serikali

  1. JamiiForums Tanzania Uingereza: Serikali kuwalipa watakaowapa makazi wananchi wa Ukraine

    Raia wa Uingereza watakaoruhusu Wananchi wanaokimbia mapigano Nchini Ukraine kukaa nyumbani kwao au kuwapa eneo kwa kipindi kisichopungua miezi sita watalipwa Paundi 350 kwa mwezi Hatua hiyo ya Serikali ni jaribio la kupunguza hasira zilizopo kuhusu namna inavyoshughulikia mzozo wa Wakimbizi...
  2. JamiiForums Tanzania Lissu: Rais Samia akiniteua katika Serikali yake atakuwa hanipendi

    Akihojiwa na mtangazaji wa Star Tv bwana Odemba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu amesema endapo Rais Samia atamteua kushika nafasi yoyote katika serikali basi atajua kuwa hampendi. Kwa kifupi Tundu Lissu amesema hawezi kukubali uteuzi wowote ndani ya serikali kwa sababu atakuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Tatizo sio Polisi bali Serikali

    Wasalaam. Nimesikitishwa na maamuzi ya kamati kuu ya ccm kutaka jeshi la police lichunguzwe kwa sababu eti wananchi wamepoteza imani nalo. Najiuliza hivi kweli serikali ya ccm haijui matatizo ya jeshi lao sikivu na tiifu kwao? Hivi kweli serikali ya CCM haijui kwanini tumefika hapa? Jeshi la...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ikikupendeza tunaomba uwateue hawa wapinzani katika Serikali yako

    Mh Rais, ningependa kukusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ama baada ya salamu, Mh Rais ikikupendeza tunaomba umteue Mbowe kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, huku Zitto Kabwe ukimpa mkoa wa Kigoma. Najua rais hapangiwi ila huu ni ushauri wangu tu kwako mama yetu, kwa lengo la...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ya Awamu ya 6 kuanza kuwapa wafungwa mitaji. Hii ndio "legacy" itakayoishi daima

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Kuelekea kuadhimisha mwaka mmoja wa Rais Samia S. Hassan, nimekutana na hii habari iliyonikosha sana. Kwamba Serikali ya mama itaanza kutoa motisha na mitaji ya fedha na vifaa kwa wafungwa wanaomaliza vifungo vyao. Kwa kuanzia wataanza na gereza kuu la mkoa wa...
  6. JamiiForums Tanzania Tarehe 17.3.2025 inakaribia, watanzanisa tunasubiri kauli ya serikali kuhusu mpendwa wetu,

    Watanzania tulio wengi mamia kwa maelefu tunasubiri kauli ya serikali kuhusu nini kifanyike tar 17.3.2022 atakuwa katimiza mwaka mmoja tangu tuondokewe na mpendwa wetu Magufuli Ikiwezekana tuazimishe siku hiyo kwa mapumziko na tuazimishe kwa kuwa kuwatembelea wamachinga na kuwajengea uwezo...
  7. JamiiForums Tanzania Mchungaji aliyedai kuvunjiwa Kanisa Zanzibar afunguka. Serikali yatangaza kumsaka, yasema ni nyumba siyo Kanisa

    Siku chache tangu kuripotiwa kwa taarifa za kuvunjwa kwa Kanisa la T.A.G lililopo Sebleni, Unguja ripoti kamili ya kilichotokea imetolewa kutoka upande wa kanisa pamoja na upande wa Serikali ya Zanzibar. Mchungaji wa kanisa hilo linaloelezwa kuwa limevunjwa, David Victor Suna amefunguka...
  8. JamiiForums Tanzania Mifumo mibovu ya Kodi ndio inafanya Serikali kukosa mapato na watu kukwepa Kodi

    Siku zote serikali inabidi kukaa na wananchi wake kupata mawazo mazuri ambayo kila mtu yata mgusa. Mifumo ya kodi kwa nchi yetu ni mingi na ina msululu usio kuwa na sababu ukimuumiza mtu wa mwisho. Huu ni moja wa mfano tosha: - Unapopanga fremu ya kufanya biashara TRA wanataka kujua mkataba...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania sio masikini

    Magari aina ya V8 yapo kila taasisi ya serikali 1. Wakuu wa taasisi zote na wasaidizi wao V8 2. Wakuu wa vyuo hadi wakuu wa idara ndani ya vyuo V8 3. Wakurugenzi wa halmashauri V8 4. Hospital za mkoa na wilaya V8 5. Wakuu wa wilaya V8 6. Wakuu wa mikoa V8 Hadi taasisi ya nyuki na bodi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali, lini kituo cha Daladala Kawe kitafanyiwa ukarabati?

