serikali

  1. J

    JamiiForums Tanzania Serikali imeridhishwa na TFF katika kujenga na kuboresha miundombinu rafiki ya michezo ili kuendelea kuibua na kuendeleza vipaji

    SERIKALI IMERIDHISHWA NA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MICHEZO INAYOTEKELEZWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF) Serikali inaridhishwa na kuthamini hatua zinazochukuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) katika kujenga na kuboresha miundombinu rafiki ya michezo ili...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Putin atafanya nini baada ya kuiangusha Serikali ya Ukraine? Au alikurupuka kwa hasira?

    Wakuu habari, Russia yupo na uwezekano mkubwa wa kuiangusha Serikali ya Ukraine, japo Ukraine anaonyesha ustahimilivu lakini hawezi kudumu milele. Sasa tukiangalia kiini cha hii vita ni Serikali ya Ukraine kukataa ,matakwa ya Putin ambayo yangemfanya Putin kuwa na control na sera za Ukraine...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali kufanya maadhimisho ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani

    Taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, ndugu Gerson Msigwa inasema kuwa serikali kuadhimisha mwaka mmoja wa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan toka alivyoingia madarakani 19/03/2021 kufuatia kifo cha Rais John Magufuli. Katika maadhimisho hayo kutakuwa na shughuli mbalimbali...
  4. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa serikali kupambana na Cults

    Naomba niipongeze seriakali ya Tanzania kwa kujitolea kupamabana na kuibuka kwa Cult mbali mbali. 1. Kwanza, kwa sasa mitume na manabii wana chombo Chao ambacho kitawasimamia na kudhibiti utapeli kwa waumini. Kwa sasa chombo hicho kina Rais wake na Mlezi mkuu. 2.Pili, serikali imeanza...
  5. JamiiForums Tanzania Fatma Ferej: Ni Faraja Kwetu Serikali Kupitia ATCL Kwenda Kuwachukua Watanzania Wenzetu

    Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa faraja hatua ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwanusuru Watanzania walioko nchini Ukraine nchi ambayo iko vitani na Urusi. Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema Serikali inachukua hatua za haraka...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha tozo ya Tsh 100 kwa kila lita ya mafuta, yasema itapoteza Sh bilioni 30 kwa mwezi

    Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta katika soko la dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo vita ya Urusi na Ukraine, Serikali ya Tanzania imetangaza kuondoa Tozo ya Sh 100 kwa kila lita katika Dizeli, Petroli na Mafuta ya Taa kwa miezi mitatu. Wizara ya Nishati imetangaza maamuzi hayo ambapo...
  7. JamiiForums Tanzania Dubai: Rais Samia ashuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uwekezaji ya thamani ya Trilioni 17

    Jamani amkeni amkeni Huko Dubai mambo ni moto balaa! Leo hii Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa mikataba zaidi ya 30 ya uwekezaji Tanzania yenye thamani ya fedha za Tanzania zaidi ya Trilioni 17 na itakayotoa ajira kwa Watanzania za moja kwa moja zaidi ya laki 2...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali akishindwa kutimiza majukumu yake ni kuihujumu Serikali

    Ndugu. Mwenyekiti salama? Natumaini upo salama muda huu hapo Dubai, huku Dar es Salaam hali shwari kwa maskini na wanyonge ila si salama kwa wasaka madaraka! Sina lengo la kukushtua ukatishe ziara nina lengo la kukupasha habari kazi yetu sisi ni kukuhabarisha. Umbea wa mjini kidogo pamoja na...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ikichunguze kivuko cha Busisi-Kigongo upande wa Sengerema. Kuna hujuma kwa wavuka kwa miguu

    Haiwezekani unapewa risiti halafu kwenye kuscan eti machine haifanyi kazi unaambiwa upitie sehemu ambayo machine haifanyi kazi. Hii inaweza kuwa hujuma na upotevu wa mapato ya Serikali. NB:Maendeleo hayana chama
  10. JamiiForums Tanzania Serikali, wadau waombwa kuwasaidia wanaohudumia watoto wenye kiharusi na kupooza

    Mkurugenzi wa Sadeline Health Care, Bi Sara Kitainda akizungumza katika Mchana wa Tabasamu, leo Februari 26, 2022. Serikali na wadau wameombwa kuwawezesha na mitaji ya kibiashara akina mama na walezi wenye watoto wenye kiharusi na waliopooza kwani hutumia muda mwingi kuwahudumia watoto hao na...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje inawasaidiaje Watanzania walioko Ukraine?

