikali bila kujua imesaidia sana Chadema kukomaa kama chama 1. Magufuli kuzuia mikutano sasa wamekuja na kampeni za mitandao kama space na whatapp 2. Chadema digital imesajili watu 7M 3. Uchaguzi kuibiwa kura umeleta namna mpya ya kujitegemea bila ruzuku na madai ya katiba mpya 4. Kesi ya...
  10. B

    Kati ya Mawaziri hawa; Nani unadhani atafuata kurejesha nyumba ya Serikali hivi karibuni?

    Basing on performance, regarding on challenges in countered since ameingia ofisini na Kwa ujumla ufanisi hafifu; Nani unadhani watoto na familia yake waanze kujiandaa kisaikologia kuondoka kwenye nyumba za Serikali endapo ataendelea kusimamia mikakati ileile na kushughulikia utumbuaji wa watu...
  11. Serikali kuwaruhusu CHADEMA kuwa na vikundi vya ulinzi ni kuhatarisha usalama wa nchi yetu na kinyume cha sheria.

    Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama. Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu...
  12. I

    DOKEZO Responded TEMESA imeshindwa kutoa huduma ya kivuko Magogoni, Serikali ilete mwekezaji

    Eneo la Kigamboni ni moja ya sehemu ya Dar es Salaam inayokuwa kwa haraka sana. Wahamihaji ni wengi sana, wakati huo huo uboreshaji wa miundombinu ya barabara na vivuko haiendani na kasi ya ukuaji wa mji. Kuna njia nne za kuingia na kutoka Kigamboni. 1. Kuvuka kwa pantoni Magogoni. Njia hii...
  13. Mjadala huru! Ni sekta ipi inayoendeshwa na Serikali inafanya vizuri?

    1. Mradi wa mwendokasi Dar. Huku mabasi hayafanyiwi maintainance, yanaharibika watu hawajali, kila siku watu zaidi ya laki 1 wanatumia mabasi haya na fedha zinakusanywa na mamlaka husika Ila kila siku mradi uko hovyo! Vituo vyake vinazidi kuchakaa na mabasi yanazidi kuchakaa. Haieleweki...
  14. R

    Kwenye hili la Jeshi la Polisi lawama ziende kwa Serikali ya CCM

    Kwenye hili la Jeshi la Polisi wa kulaumiwa 90% ni Serikali ya CCM na 10% ni lawama kwa jeshi lenyewe. Ni ukweli usiopingika jeshi letu la polisi lina changamoto nyingi kuliko madhaifu yake, na hata hayo madhaifu yake huchangiwa kwa kiasi kikubwa na changamoto linazopitia. Tiririka nami...
  15. Serikali acheni kucheza na tozo kwenye bei ya mafuta punguzeni kodi ya VAT toka 18 hadi 10

    Bei ya mafuta ya petroli na diseal imeshuka tena na kuwa chini ya USD 100 kutoka 130 wiki iliyopita. Wiki iliyopita serikali ilitoa tozo ambalo ni mahususi kwa jambo maalumu. Mimi nadhani serikali ipunguze VAT kwenye mafuta ili kuleta suluhisho la kudumu kuliko hili la kutoa tozo.
  16. Badala ya kuisubiri large scale LNG nakuomba waziri wa nishati tujikite kwenye small scale LNG na Mobile CNG stations zenye mitaji midogo

    Badala ya kukaa kuisubiri large scale LNG nakuomba waziri wa nishati na serikali tujikite kwenye small scale LNG na Mobile CNG station, miradi midogo ambayo inaweza kufanywa nasisi wenyewe bila kutegemea mitaji ya nje. Ni ukweli usiopingika kwamba large scale LNGs zinachukua muda mrefu...
  17. Mgodi wa North Mara imeleta maafa Ziwa Victoria tena, Serikali inajiuma uma tu kwa kamati feki

    Hili siyo tatizo jipya! Linathibitisha uzembe wa serikali ya CCM. Wakati mh. Sitta akiwa Spika na mama Makinda naibu wake, uchunguzi wa aina hii ulifanyika, lakini ajabu kabisa hata Sitta alikuwa analazimiasha ionekane hakuna tatizo la mgodi. Ni wazi kwamba North Mara Gold mine ltd wanatumia...
  18. Q

    Zanzibar: Viongozi wa ACT-Wazalendo ndani ya SUK hutumia Ilani ya CCM kuendesha serikali.

    Waziri wa Afya Nassor Mazrui (ACT-Wazalendo) akimkabidhi ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Riziki Pembe Juma (CCM) wakati wa makabidhiano ya ofisi. Awali Mazrui alikuwa waziri wa Afya Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto. ================...
  19. J

    Serikali ya Awamu ya Sita, inaunga mkono jitihada za kukiendeleza Kiswahili

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tannzania inathamini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili duniani na kuifanya lugha hiyo kuwa yenye hadhi. Hayo yamesemwa na Makamu wa Rais wa Jumhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango wakati wa ufunguzi wa...
  20. Katavi: Serikali waombwa kuingilia kati mgogoro wa ardhi, wadai wawekezaji wamepewa kinyume na utaratibu wa sheria

    BAADH ya wananchi wa Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi wameiomba Serikali ya Mkoa huo kuingilia kati mgogoro wa ardhi wa zaidi ya hekali 40 zilizopo katika Kitongoji cha Jelemanga "A" na "D"kijini cha Milala. Mgogoro huo uliodumu muda mrefu unatokana na baadhi ya wananchi kudai kuchukuliwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…