    Kawe ni sehemu yenye wakazi wengi na pia eneo hilo hutumiwa na watu wanaosafiri kutoka sehemu mbalimbali kwa katika kusaka riziki zao. Cha kusikitisha, Kawe haina kituo cha daladala cha kueleweka. Kwa sasa magari husimama pembezoni mwa uwanja wa Tanganyika Packers, sijui kama ndio eneo sahihi...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali isaidie kurudisha mali zilizoporwa na viongozi walipokuwa madarakani

    Hakuna ubishi kila mtu anajua kilichotokea kipindi cha awamu ya tano kwa vijana wafuatao. 1. Bashite 2. Sabaya 3. Gambo 4. Mnyeti 5. Chalamila na wengine kama kina Ally Hapi though huyo sina uhakika sana. Wengi waliishi kwa kupora mali za watu. Serikali ikisema itangaze wajitokeze watajaa...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Serikali kila siku inapewa pesa kuboresha elimu. Kwanini haiajiri walimu?

    Leo hii Serikali imepewa euro mil 25 lakini walimu bado wako vilevile as if hakuna uhitaji. Ubelgiji imetoa euro mil 25 purposely kwa ajiri ya elimu. Ningetarajia Serikali iajiri walimu wawe wengi hata ikiajiri walimu laki moja kwa mkupuo hakuna shida.
  13. JamiiForums Tanzania Mmiliki wa klabu ya Chelsea, Roman Abramovich awekewa vikwazo na Uingereza

    Tajiri wa Urusi, Mmiliki wa Club ya Chelsea awekewa vikwazo, vikwazo hivyo vinahusu mali zote zilizo UK na Club ya Chelsea yahusika Uuzwaji wa Chelsea umesitishwa kwa muda. Chelsea haitaruhusiwa kuuza, kununua wachezaji. Chelsea haitaruhusiwa kuongeza mikataba ya wachezaji waliopo. Chelsea...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza Wanawake wanaotoka gerezani wapewe mikopo

    Serikali Mkoani Mbeya imeziagiza halmashauri zote za mkoa huo kuwaingiza kwenye mkopo wa asilimia 10 wanawake wote wanaomaliza kutumikia vifungo vyao gerezani ili wautumie ujuzi walioupata kuanzisha shughuli za ujasiriamali. Aidha, imeagiza kuundwa Kamati za Ulinzi na Usalama wa Wanawake na...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tahadhari ya Homa ya Manjano

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa tahadhari ya kuzuka kwa ugonjwa wa Homa ya Manjano (Yellow Fever) ambapo amesema tarehe 03 Machi 2022 Wizara ya Afya ilipokea taarifa kutoka WHO hapa nchini ikielezea kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa homa ya manjano nchini Kenya. Amesema hadi kufikia tarehe...
  16. JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Uwekwe ukomo wa kuwania Ubunge wa Viti Maalumu

    Viti maalum vya wanawake ni utaratibu unaopatikana katika nchi mbalimbali unaolenga kuongeza idadi ya wanawake na makundi yao katika bunge na mabaraza. Kuna nchi nyingi za dunia zilizochukua hatua za kuongeza nafasi za wanawake serikalini kulingana na Mkataba kuhusu ufutaji wa ubaguzi wote wa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali ya CCM hawapati thawabu wala Baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu

    Ni lazima wajitokeze watubu na kuwaomba radhi waTanzania walio wengi kutokana na kadhia ya Uchaguzi mkuu uliopita,hakuna asiejua kilichotokea. Watafanya mengi mazuri ya kufurahisha lakini yatakuwa hayana baraka ,hivi hela ya wizi inatenda Jema mbele ya Mwenyezi Mungu? Wanatia huruma sana...
  18. JamiiForums Tanzania Nnauye: Viongozi wakielewa Uchumi wa Kidijitali, wataendesha vema taasisi za Serikali ili kuendana na ukuaji wa uchumi

    SERIKALI YAENDESHA MAFUNZO YA KUJENGA UELEWA KUHUSU UCHUMI WA KIDIJITALI Na Prisca Ulomi na Semu Mwakyanjala, WHMTH, Zanzibar Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendesha mafunzo ya kujenga uelewa kwa viongozi wa Serikali kuhusu uchumi wa kidijitali Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu naweza pata chuo cha afya cha serikali?

    Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato Cha nne na kupata ufaulu ufuatao kwenye masomo ya sayansi, Physics-C, Chemistry-A, Biology-B, B/math-B. Sasa nilikuwa nataka nifanye maombi yangu kwenye vyuo vya afya vya serikali kwa ngazi ya stashahada, na kozi ninayotaka kuisoma ni utabibu, je kwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Serikali inatambua mchango wa Chuo cha IAA katika kuendeleza Michezo nchini

    Serikali inatambua mchango wa Chuo cha IAA katika kuendeleza Michezo nchini Na Eleuteri Mangi-WUSM, Dodoma Serikali inatambua na kuthamini mchango unaotolewa na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) katika kuendeleza na kuimarisha sekta ya michezo nchini hatua inayosaidia kutoa ajira kwa vijana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…