serikali

  1. JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wa Serikali za Mitaa wapiga dili. TAKUKURU wamulikeni

    Salaam Wakuu, Leo kijana wenu nimeona niseme kidogo kuhusu kero ya rushwa na kutaka chochote kitu kwa Viongozi wengi wa serikali za Mitaa wakiwemo Wenyeviti, Wajumbe, Watendaji na wengineo wa ngazi hiyo. Kumekuwa na muendelezo wa tabia ya viongozi hawa kutaka pesa kidogo (rushwa) kila...
  2. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mtakwimu Mkuu wa Serikali (NBS), nitafungua kesi kushitaki, kuna utapeli katika kuomba Ajira za Sensa

    Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Taifa ya Takwimu, S. L. P. 2683, DODOMA. Ndugu, YAH: UTAPELI KATIKA MFUMO WENU WA TEHAMA WA KUOMBA AJIRA ZA MUDA ZA SENSA YA WATU NA MAKAZI Napenda kufikisha malalamiko ambayo pia nitafungua kesi Mahakamani kuishitaki NBS kwa kutozingatia vigezo vya Human...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali iwakemee watendaji wa Kata, Mitaa na Vijiji kujihusisha na utapeli kwa vijana walioomba nafasi za kuhesabu watu

    Habari! Yaani bila aibu Mtanzania, mtendaji wa kata, mtaa na wilaya anaomba rushwa kwa vijana walioomba nafasi za kuhesabu watu. Hii ni aibu na ukatili mkubwa. Kijana ambaye hana ajira unathubutu vipi kumwomba rushwa ili apate ajira? Naamini sio wote wanaofanya huu uhuni ila nimefanya...
  4. JamiiForums Tanzania Kesi ya akina Halima Mdee, itafanyiwa "delaying tactics" hadi ifike wakati wa uchaguzi mkuu mwaka 2025?

    Nimeanza kuingiwa na wasiwasi, kutokana na sakata hili la akina Halima Mdee, kwa Kesi yao waliopeleka mahakamani na kinachoendelea, Mahakama inaweza kufanya "delaying tactics" Hadi shauri hilo lije kupata hukumu, itakuwa mwaka 2025, wakati wa uchaguzi mkuu mwingine unaokuja! Kwa hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Ajenda ya vijana katika bajeti ya Serikali iangazwe sekta zote

    AJENDA YA VIJANA KATIKA BAJETI YA SERIKALI IANGAZWE SEKTA ZOTE Na; Victoria Charles Mwanziva: (Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa) Vijana ndio dira ya maendeleo kwa Taifa lolote lile linaloendelea ulimwenguni, huwezi kuyapata maendeleo ya kweli na yenye tija kwa Taifa...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Katambi: Vijana ambao hawajapata mikopo ya Halmashauri pengine ni Wakenya

    Si kweli kwamba vijana wa nchi hii hupata mikopo bali mikopo yote ihusuyo vijana hugawanwa na Viongozi wa chama tawala na vijana wao nao ni wale tu walio na connection. Katambi acha dharau na hilo litakukosesha jimbo. === Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 18, 2022, bungeni jijini Dodoma, wakati...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nashauri magari yote ya Serikali na Taasisi za Umma yapakwe rangi za nembo zao kupunguza ukiritimba

    Ukiondoa magari ya IKULU na yale ya Viongozi wa kitaifa; Naishauri ofisi ya waziri mkuu ikiongozwa na Mh Majaliwa Kassimu kwa kushirikiana na Tamisemi chini ya Bashungwa! Waelekeze magari yote ya serikali yapakwe rangi ya nembo ya taasisi husika kama ilivyo kwa taasisi chache kama...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hivi wabunge wanaovuliwa Ubunge mikopo yao hulipwa na Serikali au hukatwa kwenye malipo yao ya kiinua mgongo?

    Hili ndio swali ninalojiuliza hasa ninapotafakari nguvu kubwa inayotumika kuwalinda Halima Mdee na wenzake baada ya chama chao kuwavua uanachama. Kama wamechukua mikopo(bila shaka wamechukua), mikopo hiyo italipwaje iwapo watasitishiwa ubunge wao na ukizingatia wako wengi na mikopo ya wabunge...
  9. JamiiForums Tanzania Ishu ya mitihani kuvuja Serikali ituambie ukweli, Waziri kujichanganya maana yake kuna kitu hakipo sawa

    Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Omary Kapinga ndiye ambaye aliyeanza kwa kutoa jibu kuwa mitihani haijafuja tangu mwaka huo, binafsi naona kama kuna kitu hakipo saw ana takwimu zake ndio maana hadi Spika amezungumzia na kuamua kuiweka hoja hiyo pebeni kwa muda "Suala la uvujaji wa...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali inapoingia mikataba ya karne ya mahekta ya ardhi na wawekezaji ni pigo kubwa kwa kizazi kijacho

