serikali

  1. JamiiForums Tanzania Ni mapema sana kutenganisha misingi ya Chama na Serikali

    MAONI YANGU: Serikali iliyopo na Serikali zote zilizotangulia zimetokana na Chama nikimaanisha Chama Cha Mapinduzi na hapo awali TANU. Ukipitia kwa undani misingi iliyounda Serikali yetu imetoholewa kutoka katika misingi iliyounda Chama. Hivyo sio jambo rahisi au la siku moja au la tamko moja...
  2. JamiiForums Tanzania Je, ni Halmashauri zote huhitaji fedha kutoka Serikali Kuu? Kuzipatia fedha nyingi mabilioni kila mwaka ni kuzidekeza na kuzifumba akili

    Juzi Rais Samia ametangaza tozo ya shilingi 100 kwa kila lita moja irejeshwe katika kodi ya mafuta. Hapohapo wafanyabiashara wa mafuta hayo hawajalalamika bali wamefurahi maana wao wapata faida zaidi. Licha ya kodi hiyo ya mafuta, gharama za maisha kwa ujumla zimepanda na mfumuko wa bei uko...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ilipaswa kutuambia imejipanga vipi na kudhibiti ongezeko la bei, si kusapoti kinachoendelea

    Kwema Wakuu! Kila mtu ni shahidi wa kinachoendelea katika upandaji wa bidhaa hapa nchini. Vitu vinapanda kila siku, hasa vitu vyeti kabisa kama Mafuta ya Kula, Michele, Sabuni, sukari miongoni mwa vitu vingine. Sikufurahishwa na Kauli ya Mhe. Rais, mama yetu Samia Kwa kusapoti na kukazia...
  4. JamiiForums Tanzania Ili kuweka tangazo katika gazeti la serikali natakiwa kufuata hatua gani?

    Naomba kuuliza, ni hatua gani napaswa kuzifuata ninapohitaji kutoa tangazo katika gazeti la serikali ?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Serikali Ya Mtaa Tupieni Jicho Kundi kubwa la watoto wanaoishi Daraja La Kijazi

    Tunaomba wahusika wa mtaa lilipo Daraja La kijazi( Ubungo Mataa) Mtupie jicho kundi kubwa la watoto waliofanya makazi yao eneo la Daraja. Ni Muda sasa watoto hawa wanalala maeneo ya Daraja na wanafanya shuhuli nyingi ikiwemo kupika. Kwa wale wanaoenda Makazini asubuhi nadhani mnajionea watoto...
  6. JamiiForums Tanzania Eti ni kweli ndege Tausi ni nyara ya Serikali na mtu wa kawaida haruhusiwi kufuga?

    Eti wakuu hizi habari zina ukweli wowote?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yoyote inayokopa sana inaongeza ugumu wa maisha kwa wananchi wake na mfumuko wa bei

    Leo napenda kuongelea madhara ya serikali kukopa sana ndani na nje ya nchi. Deni nikitu kizuri ila pia deni laweza kuwa chungu pindi unacho zalisha na kile unatakiwa kulipa vina zidiana. Unaweza chukua mfano wa mtu tu anapo kopa let say 100m na anatakiwa rudisha kila mwezi 3m ila anazalisha...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali haiwezi kujali watu wasiojijali

    Kwema Wakuu! Hakuna serikali yoyote Duniani au popote Katika Anga za mbali, au hata kuzimu yenye uwezo wa kujali watu wasiojijali. Watu wasiojijali dawa Yao ni mkong'oto. Kipondo, Hali ngumu, kuwaswaga na kuwakarangiza. Mimi sioni tatizo katika Jambo hilo Kwa kweli. Unaweza jitahidi kuwaonea...
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania hawakuwa miongoni mwa Walinda Amani wa UN waliouawa katika helikopta nchini DRC? Serikali tutoeni hofu

    Kuna Ndege (Helicopter) ya MONUSCO (Askari wa Kulinda Amani huko Congo DR) Jana imedunguliwa ikiwa na Askari Nane ( 8 ) wa Kulinda Amani na Wote wamefariki dunia. Natambua kuwa Tanzania ina Askari wake wengi pia huko ambao 'batch' ya mwisho iliondoka Wiki Mbili au Tatu tu zilizopita baada ya...
  10. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Katiba na Sheria: Tuipe muda Katiba ya sasa

    Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Godfrey Pinda amesema Watanzania waipe muda Katiba iliyopo ili iangaliwe maeneo yanayokera ili kuimarishwa, kwa sababu haina tatizo lolote isipokuwa wanaoitafsiri hutoa maana tofauti. Pinda alitoa msimamo huo jana Machi 29, 2022 wakati akizindua magari mawili...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Serikali na Bunge hazikuona upungufu wa kuondoa Tozo ya Mafuta? Hakika Pengo la Tundu Lissu halijazibwa