    Wakati Mataifa ya watu US, Uingereza, Ujeruman, Israel yakiendelea kuwataka RAIA wake watoke Ukraine. Ni wazi pia kuna Watanzania walioko Nchini Ukraine kimakazi, kikazi, kimasomo n.k Mnawasaidiaje sasa, Hasa kwenye kipindi hiki cha mgogoro mkubwa ambao muda wowote Vita inaweza kutokea? Au...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Putin asema sasa yupo tayari kwa mazungumzo ya amani na Serikali ya Ukraine 'kama wanataka mazungumzo'

    Baada ya kuonesha ubabe wake kwa Ukraine kwa kutangaza uhuru wa majimbo mawili ya mashariki mwa Ukraine na kisha kuingia kijeshi na kuchakaza miundombinu ya jeshi la Ukraine huku Ukraine ikiachwa kwenye mataa na wale iliyodhani watamsaidia (Marekani na NATO), Putin katoa ofa kwa serikali ya...
  13. JamiiForums Tanzania Wakulima Songea waililia Serikali kwa kupanda Bei ya mbolea -24/02/2022

    Katika utafiti nilioufanya leo hii tar. 24.02.2022 Bei za mbolea zimepanda Mara dufu lakin kwa bahati mbaya serikali hadi sasa ipo kimya huku ikijua wazi kuwa Ruvuma-Songea ndio mikoa inayozalisha kwa wingi zao la mahindi kiasi Cha kuweza kusaidia Tanzania kuwa na akiba ya chakula. Leo Bei za...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Manispaa ya Tabora ofisi ya Kata ya Mpera yawatoza Tsh 2000 Vijana wanaotuma barua za maombi ya kazi za ukusanyaji wa Anuani za Makazi

    Habari za wakati huu wana jamvi, Billa kupoteza wakati Kuna kitu jana nimekishuhudia nikabaki kinywa wazi. Kuhusu hizi nafasi ambazo serikali imekuwa ikitangaza hivi karibuni Katika halmashauri na wilaya mbali mbali nchini kuhusu kazi ya kukusanya na kuweka vibao vya ANWANI ZA MAKAZI. Jambo la...
  15. JamiiForums Tanzania Wadukuzi wanadai fidia ili kufungua tovuti za Serikali Msumbiji

    Wadukuzi wamepata tena udhibiti wa tovuti zaidi ya 30 za Msumbiji, saa chache baada ya serikali kusema kuwa imezima shambulio la Jumatatu. Kundi linaloitwa "Yemen Hackers" limedai kuhusika na shambulio hilo la hivi punde. Baadhi ya tovutizilizolengwa ni pamoja na mamlaka ya usimamizi wa majanga...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Serikali na Wizara ya Afya fanyeni haya kudhibiti maambukizi ya UKIMWI nchini

    Niliwasikia kamati ya bunge ya mambo ya ukimwi ikishauri kwamba Dawa za kuzuia Mimba (P2) Ziuzwe pamoja na condom kama kifurushi! Lakini utafiti wangu unaonyesha kwamba wanaotumia P2 hununua hizo dawa baada ya kufanya ngono, SIYO KABLA YA NGONO! Yaani namaanisha ukiona amekuja pharmacy kununua...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ina mpango gani na mbuyu ulioanguka kata ya Kimanga?

    Wanabodi kwa hapa Tabata Kimanga njia ya kwenda machimbo ukitokea Chang'ombe, kituo cha Mbuyuni Mbuyu ulioanguka hapa una siku nne. Serikali ipo wapi? Njia mbadala ni ipi? Hiyo ni njia yetu ya kila siku
  18. JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Madarasa shikizi 1,155 yamejengwa

    Ofisi ya Tawala za Mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) imetoa ripoti kuhusu Madarasa shikizi 1,155 ya serikali ya Awamu ya sita yamejengwa na Kazi Inaendelea na kuhimiza wazazi wapeleke watoto shule. Hapo ni mlinganisho wa madarasa ya Awali na Madarasa ya sasa
  19. JamiiForums Tanzania Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

    Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR. Jakaya Mrisho Kikwete ametia ya moyoni akiwa msibani kwa John Malecela kuwa wakati wa kikombe cha babu wa Loliondo wamo Mawaziri katika Serikali yake walienda kunywa kikombe hicho na amesema kuwa wengine walikuwa wakimwambia wanatengeneza...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yashirikiana na Kampuni ya China kujenga maabara ya kupima virusi vya Corona

    Februari 18, balozi wa Tanzania nchini China Bw. Mbelwa Kairuki alienda kwenye maabara mpya iliyojengwa na serikali ya Tanzania ili kupima virusi vya Corona huko Dar es Salaam. Hivi sasa maabara hii inafanya majaribio ya PCR na kingamwili. Serikali ya Tanzania imeiajiri Kampuni ya BGI ya China...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…