    Wakuu Kwa kipindi cha takriban mwaka mmoja tangu Mama aingie madarakani utafiti unaonyesha kuwa mikataba mikubwa ya mahekta ya ardhi imesainiwa na wawekezaji wageni hapa nchini. Mikataba hiyo iliyosainiwa inasoma miaka 99 Hadi 100!! Hii unaleta sintofahamu juu ya umiliki wa ardhi wa kizazi...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali: Ripoti ya kesi za ukatili kwa watoto, Ubakaji 5,899, mimba 1,677, ulawiti 1,114

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu wa Bunge, George Simbachawene amesema kesi za ukatili dhidi ya watoto zilizoripotiwa mwaka 2021 jumla ni 11,499. Waziri Simbachawene amesema takwimu za Jeshi la Polisi zinaonesha kuwa kuanzia Januari hadi Desemba, 2021 kulikuwa na idadi hiyo...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali imeweka Mawakili wake kuwatetea akina Mdee? AG akichafuka wakubwa zake watabaki wasafi?

    Tumetoka kuondoa kesi mahakamani dhidi ya Mbowe serikali ikiwa imechafuka, utaratibu wa kuondoa kesi hiyo ukiwa na maswali mengi KUHUSU uhusika wa viongozi wakubwa. Tumejisafisha lakini Bado atujatakata. Hali ikiwa Tete tumeingia Tena kwenye mgogoro wa ajabu usiohutaji kujadiliwa. Usiotoa...
  13. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwajiriwa wa serikali wa TGS E anakatwa kiasi gani kwenye kila mshahara wake?

    Habari wakuu, Mimi sio mwajiriwa ila ni mtafutaji ambaye ikitokea nkaingia kwenye mfumo basi ntakuwa kwenye daraja la TGS E. Kujua jambo ni vyema sana, mimi nilikuwa mnufaika wa bodi ya mikopo (HESLB). Napenda kujua taasisi husika kama NHIF, NSSF, PSSSF, HESLB na TRA (PAYE) wanakata kwa...
  15. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanaamini Serikali itawafukuza wabunge 19 na kuwaunga wao kugomea matokeo ya uchaguzi

    Mimi siwaelewi chadema kabisa na watanzania wanaoshabikia hili Baada ya uchaguzi wa mwaka 2020 CHADEMA walitangaza kutokubali matokeo na kuamua kususia kila kitu kilichotokana na uchaguzi huo kwa kufanya yafuatayo. 1. walitangaza kutomtambua raisi 2. Walimzuia mbunge wa nkasi kwenda bungeni 3...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali inahangaika juu ya Panya Road wakati dawa yake ni Makonda

    Serikali inahangaika juu ya Panya road wakati dawa yake ipo. Kwanini msimchukue huyu jamaa awasaidie hiyo kazi ya kutimua hao panya road. Nmemaliza.
  17. JamiiForums Tanzania Kazi za Sensa: Fomu Na. 1 inakusanywa wapi kati ya ofisi hizi?

    Nimeomba kazi za sensa. Nimepata ile fomu namba 1. Je, ili fomu baada ya kusainiwa inakunywa ofisi za kata su serikali za mtaa?
  18. E

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la mishahara: Sekta binafsi hatuna Serikali?

    Watnzania wamepiga kelele kuhusu kupanda kwa gharama za maisha na kilichotokea ni serikali kutangaza nyongeza kwa watumishi wa umma tu. Ina maana sisi watumishi wa sekita binafsi hatuna serikali ya kututetea katika hali kama hizi za kupanda kwa gharama za maisha? Kwa muda mrefu tumekuwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Mshahara la 23.3% Serikali itoe ufafanuzi

    Hakuna kitu kibaya kama kutoa taarifa nusunusu au taarifa tata kwa malengo maalum Watu jana wameshangilia na kufurahi kuwa ongezeko la mshahara la asilimia 23.3 ni kwa watu wote , lakini leo asubuhi tunaamka na uelewa tofauti kuwa ongezeko hilo ni kwa Wafanyakazi wanaopata kima cha chini ...
  20. JamiiForums Tanzania Vita ya Ukraine - Urusi ina hadhi ya kuziangusha serikali za Ulaya na Marekani

    Wamarekani na wazungu wengi huwa hawajui kile serikali zao zinachokifanya kwenye mataifa mengine, lakini safari hii ni tofauti sana, wameanza kuufahamu upuuzi wanaofanya wanasiasa wao kwa wengine. Na hii ni baada ya maisha Yao kuguswa na kupanda kwa gharama za maisha kunakotokana na uhaba wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…