    Jaribu kufikiria, Waziri wa fedha anapeleka mswada wa Tozo ya mafuta bungeni na bunge zima linapitisha. Baadae Waziri wa Nishati anatangaza kuziondoa Tozo hizo ili kuwapa wananchi unafuu wa bei lakini halihusishi bunge. Wabunge wote wanapata taarifa kwa sababu wote wana magari ya mkopo na...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali: Kuna ongezeko la watu wenye homa, kukohoa, mafua, maumivu ya mwili

    Wizara ya Afya imebaini ongezeko la watu wenye dalili za homa, kukohoa, mafua, kubanwa kifua & maumivu ya mwili kuanzia Desemba 2021 hadi Machi 25, 2022, hali ambayo imekuwa ikitokea kwa miaka mitatu mfululizo. Wote wenye dalili hizo wametakiwa kwenda vituo vya afya kwa matibabu.
  13. JamiiForums Tanzania Ripoti binafsi: Machi 2022 ajali za barabarani zimeua watu 56, Serikali chukueni hatua

    Leo ni Machi 30, 2022, imesalia siku moja tu kabla ya mwezi huu kufikia tamati, kwa ufupi unaweza kusema huu ni mwezi wa ajali, hiyo ni kutokana na matukio mengi kutoka mikoa tofauti. Matukio mengi ya ajali yametokea na kusababisha vifo, ulemavu na wengine kujeruhiwa hasa yakihusisha magari na...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali yaondoa tozo 42 kwenye zao la Kahawa

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza uamuzi wa Serikali wa kuondoa tozo 42 kati ya 47 ambazo walikuwa wanatozwa wakulima wa kahawa wa Mkoa wa Kagera hadi kufikia tozo 5 ambazo zitakuwa ni jumla ya Sh267 kwa kilo kutoka Sh830 za awali. Waziri Mkuu ametoa maamuzi hayo kufuatia tume maalum...
  15. JamiiForums Tanzania Tofauti na kugawa fedha moja kwa moja kwa wananchi, njia zipi zitumike kuhakikisha kwamba mafanikio ya Serikali yanawafikia Wananchi?

    Wanabodi, Takwimu mbalimbali zinaonyesha jinsi ambavyo uchumi wa Tanzania umekuwa ukibadilika. Ingawa njia hii inaweza isielezee kwa uhalisia kinachojiri kwenye nchi tofauti, GDP bado ina angaliwa sana kwenye masuala haya ya uchumi. Kwa Tanzania, GDP imekuwa ikiongezeka kwa asilimia fulani...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali inanunua ndege kwa mbwembwe huku wanafunzi 65,000 wanakaa chini!

    Hivi inaleta picha gani hasa kwa wadau wetu wa maendeleo? Mnapewa misaada kibao kuboresha elimu lkn bado tu watoto wetu hapa sumbawanga wanakosa madawati ya kukalia madarasani? Wanafunzi 65,000 mkoani Sumbawanga wanakaa chini. CCM tunaomba mjitafakari vinginevyo mtuwachie nchi yetu...
  17. JamiiForums Tanzania Tujadili Mfumo wa Elimu utakaotufaa Tanzania. Maoni yataunganishwa na kufikishwa Bungeni na Serikalini

    Members, Huu uzi ni kwa ajili ya kutoa ushauri, Maoni na Marekebisho kuhusu mfumo wetu wa elimu Tanzania. Hoja zitakazotolewa hapa zitaunganishwa na kuwafikishia wahusika Bungeni na kwenye mamlaka ya Serikali. Tujadili ni aina gani ya masomo tunayohitaji yafundishwe kwa watoto wetu, Watoto...
  18. JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa Maji na Umeme na kupanda bei za bidhaa kunatia doa Serikali ya Rais Samia

    Kabla ya kuingia Samia madarakani tatizo la kukatika kwa umeme halikuwa kubwa namna hii. Ingawa waziri anadai ni maintenance sitaki kukubaliana nae kwani hata awamu iliyopita walikua wanafanya lakini haikuwa kiasi cha kuathiri upatikanaji wa umeme kwa kiwango hiki. Hapa bila kupepesa macho...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Serikali inashindwaje kupiga marufuku wapiga debe kwenye maeneo ya stendi za magari ya usafiri

    Wapiga debe ni watu wenye vurugu, watu wa kuwapotosha abiria, watu wa kuwaibia abiria, watu wanaofanya bei ya usafiri kuwa kubwa, ni watu wanaoleta kero. Najiuliza hivi Serikali mnashindwaje kupiga marufuku wapiga debe kutoka kwenye vituo vya usafiri?.
  20. JamiiForums Tanzania Afghanistan: Taliban imesema ni marufuku mfanyakazi wa Serikali kutokuwa na Ndevu. Kama huna Ndevu usikanyage kazini

    Nchini Afghanistan, viongozi wa Taliban wamepiga marufuku wafanyakazi wa serikali ambao hawana ndevu kufika ofisini. Taliban wanasema mfanyakazi yoyote wa serikali lazima awe na ndevu za kueleweka, hakuna kunyoa ndevu na wafanyakazi wote ambao hawana ndevu wamepewa muda kabla hawajafukuzwa kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…